Uchochezi ni nini? Je Uchochezi na Ukweli ni kitu kimoja?

jmagora

New Member
Nov 29, 2016
3
0
Naomba msaada kuhusu hiyo topic kwa nini (Masheikh) wakisimama kudai haki wa waumini wa waislam anashitakiwa/kushutumiwa Kuwa ni Uchochezi? (NI HOJA YA KUJADILI WALA ISIFIKIRIWE VIBAYA.)
 
Sheikh wa Dasalamu haipati kesi ya uchochezi kwasababu yeye kada zuri la ccm. Walobakia nasikia micuf na michadema tu kwahio serikali haitaki kujaribiwa na masheikh wa upinzani.


Ndukiiiii
 
Tatizo sirikali wakiambiwa #ukweli# wanakuwa Wakali sana. Lakin ukali wao unamadhara wajue kwamba wao ni wachache na raia ni wengi
 
Back
Top Bottom