Uchambuzi: Lema ni hatari, arudishiwe Ubunge

ni kwa sababu nape kakaangu ninaemweshimu sana anatetea kila kitu cha ccm hata kama ni cha wazi ambacho hata mtoto wa miaka 4 anakijua kuwa jamaa wamebugi
 
Kwa hali ninayoiona na habari ambazo tunapokea kwa ndugu, jamaa na marafiki hali ni mbaya kwa taifa na wananchi wameshaamua liwalo na liwe!! Cha msingi naomba Chama kikishindwa kiondoke tu, tena katikati ya matokeo ukishaona mwelekeo unaachia tu kama nchi za wenzetu. Tena unasema asante na kusepa na familia yako unaendelea kupata stahili zako tuu kama kiongozi mstaafu. Kila kitu kina mwisho wake, mbona hat living things wanakufa hata non-living things wana depreciate? Let us accept unacceptables!!!
 
Nakumbuka ktk mechi kt ya ya Manu na AC .Gatuso alicheza free role! Akakaba kila m2 hadi Ronaldo akaonekana mbuzi tu! Teh teh
 
WAna JF
Tuna kumbukumbu wakati Lema amekataa kudhaminiwa akaingia mahabusu, karibia wafungwa na mahabusu wote walitaka kujiunga na CDM na hadi mkuu wa polisi mkoa wa Arusha RPC alifika gerezani kuongea na Lema ili atoke maana gereza lilikuwa linageuka uwanja wa siasa.

Sasa wamemvua Ubunge na sasa kila anapopita, wana-CCM wanarudisha kadi na kujiunga na CDM kama hawana akili nzuri. Angalia Geita, Sengerema, Mwanza, Arusha n.k.

Pendekezo: ili kuiokoa CCM kwa muda, Lema atafutwe mahali popote alipo arudishiwe Ubunge ili angalau awe bungeni au kwenye kamati. La sivyo CCM bye bye



Nimeipenda hii. mbona bado ni mbunge yuko likizo bila malipo ila anafanya kazi za kubomoa CCM na kujenga chadema
 
Watajuta kwanini wamempa rikizo maana kwangu hiyo ni rikizo,kufanya siasg si bungeni tu tena bungeni wanabanwa na kanuni lakin huku kitaa ni ful kujiachia naomba rikizo yake isiishe maana napata somo zaidi ya kuingia lecture.

Actually thread hii imewekwa kustimulate Great thinkers to think outside the box. Ukweli ni kuwa tukio hili ni sawa na atwanga kote kote. kwa sababu wakimwacha nje, anaendelea kuvuna (maana mavuno ni mengi, wavunaji ni wachache) akirudi bungeni anawakandamiza.

Wamefikiri, hawapati jibu. vichwa vinawachemka.

Quality


:frusty:
 
Hicho ni kimbunga uraiani nani atazuia?
Bungeni kuna dhoruba Filikunjombe, Zitto, Sugu na wengine.
watakoma
 
Back
Top Bottom