msakata
Senior Member
- Sep 22, 2015
- 125
- 36
Mkuu nimekulewa kwa uzuri sana.Lipumba ametumwa kuja kuiondoa cuf kwenye ukawa ili ijitegemee, lengo la waliomtuma ni kudhoofisha ukawa ili Pia kupunguza kura za Lowasa kwenye urais 2020. Jiulizeni yeye mwenyewe ndo alisema anapumzika siasa, na wazee na mashehe walimshauri asijiuzuru akakataa, eti leo anasema wazee wale wale wamemshauri arudi ndio amekubali. Cuf ya Lipumba ilikuwa na mbunge mmoja tu bara, miaka yote ya uongozi wake. Leo cuf ya akina Mtatiro ina Wabunge 10 wa majimbo, inaongoza halmashauri kadhaa, halafu ndo anataka kujitenga na ukawa!! Ashindwe kwa jina la Yesu. Mungu amkemee. Umoja wa ukawa ni tishio sana kwa ccm. Na hakuna wa kuuvunja umoja huu wa ukawa, not even Lipumba. Lipumba anadhani cuf ni mali yake anaiweka mfukoni na kuitoa wakati wowote, na kuigeuza geuza kama samaki kikaangoni,NO!! Cuf ni chama cha watu, ni taasii, and no one is bigger than cuf itself.
Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
KWANZA NIANZE NA HIZI REDIO ZETU UCHWARA ZINAOENDESHWA NA MAPRESENTA DARASA LA SABA KWAMBA SI KILA MTU MAARUFU BASI ANAUWEZO WA KULISEMEA JAMBO. UPEO NA UWEZO WAO NI MDOGO SANA NA HAWANA FIKRA PEVU HATA KUCHAGUA NANI WA KUULIZA NINI ILI JAMII IELIMIKE.
NDUGU YANGU maggid UNATUANGUSHA WANA-TAMBAZANI, NENO LANGU LA HEKIMA KWAKO NI MOJA TU SIKU NYINGINE UKIPIGIWA SIMU WAAMBIE JAMANI HAPA SINA FACTS ZOTE KUHUSIANA NA JAMBO HILI ILA PINDI NITAKAPOZIPATA NA KUFANYA UCHAMBUZI YAKINIFU NITAWAPIGIA NIWAPE MTAZAMO WANGU.
KUKAA KIMYA JAPO MOYO UNAMVUTO NA UPANDE WAKE NI HEKIMA PIA. UKIACHA KICHWA KIENDESHWE NA MAPENZI YA MOYO AU NA TUMBO LA NJAA UNAJIHARIBIA NDUGU YANGU. NAJUA ELIMU KUBWA NA HEKIMA HUNA ILA KILE KILE KIDOGO ULICHOKIPATA PALE TAMBAZA KITUNZE ILI KIKUTUNZIE HESHIMA YAKO NDOGO ULIYONAYO KWA JAMII NA KWA FAMILIA YAKO.
NAWASIKITIKIA SANA WATOTO WAKO, KAMA NINGEKUWA NA BABA KAMA WEWE NINGEJISIKIA AIBU SANA IKIWA KAMA ANGEKUWA ANATOA MATAMKO KAMA HAYA. UNAZIDI KUDHIHIRISHA KWAMBA SI KILA SIKU UMRI UNAKUJA HEKIMA KUNA NYAKATI UMRI UNAKUJA PEKE YAKE.
MTU AMEJI HUDHURU KWA MAANDISHI (BLACK AND WHITE), TENA RASMI TOKA TAREHE 05/08/2015, MTU MZIMA KAMA YULE LEO HII UNAKUJA KUONGEA UPUUZI KAMA HUU. UNAWAFUNDISHA NINI WATOTO WAKO AU JAMII INAYOKUZUNGUKA. SIKUTEGEMEA UNGEONGEA UJINGA KAMA HUU MAGGID UMENISIKITISHA SANA NA UMEWAANGUSHA WANA-TAMBAZANI. SIKUTEGEMEA KAMA UMEFIKIA MJINGA WA KIASI HIKI MAGGID.
NIKIKUSIKIA SIKU NYINGINE UNATAJA TAMBAZA TUTAKUKANA SABABU TAMBAZA (TAZAMA MBELE ZAIDI) HAITOI WATU WAJINGA WENYE AKILI ZINAZO ENDESHWA NA NJAA ZA TUMBO AU MAPENZI YA MOYO.
GROW-UP MAGGID AND SET AN EXAMPLE OF EXCELLENCE TO YOUR KIDS,
"The first is setting an example of excellence for our children — because if we want to set high expectations for them, we’ve got to set high expectations for ourselves." Barack Obama