"Kipande cha nchi Chenye idadi ya wakaazi Milioni Moja Tu Kinaungana na Kipande kikubwa cha nchi chenye zaidi ya watu zaidi ya Milioni arobaini na Tatu, halafu vipande hivi viwili vinakuwa na Nguvu sawa kwenye Kuunda Hatma ya Nchi (Katiba), Huu ni Uchizi.. "Mch Gwajima, Sunday speech Leo.
Hivi maana ya baba wa Taifa ni nini. Mbona mimi sio Mzanaki. Mimi nina baba yangu. Sitaki kumdhalilisha mama yangu. Ukome kunihusisha mimi.afanye maombi( kama ilivyo kawaida yake) ili amfufue mwalimu JK NYERERE halafu amuite chizi kwa KUTENGENEZA MUUNGANO HUU TULIONAO SASA....... other wise uchizi anaouongelea anamtukana baba wa taifa letu.
craaaaaap
UAMSHO wakisema hawataki muungano wanafunguliwa kesi za kuhatarisha usalama wa nchi! Mchungaji akisema, serikali inapiga makofi. Kweli mfumo kristo unafanya kazi yake mchana kweupe ndani ya serikali.
du huyu haumi maneno
Wale jamaa wa kule wataenda malizia hasira zao kwa kuchoma makanisa ee Mungu tuondolee hili balaaKasema kweli. Kwani wao kitu gani bwana!
Hivi KWANINI watawala hawataki ku-face the reality wanayoiona?Huyu si ndiye aliyeuumbua KOVA na utesaji wa Ulimboka na sasa tena kaja na jambo kama hili ..Huyu ni another Fr. Mapunda. Refer: "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko" misingi ya TANU ndiyo inamuongoza Gwajima nini? ahahaaaaaaa.