Uchaguzi wilayani Mwanga: Mhe, Diwani wa CCM na Mpambe wake wabondwa wakitoa rushwa..!!

Dec 9, 2014
12
14
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Mhe. Diwani mmoja wa CCM hapa wilayani Mwanga akiwa na Mpambe wake ambaye pia anagombea uenyekiti wa mtaa kupitia CCM, jana usiku walijikuta katika wakati mgumu baada ya kuvamiwa na wananchi wenye hasira pale walipokuwa wakijaribu kuwarubuni wagombea wa upinzani katika chaguzi zinazotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Imefahamika kuwa Mhe, Diwani huyo alitumwa na KIGOGO mmoja katika chama hicho hapa wilayani Mwanga. Na hadi sasa inaaminika kuwa KIGOGO huyo amefanikiwa kuwanunua wagombea kadhaa wa kutoka upinzani na wamejitoa katika kinyangányiro hicho.
Hali ya mhe, Diwan huyo na mpambe wake inaendelea vizuri, kwani bado wamelazwa katika hospital ya wilaya kwa matibabu zaidi. Hata hivyo, wahanga hao walipofikishwa kituo cha polisi na bahadhi ya wapenzi wa Chadema katika majira ya saa nne usiku, na katika mahojiano kituoni hapo, walisema hawawatambui wananchi waliowavamia na kuwapiga.

My take: Wananchi wa sasa wameanza kujitambua, VIVA 4ever...!!! hakuna kulala
 
lakini ni juzi tu hapa JF tuliambiwa wagombea wote 100 wa CDM wameenguliwa na kwamba CCM imepita bila kupingwa, je hii in maana mtoa uzi hakuangalia vyama vingine vinavyounda UKAWA hali inayosumbua watoa rushwa hadi wanapata kipigo?
 
Ni tukio la kweli hili na lilitokea juzi jumamos saa tatu usiku katika kitongoji cha kisangiro mforo mhe. Anaitwa ashrafali mruma na mpambe ni henry chaki. Walikamatwa na fedha taslim tsh 3milion ambazo zilipangwa kuwanunua wagombea wa kisangiro,mforo,mikuyuni ambapo mgmbea wa cdm mikuyuni ndie aliewastua wenzake na wakaweka mtego (set up)
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Mhe. Diwani mmoja wa CCM hapa wilayani Mwanga akiwa na Mpambe wake ambaye pia anagombea uenyekiti wa mtaa kupitia CCM, jana usiku walijikuta katika wakati mgumu baada ya kuvamiwa na wananchi wenye hasira pale walipokuwa wakijaribu kuwarubuni wagombea wa upinzani katika chaguzi zinazotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Imefahamika kuwa Mhe, Diwani huyo alitumwa na KIGOGO mmoja katika chama hicho hapa wilayani Mwanga. Na hadi sasa inaaminika kuwa KIGOGO huyo amefanikiwa kuwanunua wagombea kadhaa wa kutoka upinzani na wamejitoa katika kinyangányiro hicho.
Hali ya mhe, Diwan huyo na mpambe wake inaendelea vizuri, kwani bado wamelazwa katika hospital ya wilaya kwa matibabu zaidi. Hata hivyo, wahanga hao walipofikishwa kituo cha polisi na bahadhi ya wapenzi wa Chadema katika majira ya saa nne usiku, na katika mahojiano kituoni hapo, walisema hawawatambui wananchi waliowavamia na kuwapiga.

My take: Wananchi wa sasa wameanza kujitambua, VIVA 4ever...!!! hakuna kulala
 
Mwanga hamna aliyeenguliwa zaidi ya wagombea wa3 waliojitoa kwa kununuliwa kwa tsh laki tano ambao wanatokea kata ya lembeni
lakini ni juzi tu hapa JF tuliambiwa wagombea wote 100 wa CDM wameenguliwa na kwamba CCM imepita bila kupingwa, je hii in maana mtoa uzi hakuangalia vyama vingine vinavyounda UKAWA hali inayosumbua watoa rushwa hadi wanapata kipigo?
 
Na anayesuka hiz dili ni mbunge wa mwanga ambapo juzi jumamosi alikuwa na kikao ndani ya gari lake kwenye uwanja wa cd msuya majira ya saa moja usiku. Huyu bwana naye ni mwana escrow lkn nashangaa kina zito kwa nin hawakumtaja. Ana fedha nyingi taslimu nyumban kwake na siku za karibuni ulinzi umeimarishwa sana nyumban kwake kwani sasa hiv kuna lindwa masaa 24 na polis wenye silaha kitu ambacho wabunge na mawaziri hawana ulinzi huo
 
Huyu jamaa mbunge kwa kipindi chote hiki amekuwa akigawa ela cash, hadharani kwa mabalozi pamoja na wajumbe wa ccm wanaoshiriki katika mikutano yake wilaya nzima. Ni kweli, amekuwa na ela nyingi sana ambazo ni cash. Ndio cahama chetu hicho, hatuna jinsi
 
Back
Top Bottom