Uchaguzi wa UDOSO ndani ya UDOM

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Juzi jumapili wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) walifanya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi. Nimepata taarifa kwamba uchaguzi huo ulikubwa na vitimbi vya hapa na pale ambapo wanafunzi wa chuo hicho cho moyo mmoja wamemchagua mwanadada dobora kuwa rais wa chuo kizima pamoja na makamu wake ambaye pia ni binti. Naomba dondoo zaid kutoka kwa wale waliofuatilia uchaguzi huo kwa ukaribu.
 
Kuna tatizo gani kama Wadada wamechaguliwa kuongoza UDOM? Au wewe ni mbaguzi wa jinsia.
 
Hakuna mahali nimeandika kwamba wadada kuchaguliwa ni tatizo ila nimetoa taarifa kwamba wanafunzi wamemchagua mdada debora pamoja na makamu wake ambaye pia ni binti sasa wewe ulitaka niandike walimchagua mkaka debora?!! Au wewe ndo unajaribu kuleta dhana ya ubaguzi wa kijinsia! Usikurupuke kaka ili nawe uonekane umechangia tafakari kwanza usiwe kama makamba.
 
Makamba anahusika nini hapa? Au kila kitu unawaingiza hata wasiokuwemo. Unaposema wamemchagua mwanadada Debora kuwa Rais wa Chuo Kizima unamaanisha nini? Ulitaka awe Rais wa chuo nusu!!!!
 
Uchaguzi ulikuwa mzuri tu bt i dougth kwamba jeee wataweza kweli kukomaaa na management..?ili wacje wakanunuliwa kama wenzao waliopita kwa kudanganywa na visafari vya south Africa.......!
 
Hakuna mahali nimeandika kwamba wadada kuchaguliwa ni tatizo ila nimetoa taarifa kwamba wanafunzi wamemchagua mdada debora pamoja na makamu wake ambaye pia ni binti sasa wewe ulitaka niandike walimchagua mkaka debora?!! Au wewe ndo unajaribu kuleta dhana ya ubaguzi wa kijinsia! Usikurupuke kaka ili nawe uonekane umechangia tafakari kwanza usiwe kama makamba.

relax bro usiwe na hasira sana, hata mimi wakati naoma mda wote nilikuwa na stress na hasira
 
Back
Top Bottom