UDOM first year Engineering students angalia hapa.

WaituWaitu

Member
Aug 15, 2012
41
1
Kama umechaguliwa kozi mining, mineral processing au petroleum engineering utasoma kozi moja iitwayo ENGINEERING DRAWING katika muhula wa kwanza hivyo utatakiwa kununua vifaa vya kuchorea (drawing board) na vifaa vingine. Napenda kuwatarifu kuwa vifaa vitakuwa vinapatikana hapo chuo, kitivo cha sayansi asilia (college of earth sciences) kwa bei nafuu yaani full seti. Pia kwa vigezo maalumu unaweza kulipa mara mbili.
 
MKUU HIVYO VIFAA VINAUZWA BEI GANI? NA VINAPATIKANA CHUONI TUU AU VINAWEZA KUPATIKANA MAENEO MENGINE ILI IKIBIDI KUNUNUA HUKU HUKU.
Nawasilisha
 
MKUU HIVYO VIFAA VINAUZWA BEI GANI? NA VINAPATIKANA CHUONI TUU AU VINAWEZA KUPATIKANA MAENEO MENGINE ILI IKIBIDI KUNUNUA HUKU HUKU.
Nawasilisha

vinapatikana maeneo mengine especially dar, ila chuoni ni bei nafuu Tsh.150,000 badala ya Tsh.240,000 kwa dar
 
MKUU HIVYO VIFAA VINAUZWA BEI GANI? NA VINAPATIKANA CHUONI TUU AU VINAWEZA KUPATIKANA MAENEO MENGINE ILI IKIBIDI KUNUNUA HUKU HUKU.
Nawasilisha

vinapatikana maeneo mengine especially dar, ila chuoni ni bei nafuu Tsh.150,000 badala ya Tsh.240,000 kwa dar . Kwa taarifa zaidi wasiliana nami kwa simu n 0765778664
 
Back
Top Bottom