Wana JF CCM inatisha sana. Mbunge wa Rombo analalamika CCM wamemwaga mamilioni uchaguzi wa udiwani na wananunua shahada. Anaomba makamanda wenye mapenzi mema tuchangie kwa ajili ya wale walioko field ambao wanapambana. Ujumbe wake huu hapa na pia unapatikana kwenye facebook yake yenye jina Joseph Selasini:
YANAYOJIRI KWENYE KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA NANJARA REHA.
CCM wameingiza shilingi 107 millioni ambazo zinatumika kununua shahada za kupigia kura na kuhonga wapiga kura. Takukuru haioni hata pale wanapoonyeshwa!. Tumeamua kuagiza vijana wetu wa Red Brigade kupambana na hao wanaonunua shahada ambapo wengine ni mabalozi,viongozi wa vijiji na Kata. Kazi hii tuliyowapa vijana hawa ni kazi ngumu inayoh... itaji nyenzo kama usafiri na mawasiliano. Tunaomba yeyote aliyeguswa anaweza kutuongezea nguvu ya rasilimali kwa kutuma kwa njia ya M.Pesa namba 0754580201 au TiGO Pesa Namba 0655580201.
Bado CHADEMA tuna uhakika wa ushindi pamoja na jitihada zinazoendelea.
Ahsanteni sana!
Joseph Selasini (Mb- Rombo)
CHADEMA
Amesema ni fedha za kugawa ama kwa ajili ya kufanikisha shuhuli mbalimbali za usafiri n.k.kama warombo bado wananunulika kirahisi namna hivyo basi hakuna haja ya kuongeza pesa kwani selasini atakua anfanya kilekile ambacho analaani, kugawa pesa
neno
sawa kabisa. wahamasisheni wachukue pesa CCM, wapige kura CHADEMA