Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Yericko, hii ishu muda huu ni kama lava ya volcano. Ungeipumzisha tu.

Udhaifu wa serikali hii umehalalisha mambo ambayo si tu kwamba ni ya hatari sana bali pia imeendelea kuyanyamazia matendo yenye kukinzana na dhana nzima ya Utaifa, Uhuru, Ukweli, Haki na Utu (hasa pale isipostahili/kuvumilika).

Mkuu ni vema tuyatibu haya kwa kuwahoji waongo hawa kuliko kufumbia macho!

Madhara ya kufumbia macho ni makubwa sana kuliko kuyatibu sasa, bila shaka umeshuhudia machafuko na vurugu za kidini hivi majuzi tu, asili ya hayo yote ni hayahaya ya akina Mohamed Said.
 
DAIMA udini huendekezwa na watu wenye mawazo ya kimaskini, watu hawataki kwenda shule, tazama matokeo ya form 2 shule za kiislam zilivyofeli mawka huu, sasa hawa ndo wakija kukua wanaanza kusema nyerere mchawi kawaonea, hivi mmeona shule za wakatoliki wameshika kumi bora kwa 50% pia mmeona na majina ya watoto hao kumi bora ni ya KIKRISTU. Hii inaakisi kwamba hata form 4, 6 na elimu ya juu, itakuwa hivyohivyo, mtalaumu nyerer weeee na umaskini wa MALI na maazo vitawatafuna mpaka KABURINI

Jibu la mtu kama wewe ni kuambiwa kuwa penye ukweli utahangaika sana lakini ukweli utabaki hapohapo. Hivyo huwezi kujuwa kuwa alietangulia ndie anaefika mwanzo?
 
hana jibu atakuzungusha tu bila kupata kitu cha maana kutoka kwake..mimi nimesoma vitabu vyake na nimefuatilia mada zake hapa JF na nachukulia vitabu vyake kama riwaya za alfu lela ulela

Naam haishangazi, iwapo uelewa wako ni kuhadithiwa stori na ukasikiliza na huna uwezo wa kutafakari! Kama unayo hayo basi kuna jambo linakuuguza!
 
Na mimi nimekuhukumu kutokana na matendo yako.

Yericko, tayari tuna mohamed Said hapa JF,je unaweza kutuletea Cardinal Pengo ili naye tumuulize maswali yetu kama anavyoulizwa Mohamed Said?

Okey kwa sasa ana majuku mazito sana anapitia ripoti ya matokeo form two kwa shule zinazoongozwa na kanisa, akitoka hapo kesho ataenda kuzindua hospitali ya kanisa, wiki ijayo atakua katika ukaguzi wa vyuo vikuu vya kanisa ambavyo vinapokea waisilamu pia kimsingi ratiba yake kwa mwaka huu imejaa ana muda wa kufanya mambo ya maendeleo tuu..hana porojo na muda wa stori za vijiweni. Labda uandae maswali yako uende pale ofisini kwake msaidizi wake atakujibu sababu elimu yake ni zaidi ya ya mkuu wa icho chuo cha hapo morogoro kisichopokea wakristo.. Mimi ngoja nkamchukue mtoto wangu tuition nimpeleke kidogo akafanye michezo na watoto wenzake ajenge upendo na urafiki, kesho aende sunday school apate huduma za kiroho, jumatatu wanafungua shule aende akasome asijefela akaanza kulalamika pale baraza kuna upendeleo.
 
Hata waziri/naibu wa elimu/wakurugenzi wote baraza la mitihani/necta/watungaji/wasahihishaji mitihani wote wangekuwa ni waislam, bado waislam mngeendelea kulalama kuna mfumo kristo. Mkristo hana sababu ya kulalamikia NECTA ukizingatia mitihani ipo pale karibu mwaka mzima baada ya kusahihishwa...kama umeonewa ni suala la kuappeal tu...

Hapo sikubaliani nawe. Hivyop anaehitaji kukoga ni alie mchafu au yule alie msafi? Anaeonewa atalalamika tu kwani si kuna mtu amefanya hivyo makusudi?
 
Kuna watu walisema hii nchi haitatawalika hao sio wachochezi ila watu wakimzungumzia mwenyeheri povu linawatoka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ni kwasababu tunawashangaa sana kulalama kumchafua mfu na wala msijipiganie kwa alie hai Kikwete awasaidie kutatua matatizo kaka.

Kupapambana na mfu ni chuki na hasira zisizo na mantiki wa faida ni ujinga wa wajinga kulilia makaburi yawasaidie, werevu hupambana na waliohai wawasaidie kutatua matatizo kwa fada ya uhai wa wanaoishi na vizazi vyao.

Jipime upo kupambana na makaburi na unaakili timamu? au nimwerevu kupambana na kiwete, Bilala, said mwemama, kinana, mohamedi shein nk iliwakukwamueni huko mlikozama? .........................
 
Ili uweze kupembuka na kufaidi mang'amuzi ya nera, ni vema ukaangalia kkilichoandikwa kuliko kuniangalia mimi!

Mimi sijamjadili Mohamed Said binafsi, bali nimeyazungumzia maandiko yake, vivyohivyo kaa katika dhana hii!

Kwani nani anaejuwa wasifu wake kati yetu? Unachojibiwa ni hicho ulichokizungumza. Kilichoandikwa unaambiwa kuwa ni ukweli mtupu na hizo data unazopewa si wasifu wa Mohamedi Saidi.
 
Hapo sikubaliani nawe. Hivyop anaehitaji kukoga ni alie mchafu au yule alie msafi? Anaeonewa atalalamika tu kwani si kuna mtu amefanya hivyo makusudi?

Unaruhusiwa kuenda makaburini kumuogesha mwalimu awe msafi sijuwi utamuweka wapi? jiogeshe wewe kwa kupambana na waliomadarkani wakusaidien kutatua mataizo yenu. kushabikia malenga wenu mohamed hakutobadilisha mambo kwa tenzi nzuri na ushairi, ila kwa kuchukuwa hatua dhidi ya akina shein, ghalib bilali, kikwete na wengineo kuwasogeza na kuwakwamua alikufa kaenda what next?

Isitoshe kaka, kikwete alishasema kama kanisa linafaidika na MOU na serikali inalibeba, yupoteyali sasa kuwabeba waislam
Meshaandaa MOU yenu na kuipeleka ikulu? kama bado mchakato umefikia wapi kaka maana kikwete alisema wazi kabisa anawasubiria mpeleke wa kwenu..
 
Kwani nani anaejuwa wasifu wake kati yetu? Unachojibiwa ni hicho ulichokizungumza. Kilichoandikwa unaambiwa kuwa ni ukweli mtupu na hizo data unazopewa si wasifu wa Mohamedi Saidi.

Ndugu yangu jibu kulingana na hoja ilivyo,

Rudia kusoma kwa umakini kisha jibu na tusonge namjadala kwamapana ya hoja na jila la hoja!
 
Hapo sikubaliani nawe. Hivyop anaehitaji kukoga ni alie mchafu au yule alie msafi? Anaeonewa atalalamika tu kwani si kuna mtu amefanya hivyo makusudi?
Mkuu zile paper zinakaa pale kwa muda fulani baada ya kusahihishwa ili kutoa fursa ya watakaoona wameonewa mitihani yao irudiwe kuangaliwa upya. Hakuna sababu ya kulalamika. Mashehe/viongozi wenu hawaambii ukweli kwa sababu wana agenda yao. Hivi ni kwanini ulalamike unaonewa tu bila kwenda kuangalia kama unaonewa kweli au la? kuna jambo mnalitafuta...
 
Is it a coincidence kwamba hoja za Mohamed Said zinashabihiana na hoja za akina Malaria Sugu and the so called redio Imaan?

What is funny though, kuna vichekesho vingi sana ktk hoja zao. Ntatoa mfano, chukulia hili la waislamu kudhulumiwa kielimu, anayeonekana mbaya ni Dr. Ndalichako (some say she is a Muslim herself, how funny) sasa kichekesho hapa mbaya ni Ndalichako ila waziri na Rais safi na watenda haki kwa wasilamu! (kumbuka hawa ni mabosi wa Ndalichako!) mtu mwene akili atajua tu hapa where is this heading to.

Kwene ule uzi mwengine Mohamed Said alidai eti Nyerere alisoma kitabu chake, sasa kumuuliza what was his response kwa tuhuma nzito alizombalimbikizia? , akabaki kugwayagwaya na kutumia mbinu za kukwepa hoja. What else is new?

Lakini the irony here is, Sultan Mungungu wa Bagamoyo, would have never be in the transparent, sorry white house kama mzee mchonga angekua hai. This is a fact, anaebisha amezaliwa jana. Sasa cha kujiuliza ni kwamba hizi harakati za 'kuandika upya historia' na tuhuma nzito za mifumo islamu (wazee wa lawama) na kristu( wanaolaumiwa) ndio imeshika kasi, basi hata huyu Sultan Mangungu anakaa kimya na kusema eti siku za karibuni udini umetawala mioyo ya watz. Cha ajabui yeye hakanushi chochote au kukubali chochote, ila anaonekana hana kosa mbele ya watoa tuhuma ktk vuguvugu lote hili while he is most powerful person in this crazy semi-anarchy bongoland! how funny! mi nadhani source ya hili vuguvugu na matokeo ya hili vuguvugu yanakua monitored na Sultan Mangungu, na sababu zi wazi. Sultan Mangungu is totally incompetent looking for excuses and cheap hide and seek. IMHO We could be better of with an empty chair than with Modern Sultan Mangungu.../
 
Ni kwasababu tunawashangaa sana kulalama kumchafua mfu na wala msijipiganie kwa alie hai Kikwete awasaidie kutatua matatizo kaka.

Kupapambana na mfu ni chuki na hasira zisizo na mantiki wa faida ni ujinga wa wajinga kulilia makaburi yawasaidie, werevu hupambana na waliohai wawasaidie kutatua matatizo kwa fada ya uhai wa wanaoishi na vizazi vyao.

Jipime upo kupambana na makaburi na unaakili timamu? au nimwerevu kupambana na kiwete, Bilala, said mwemama, kinana, mohamedi shein nk iliwakukwamueni huko mlikozama? .........................

waambie haya maneno viongozi wako wa dini ambao wanampa cheo wakati kilichopo ardhini nimifupa mohamed said alikuwa anaondoa ukoko ulioko vichwani kwa watu ili waelewe ukweli kuhusu dhulma ya hii nchi kuhusu kikwete unafikiri anaongoza mwenyewe na nakumbuka chadema walivyoenda ikulu aliwambia msidhani hii nchi naongoza mwenyewe kunawatu nyuma yangu kama nchi nyingine zinavyo ongozwa na huyo mbabe wa dunia
 
Kwani nani anaejuwa wasifu wake kati yetu? Unachojibiwa ni hicho ulichokizungumza. Kilichoandikwa unaambiwa kuwa ni ukweli mtupu na hizo data unazopewa si wasifu wa Mohamedi Saidi.

Malenga wetu mohamed said ataendelea kuwatumbuiza kwa tenzi za uchochezi na mkaendelea kuitikia kibwagizo cha nyerere, na mfumo kristo ni tatizo kwa waislamu. lakini nyerere hayuopo wala huo mfumo haupo.

Tungo za ushairi wake ni tata hatamwenyewe anajuwa. katika tungo zake hakosowi walio madarakani wala wale washirika wa mwalimu waislamu. Tenzi zake mwanana huwalenga mujahidina wala waislam wa kweli na wenye kumuhofia mungu hawapati shida. Isipokuwa tu vipofu humpelekwa shimoni na vipofu wenzao, mwenye macho na ufaham mzuri hawezi kumfuata malenga mohamed.

Kazaneni kumchafua mwalim, haitaongeza tija katika mafanikio ya waislam wala elimu wala afya kwasababu yeye ni marehemu nikama vile nanyi ni marehemu kwasababu mnavutana na kivuli cha mfu matunda ya mafunzo ya malenga, hayupo, hanakauli wala haguswi na malalamiko yenu.

Mfuateni kikwete angali pale ikulu awapatie msaada walau mjenge vyuo vikuu vipya vitatu Kigoma Tabora na mtwara. tena mfuateni Said mwema na afanye uchunguzi Necta kumbukumbu zote zipo pale ilimjiridhishe kuwa waislam waliofanya mtihani wakafeli, waliferi kihalali au waliferishwa mkitaka tangu uhuru hadi hivi leo.

Kupiga porojo za kumchafua nyerere, kuwachanganya watanzania kwa missingi ya dini na kuwapigia kelele wakristu hakutawasaidia kamwe zaidi ya kuwadharirisha na kuwafedhehesha.
 
waambie haya maneno viongozi wako wa dini ambao wanampa cheo wakati kilichopo ardhini nimifupa mohamed said alikuwa anaondoa ukoko ulioko vichwani kwa watu ili waelewe ukweli kuhusu dhulma ya hii nchi kuhusu kikwete unafikiri anaongoza mwenyewe na nakumbuka chadema walivyoenda ikulu aliwambia msidhani hii nchi naongoza mwenyewe kunawatu nyuma yangu kama nchi nyingine zinavyo ongozwa na huyo mbabe wa dunia

Yangoswe wewe yanakuhusu nini na kanisa lao, ya msikitini yamekushinda? unataka maendeleo utayapata kaburini? nenda ikulu kaka sio kanisani
 
Is it a coincidence kwamba hoja za Mohamed Said zinashabihiana na hoja za akina Malaria Sugu and the so called redio Imaan?

What is funny though, kuna vichekesho vingi sana ktk hoja zao. Ntatoa mfano, chukulia hili la waislamu kudhulumiwa kielimu, anayeonekana mbaya ni Dr. Ndalichako (some say she is a Muslim herself, how funny) sasa kichekesho hapa mbaya ni Ndalichako ila waziri na Rais safi na watenda haki kwa wasilamu! (kumbuka hawa ni mabosi wa Ndalichako!) mtu mwene akili atajua tu hapa where is this heading to.

Kwene ule uzi mwengine Mohamed Said alidai eti Nyerere alisoma kitabu chake, sasa kumuuliza what was his response kwa tuhuma nzito alizombalimbikizia? , akabaki kugwayagwaya na kutumia mbinu za kukwepa hoja. What else is new?

Lakini the irony here is, Sultan Mungungu wa Bagamoyo, would have never be in the transparent, sorry white house kama mzee mchonga angekua hai. This is a fact, anaebisha amezaliwa jana. Sasa cha kujiuliza ni kwamba hizi harakati za 'kuandika upya historia' na tuhuma nzito za mifumo islamu (wazee wa lawama) na kristu( wanaolaumiwa) ndio imeshika kasi, basi hata huyu Sultan Mangungu anakaa kimya na kusema eti siku za karibuni udini umetawala mioyo ya watz. Cha ajabui yeye hakanushi chochote au kukubali chochote, ila anaonekana hana kosa ktk vuguvugu lote hili! how funny! mi nadhani source ya hili vuguvugu na matokeo ya hili vuguvugu yanakua monitored na Sultan Mangungu, na sababu zi wazi. Sultan Mangungu is incompetent looking for excuses and cheap hide and seek.../

Jambo la kuvutia zaidi katika vituko vya wadini hawa, Rais Jakaya Kikwete aliwahi kuwaambia kuwa kama waislamu wanaamini kuwepo kwa MoU ya kanisa ni kuwadhurumu Waislamu, nao waandae yao na waipeleke serikali ishughulikiwe,

Lakini leo Mohamed Said ukimuuliza wamefikia wapi juu ya MoU hata kujibu bali atakupa rejea za vitabu vya Maulamaa
 
Last edited by a moderator:
waambie haya maneno viongozi wako wa dini ambao wanampa cheo wakati kilichopo ardhini nimifupa mohamed said alikuwa anaondoa ukoko ulioko vichwani kwa watu ili waelewe ukweli kuhusu dhulma ya hii nchi kuhusu kikwete unafikiri anaongoza mwenyewe na nakumbuka chadema walivyoenda ikulu aliwambia msidhani hii nchi naongoza mwenyewe kunawatu nyuma yangu kama nchi nyingine zinavyo ongozwa na huyo mbabe wa dunia

Kuhusu kikwete, mchakato wa MOU ya waislamu mmefikia wapi bokoharamu maana kikwete aliwakaribisha mpeleke yenu.
 
Madhara ya kufumbia macho ni makubwa sana kuliko kuyatibu sasa, bila shaka umeshuhudia machafuko na vurugu za kidini hivi majuzi tu, asili ya hayo yote ni hayahaya ya akina Mohamed Said.
Hapana! asili ya vurugu hizi za kidini ni Nyerere rejea vitabu vya Wakristo wenzako kina Dr.Sivalon na P.Bergen.
 
Jambo la kuvutia zaidi katika vituko vya wadini hawa, Rais Jakaya Kikwete aliwahi kuwaambia kuwa kama waislamu wanaamini kuwepo kwa MoU ya kanisa ni kuwadhurumu Waislamu, nao waandae yao na waipeleke serikali ishughulikiwe,

Lakini leo Mohamed Said ukimuuliza wamefikia wapi juu ya MoU hata kujibu bali atakupa rejea za vitabu vya Maulamaa

What I can tell ya my friend and y'all clueless wadanganyika, the redio imaan believers are increasing exponentially and it will be a matter of time before they rise-up and grab what is "legally theirs". At that point of time the anti-scholar like Mohamed Said and even Sultan Mangungu & co will not be safe and everyone will lose/
 
Leo zanzibar ina azimisha mapinduzi ya ukombozi kutoka mikono ya watumwa. Je ni fundisho gani serikali hii imelipata katika uongozi bora na upendo kati ya wenyewe kwa wenyewe
 
Back
Top Bottom