Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 12,726
- 19,874
Maumivu ya kutoswa yanakuwa hivi; unakuwa kama umevuliwa nguo zote halafu umewekwa kwenye halaiki ya watu na kila unaemuona mbele yako unaona kama anakuzomea in short ni kama mtu aliyemwagiwa maji ya ukoko unajiaona kama takataka ila hayo yote utayaona iwapo tu huyo aliyekuacha mlikuwa mmejifunga na vifungo kama ameshakuzalisha,umejenga nae,ulimsomesha n.k ila kama mmejuana wiki moja tu haitauma sana.