UCL group stage draw

bakundande jr

JF-Expert Member
Oct 22, 2021
507
670
Ikiwa ni siku chache zimepita tangu kufunguliwa rasmi kwa msimu wa ligi ya mabingwa barani Ulaya (UCL) kwa kupigwa mchezo wa super cup baina ya Manchester City mabingwa wa ligi ya mabingwa ulayq msimu uliopita dhidi ya Sevilla ulioisha kwa city kushinda kwa mikwaju ya penati.

Leo ndio ile siku iliokuwa ikisubiriwa ja wapenzi wa kandanda kufahamu ni timu zipi zitakutaka katika hatua ya makundi katika michuano hiyo.

Katika msimu huu timu ya Manchester City inapewa asilimia kubwa ya kutwaa tena taji hilo ikifuatiwa na vilabu vya real Madrid, Psg bila kusahau mabingwa wa ligi kuu ujerumani the bavarians. Huku washika mitutu toka London pia wakiwa ni miongoni mwa timu zinazopewa chapuo kunyqkuwa taji hilo.

Usikose kufuatilia uzi huu kujua mchakato mzima wa droo hii itakayofanyika jioni ya leo
 
_20230831_114142.JPG
 
Ikiwa ni siku chache zimepita tangu kufunguliwa rasmi kwa msimu wa ligi ya mabingwa barani ulaya (UCL) kwa kupigwa mchezo wa super cup baina ya Manchester City mabingwa wa ligi ya mabingwa ulayq msimu uliopita dhidi ya Sevilla ulioisha kwa city kushinda kwa mikwaju ya penati.

Leo ndio ile siku iliokuwa ikisubiriwa ja wapenzi wa kandanda kufahamu ni timu zipi zitakutaka katika hatua ya makundi katika michuano hiyo.

Katika msimu huu timu ya Manchester City inapewa asilimia kubwa ya kutwaa tena taji hilo ikifuatiwa na vilabu vya real Madrid, Psg bila kusahau mabingwa wa ligi kuu ujerumani the bavarians. Huku washika mitutu toka London pia wakiwa ni miongoni mwa timu zinazopewa chapuo kunyqkuwa taji hilo.

Usikose kufuatilia uzi huu kujua mchakato mzima wa droo hii itakayofanyika jioni ya leo
JIONI YA LEO SAA NGAPI KWA SAA ZA KITANZANIA?
 
Back
Top Bottom