Uchungu wa kutoswa upo vipi

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
hey guyz mapenz nadhan yanajulikana na kila mtu anayajua ni mazuri hadi yanaleta furaha kupita kiasi ila bwana yanaumiza pia kupita kiasi so PlZ TOA MAWAZO AU TUPE EXPERIENCE YAKO YA UCHUNGU ULIOPATA ULIPOTOSWA je ulilia au?
 
Wewe......kutoswa kusikieni tu hivihivi, hasa kwa mtu uliyempenda kwa dhati na tayari ulishajiwekea nae malengo /kuishi nae kwa nia ya dhati kabisa! Kuvunjika kwa penzi kati ya wawili walopendana ni kubaya sana, for hakupigi kelele ....ila kwaweza acha alama na maumivu kwa mmoja wao or to both parties..., ambayo kufutika kwake yategemea sana na mind tune ya mhusika!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ninachoamini maumivu ya mapenzi hayafanani kwa wote coz kila mtu ananyongo yake hivyo yote utakayoambiwa yanaweza kuwa tofauti pindi ukitoswa. hayo 2.
 
Maumivu ya kutoswa ni ya kawaida.
Maumivu makali zaidi ni yale ya kufumania.
 
achana na kuachwa wakati mtu bado unampenda inauma hii kitu na hakuna mfariji isipokuwa ww na moyo wako kujisahaulisha.
 
Back
Top Bottom