Udanganyifu katika ving'amuzi

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,216
988
Ninatumia king'amuzi cha ZUKU na mimi hupenda kuona LIVE hasa mpira. Nimefungua Zuku matangazo yanakuja yakiwa yamechelewa, mfano nikiweka dish(FTA) au antenna nakuta wanashangilia goli wakati ktk Zuku bado na vilevile naona matangazo TBC lakini upande mwingine taarifa tayari imeshaanza. Maana yake nini? Wanarekodi ndiyo wanarusha wakiwa wamechelewa wasidaiwe na wenye Tv?.
 
Yanachelewa kwa kiasi gani?
Kama ni kwa sekunde kadhaa hizi ni tofauti za kiufundi tu kutokana na umbali ambao transmission imesafiri, pia kuchelewesha kurusha hakuwezi kukufanya usidaiwe na wenye haki miliki.
 
Back
Top Bottom