Uchaguzi wa TFF kufanyika Tarehe 07/08/2021

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,239
Wakuu,

Kikao cha Kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kilichofanyika leo jijini Dar kikiongozwa na Rais wa TFF, Wallace Karia kimepitisha rasmi Uchaguzi mkuu wa TFF utafanyika tarehe 07/08/2021.
 
Karia angempisha mwingine aje atakaeweza angalau kupanga ratiba ya mechi ligi kuu pasiwepo na viporo kila mwaka.
 
Karia angempisha mwingine aje atakaeweza angalau kupanga ratiba ya mechi ligi kuu pasiwepo na viporo kila mwaka.
Hivi Unaweza Kuamini Kwamba Kombe La FA Simba Mechi Zote amechezea Home na Yanga Mechi Zote Alikuwa anacheza Away?
 
Back
Top Bottom