tueleze basi mafuta yamegundulika wapi, maana nimesoma hizo link naona habari za gesi tuu huko mtwara na si mafuta.msaada kama unajua
Nimesoma pahali kuwa. South africa hawa chimbi mafuta ila ni wasafirashaji wakubwa wa mafuta. Wanachofanya ni kununua mafuta machafu na kusafisha kisha ku export.
Tungekuwa na akili tungewekeza huko. Uganda, qwanda, burundi, congo, zambia, malawi,msumbiji hata angola na kenya pia wangekuwa wateja wetu wakuu wa mafuta na bidhaa zake.
Kwa maana hiyo hakuna sababu ya kung'ang'ania hilo ziwa Nyasa. Wapeni tu hao wamalawi manake hakuna faida yoyote hata kama kuna mafuta. May be wamalawi watapiga hatua zadi na kufaidika na hilo wese kuliko bongo