Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,505
- 51,104
Hapana baba; kama kiiengereza chake ni kigumu kwako basi tafsiri yake ni hii
Masharti yaliyowekwa na vifungu (a) mpaka (g) vya ibara ya A10 yanaweza kusamehewa na Acacia, na masharti ya vifungu (h) mpaka (i) vya ibara ya A10 yanaweza kusamehewa na Serikalia ya Tanzania.
Sasa nenda usome masharti hayo ya ibara A10 yanasemaje. Yakikushinda kuelewa niandikie tena nitakutafsiria!!
NGOJA NIWEKE KIFUNGU CHOTE CHA 10 KUANZIA (a) mpaka (g) halafu utuonyeshe ni wapi Acacia wanaweza kusamehe madai yao ya pesa