Wilson Nalumba
Member
- Oct 13, 2011
- 20
- 8
Hizo zilikuwa mbwembwe tu wadau, Serikali yetu haijali kabisa mambo ya Elimu, na sio UDOM pekee vyuo kibao hawana hela mpaka leo hii.Ni Kero tupu!!!!
Mkuu nime jiuliza hata mimi ule ubarcelona umeishia wapi???