Uchaguzi wa Malawi uwe fundisho kwa watanzania, 2015

Chama kilichokuwa kinaongoza dola ni chama cha DPP ambacho ndicho kiliunda serikali. Joyce Banda alikuwa anaongoza serikali ya chama cha DPP

Ila ukumbuke CCM ya Malawi ilisharestishwa in peace zamani sana! Au?
 
UKWELI MTUPU.
Vyama vyote tawala vitakufa lakini sio CCM.
Kwa huu upinzani uchwara wa Tz,tehetehetehe kwiwkwiwkwiwkwiwkwi hihihihiiiiii
 
Hali ya kisiasa ya MALAWI na Tanzania ni vitu viwili tofauti. Tanzania bado walio wengi wana imani kubwa na CCM.
 
Mkuu lusundo, hakika hawa UKAWA wanajidanganya sana. Wanadhani kuna siku watakuja kuishinda CCM kumbe ndo wanasambaratika hivyo

ccm itanyukwa kwenye sanduku la kura 2015 hasa baada ya daftari kuboreshwa , tena itashindwa mchana kweupe ! LIWAKE JUA AMA INYESHE MVUA .
 
Mama Banda kama walibyo viongozi wengi wa Africa hupenda kuwatesa na kuwanyanyasa wenzao kwa kutumia dola...Alimsumbua sana Prof Mutharika eti kwakuwa kaka yake alikua Raisi na walikua hawaelewani,Sasa tusubiri tuone kitakachojiri ingawa naimani Prof hawezi kuwa na visasi.Viongozi wetu wajifunze hapa
 
UKWELI MTUPU.
Vyama vyote tawala vitakufa lakini sio CCM.
Kwa huu upinzani uchwara wa Tz,tehetehetehe kwiwkwiwkwiwkwiwkwi hihihihiiiiii
kwa sasa
ccm imebakiwa kuungwa mkono na watoto na wake wa viongozi tu ! Sababu zinafahamika .
 
Fundisho muhimu tunalolipata kutokana na uchaguzi wa Malawi na Kenya ni kwamba hizo biometric voting systems zina mapungufu mengi ambayo hutumiwa kuharibu matokeo sahihi ya chaguzi!!! Wapinzani Tanzania ni lazima wawe macho na tekinolojia hii katika chaguzi!!!
 
Ujue CCM hakupeleka wataalamu wa kuchakachua mkuu.

Pengine si kweli kwamba 'CCM' haina mkono katika nani kashinda. Huyo mshindi Peter Mutharika aliwahi kuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Tanzania kama kawa, marais wa nchi zinazotunzunguka wengi wamepita hapa kwetu kupiga 'tiz'.
 
Daaa Yule mama Kama kapigwa chini afadhali daaa yaaani alikuwa full mikwara kuanzisha vita

Kama kashindwa yule mama, basi JK atapumua maana hali ya ziwa Nyasa ni mbaya ingawaje mafuta yale sisi tutayapata kwa kutumia bonde la Kyela
 
Nawashangaa sana wanaoshabikia uzi huu na inaonesha ni kwa kiasi gani mmekuwa mambumbu ya siasa za Malawi. Ngoja niwape Darasa kidogo halafu mjione jinsi mlivyo waj.inga.

Uchaguzi Mkuu wa kwanza kidemokrasia katika mfumo wa vyama vingi ulifanyika mwaka 1994. Bakili Muluzi wa United Democratic Front alichaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo na hivyo kuhitimisha utawala wa Malawi Congress Party (MCP) kilichoongozwa na marehemu Kamuzu Banda. Uchaguzi wa pili katika mfumo wa vyama vingi ulifanyika mwaka 1999 na Bakili Muluzi na chama chake cha UDF walishinda uchaguzi huo. Uchaguzi wa tatu katika mfumo wa vyama vingi ulifanyika mwaka 2004. Katika uchaguzi huo, mrithi wa Bakili Muluzi, Bingu wa Mutharika alichaguliwa kuongoza nchi hiyo kupitia chama cha UDF.

Hata hivyo, mwaka 2005, Bingu wa Mutharika alijitoa kwenye chama hicho na kuanzisha chama kipya cha Democratic Progressive Party ( DPP) kwa madai kuwa chama chake cha UDF kilikuwa kinanuka rushwa. Baada ya kujitoa UDF, BINGU WA MUTHARIKA aliendelea kuwa rais wa nchi hiyo kwa vile katiba ya nchi ilikuwa silent juu ya kiongozi anayejitoa kwenye chama chake na kuingia chama kingine akiwa madarakani. Hivyo Mutharika akafanikiwa kuendelea kuwa rais wa Malawi na alizoa wabunge wengi kutoka vyama vingine kikiwemo chama tawala cha UDF. Uchaguzi mwingine ulifanyika mwaka 2009 na Bingu wa Mutharika na chama chake cha DPP walishinda uchaguzi huo. Hata hivyo, serikali ya DPP haikuwa na mabadiliko makubwa na vyama vingine na chama hicho kiliendelea kuandamwa na kashfa za rushwa

baada ya uchaguzi wa 2009, Bingu wa Mutharika alianza kampeni za kumuandaa mdogo wake Peter wa Mutharika kuwa mrithi wake. Hali hiyo iliwachukiza sana wanasiasa wakongwe ndani ya DPP akiwemo mwanamama Joyce Banda ambaye alichaguliwa kuwa makamu wa Rais Mwaka 2009. Kutokana na hali hiyo, Joyce Banda alijitoa kwenye chama cha DPP na kuanzisha chama chake cha People's Party (PP). Hata hivyo, kwa vile katiba bado iliendelea kuwa silent juu ya kiongozi anayehama chama chake akiwa madarakani, Joyce Banda aliendelea kuwa Makamu wa rais. Kwa hali hiyo composition ilikuwa kwamba Rais alitoka chama cha DPP na Makamu wake alikuwa wa PP. Hali hiyo iliongeza ugumu wa utawala wa Mutharika.

Mwezi Aprili 2012, Bingu wa Mutharika alifariki kwa shinikizo la damu baada ya kusoma ripoti ya rushwa ambayo ilimhusisha pamoja na utawala wake. Kwa hali hiyo Makamu wa Rais, Joyce Banda aliapishwa kuwa Rais kwa mujibu wa katiba ya nchi hiyo. Na hii ni baada ya jaribio la kubadili katiba ili Peter Mutharika awe rais wa Muda baada ya kaka yake kufariki kushindikana. Baada ya kifo cha Bingu, Peter Mutharika alichaguliwa kuongoza chama hicho tawala ambaye basdaye alipitishwa kuwa mgombea uchaguzi wa mwaka huu na kushinda kupitia chama tawala cha DPP.

Kwa hali hiyo, naomba kuwaweka wazi kuwa bi Joyce Banda na chama chake cha PP hawakuwa na nafasi ya kushinda kwa vile chama hakikuwa na political base na pia hakikuwa na wabunge wa kutosha kuweza kuwashawishi wananchi. Pia mkumbuke kuwa chama cha PP kimegombea uchaguzi mkuu kwa mara ya kwanza mwaka 2014 kwani kimeanzishwa mwaka 2011, miaka miwili baada ya uchaguzi Mkuu wa 2009. Hivyo ni uhayawani kutamka kuwa chama tawala kimeshindwa kwenye uchaguzi wa Malawi. Tatizo la misukule ya Kinondoni ni kwamba haijishughulishi kutafuta taarifa juu ya mambo yanayoendelea kwenye nchi nyingine. Kwa vile kiongozi wao Mbowe ni Mr DJ, hata wafuasi wao wamekuwa ni vihiyo. Habari ndiyo hiyo. Kama kuna mtu anahoja ya kupinga hoja zangu na aje nimcharue

Pole!Naona unataka kuhamisha goal posts ili ufunge kiurahisi!
 
Kubadili utawala ni common sense tu, utawale milele wewe MUNGU??? katoka Gadafi wananchi wakishangilia itakuwa hili genge la wezi TZ???
 
Hali ya kisiasa ya MALAWI na Tanzania ni vitu viwili tofauti. Tanzania bado walio wengi wana imani kubwa na CCM.

Wana imani kubwa na ccm kwa kutumia kigezo gani? Unajua vzr kikwete alichaguliwa na watanzania wangapi? Rudi lumumba ukakaririshwe nondo urudi.
 
Uchaguzi mkuu wa Malawi umehitimika na mgombea wa upinzani Profesa Peter Mutharika kapata ushindi wa kishindo, akimtimulia vumbi na kumuacha mbali kabisa mgombea wa chama tawala Bi Joyce Banda. Ushindi huu una maana sana na ni fundisho kubwa kwa watanzania.

Kwanza, kila mtanzania ni shahidi jinsi Bi Banda, anavyotuhangaisha na mgogoro wa ziwa Nyasa. Ushindi wa Profesa Mutharika ni afueni kwa watanzania kwa kuwa mutharika ni msomi na ni mtu muelewa kuliko Bi Banda. Hakuna shaka kwamba mgogoro huu wa kichokozi ulioanzishwa na Banda kwa lengo kujijenga kisiasa, utafika tamati sasa.

Pili, uchaguzi huu ni fundisho kubwa kwa watanzania na unawapa ujasiri wa kufanya mageuzi ya kisiasa ktk uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, 2015, na ktk uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika baadaye mwaka huu.

Watanzania tusiwe watu wa kulalamika tu bila kuchukua hatua za kujikomboa kupitia sanduku la kura. Kama Zambia, India na Malawi wameweza sisi tunashindwa nini? Amka ndugu watanzania tubadilishe uongozi huu mwaka 2015.

==========

Uchaguzi wa Malawi umehitimika huku mgombea wa chama cha upinzani, Profesa Peter Mutharika akiibuka na ushindi wa kishindo, akimtimulia vumbi kali sana mgombea wa chama tawala, Bi Joyce Banda.

Ushindi wa Prof Mutharika umepokewa kwa bashasha na watanzania hasa ukizingatia jinsi Banda alivyokuwa akitaka kutupora ziwa letu la Nyasa. Mutharika ni msomi na ni muelewa kuliko Banda. Bila shaka sasa mgogoro huu wa kichokozi utafika tamati na wananchi wetu wataendelea kuvua na kutumia maji ya ziwa Nyasa bila bugudha.

Aidha, uchaguzi huu uwe fundisho kwa watanzania waliochoshwa na utawala uliopo madarakani. Wakati wa kulalamikia ugumu wa maisha kwa wananchi na udhaifu, ufisadi na udokozi wa viongozi wa chama na serikali umeisha. Amka sasa tufanye mageuzi ya utawala kupitia sanduku la kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, 2015. Ikiwa India, Zambia na Malawi wameweza sisi tunashindwa nini au mnataka tufanye kama walivyofanya huko Thailand?

Saa ya ukombozi ni sasa. Tuchukue hatua za kujikomboa kutoka utumwani.

****************

Usahihi wa Uchaguzi Mkuu wa Malawi 2014. Wapinzani Jipangeni tena. Hili limebuma


TANESCO NA IPTL NI MHIMILI WA MAOVU NA UFISADI
Habari za uhakika Kutoka National Audit zinaonyesha kuwa CAG amemwandikia barua Katibu wa Bunge, akimwomba athibitishe rasimu ya hadidu za rejea 13 ambazo zitamwongoza katika ukaguzi huo unaosubiriwa na Bunge, wanasiasa na wananchi.
Moja ya hadidu za rejea ni uchunguzi wa iwapo Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) aliisamehe kampuni hiyo kodi inayofikia Sh26 bilioni.
Mwishoni mwa wiki, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alilieleza Bunge kuwa ukaguzi katika akaunti hiyo ungefanywa na Ofisi ya CAG na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).
Watafiti wa mambo wanasema sakata la IPTL limechukua sura mpya baada ya majasusi wa USA na UK kuanza kufauatilia kwa makini suala hili ambapo imetajwa kwamba mhusika mkuu wa Suala hili Bardernder Singt Setti mkenya raia wa asia ni mshirika mkubwa wa Gedion Moi ambapo wote kwa pamoja wanatuhumiwa kumiliki mali za wizi kutoka serikali ya Kenya wakati wa utawala wa Rais Moi,
Ni ufisadi aliofanya Harbinder Singh Sett na Gedion ulioangusha serikali ya KANU Kenya na yeye kukimbilia South afrika ambako kuna mali nyingi za wizi zinazochunguzwa na majasus wa UK.
Kwenye sakata hili Gen Robert Mboma amenaswa na majasus hawa na taarifa za uhakika zimefika UK hadi wanakusudia kusitisha misaada kiasi cha £71,000,000 kwenye sekta ya umeme.
Shinikizo hilo linakuja baada ya Benk ya standard Charter Honh Kong Kufungua kesi London akidai Zaidi ya US$145,000,000 ambapo watumiwa ni Bardender Singh kwa ushirika na Watendaji wa serikali ya Tanzania.
Wafuatao ni redi colour kwenye sakata hili ambapo ni lazima watoke ili Mkulu apone:
(1).Eliakim Maswi
(2) Prof Muhongo
(3)Katibu Mkuu Hazina
(4) Fredrick Werema(AG)
(5) Robert Mbomar
(6)Albert Marwa mkwe wa JK kupitia kwa Salama (Ndoa hii JK alikataa kufunga)
.
.
Mwanasheria wa Tanesco anatajwa kuwashauri Mboma na wenzake kwenye bodi ya TANESCO lakini ushauri wake ukatupwa nay eye akajiuzuru
Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini mwaka huu inaweza kukwama kwa asilimia 100 na watu wengi wanatazama eneo la TANESCO kama sehemu ya ulaji.
TANESCO wanatumia pesa nyingi katika miradi ya umeme ambayo yote ni mibovu . Angalia pesa hizo hapo chini harafu ufananishe na kuondokana kwa tatizo la umeme katika maeneo husika:
(1)Mfumo wa usafirishaji umeme na usambazaji katika Mkoa wa Kilimanjaro uliogharimu Sh28 bilioni.
(2)Mfumo wa usambazaji umeme kwa jiji la Dar es Salaam mwaka 1991 kwa msaada wa JICA Sh63.4 bilioni.
(3) Mradi wa umeme Mkoa wa Kilimanjaro (1997) Sh 7.8 bilioni
(4)Mradi wa umeme DSM KV 132 Ubungo hadi Ilala awamu ya kwanza (1998 ) sh 18.5 bilioni
(5)Mradi wa Km7 KV 132 kutoka Ubungo hadi Makumbusho (2011) Sh 7.3 bilioni
(Bado haujazinduliwa hadi Leo kufuatia hitilafu nguzo 19 na 20)
(6)ukarabati wa kituo cha msongo wa KV 132/33 cha Ilala (2013) Sh827 milioni
(7) Ukarabati mkubwa wa kituo cha kupooza umeme Kilimanjaro (2013) Sh40.6 bilioni)
(8) Umeme kutoka Iringa - Dodoma – Singida – hadi Shinyanga wa Km 217, KV 400 (216) US$26 milioni
[h=2]

[/h] [h=2]HARBINDER SINGH SETHI [/h] Harbinder, a Kenyan Asian architect and constructor is currently resident in Sandton, Johannesburg. It has been reported that Sethi is used as a front man for Gideon and has business links to Biwott and Boinett. According to Msamaha, Sethi moved to South Africa immediately after the 1997 elections in Kenya. Msamaha opined that within the Moi family Sethi fronts only for Gideon and not Ex-President Moi. Sethi also fronts for Bill Boinnet. Boinnett and Sethi are very close and when Sethi visits Kenya he usually stays with Biwott.
[h=3]Personal Details [/h] UK Companies House records reveal that Harbinder Singh Sethi, a Kenyan national, was born on 10 January 1958. Research conducted within the UK reveals that Sethi's address is given as PO Box 46241,Tom Mboya Street, Nairobi, Kenya. Research conducted within South Africa reveals that Sethi's South African Identity Number (CIO Number) is 5801105424184.
[h=4][/h] [h=4]South Africa[/h] Closed Corporations Database searches reveal that Sethi is currently a 'member' of a large number of closed corporations eCC"), listed below. The CCs of which Sethi is a 'member' are registered under the following residential and postal address:
Residential: 8A Aberfeldy Avenue, Morningside, 2057 (this is the same as Sethi's previous address listed above). Postal: P.O.Box 4707, Rivonia, 2128
Of all the closed corporations listed below, database searches reveal Sethi is currently the director of only one, named Spirit Wind Investments 114, to which he was appointed on 7 October 2003. Although he is not listed as a director of the remaining 73 cc's, he is listed as a 'member' and personally registered the properties as closed corporations.
Sethi is a member of the following list of closed corporations:
Name of Closed Corporation
Date of Appointment
Unit 18 Kingsley Place
17 January 2003
Unit 22 Kingsley Place
17 January 2003
58 Cambridge
06 February 2003
Spirit Wind Investments 114
07 October 2003'0
Rakhee Impex Trading
03 January 2002
Moneyline 1605
04 February 2002
Villa Via no 22
08 February 2002
Villa Via no 24
07 March 2002
Wetdan W47
14 March 2002
Erf 6536, Loots Park 27
June 2002
Erf 6542, Loots Park 27
June 2002
Erf 6544, Loots Park 27
June 2002
Wetdan W55
26 July 2002
Chalton Oakes no 47
02 August 2002
Via Veneto no 38
02 August 2002
Canterbury Close no 1
26 August 2002
Canterbury Close no 10
26 August 2002
Canterbury Close no 11
26 August 2002
Canterbury Close no 12
26 August 2002
Canterbury Close no 31
26 August 2002
Chalton Oakes no 40
26 August 2002
Darrenwood no 47
26 August 2002
Fontenay no 11
26 August 2002
Fontenay no 22
26 August 2002 II
Fontenay no 38
26 August 2002 i
Fontenay no 44
26 August 2002 !
Fontenay no 47
26 August 2002 !
Fontenay no 64
26 August 2002
Fontenay no 76
26 August 2002 I
Fontenay no 78
26 August 2002
Northwold Manor no 36
26 August 2002
Northwold Manor no 47
26 August 2002
Chalton Oakes no 42
26 August 2002
Ravens Hill no 29
26 August 2002
Northwold Manor no 9
26 August 2002
Ravens Hill no 46
26 August 2002
Ravens Hill no 47
26 August 2002
Ravens Hill no 49
26 August 2002
Ravens Hill no 51
26 August 2002
Riverglades no 159
26 August 2002
Riverglades no 255
26 August 2002
Rivergiades no 277
26 August 2002
Via Veneto no 14
26 August 2002
Via Veneto no 30
26 August 2002
Via Veneto no 34
26 August 2002
Via Veneto no 36
26 August 2002
Northwold Manor no 9
27 August 2002
Northwold Manor no 10
27 August 2002
Villa Via no 9
12 September 2002
Paraha Investments no 5
25 October 2002
Paraha Investments no 1
22 November 2002
Paraha Investments no 2
22 November 2002
Paraha Investments no 4
22 November 2002
Palu-Zara
25 November 2002
Unit 9 Kingsley Place
19 December 2002
Unit 11 Kingsley Place
19 December 2002
Thabazimbi Game Lodge
16 January 2001
Villa Via no 37
19 February 2001
Villa Via no 41
19 February 2001
Villa Via no 46
19 February 2001
Villa Via no 39
19 February 2001
Villa Via no 48
19 February 2001
Villa Via no 50
19 February 2001
Villa Via no 33
05 March 2001
Villa Via no 31
20 March 2001
Wallaby Properties
10 April 2001
Vexma Properties 200
19 April 2001
Toremar Investments 102
14 May 2001
42 Villa Via Developments
01 June 2001
Ri-Decent Diamonds (SA)
17 August 2001
Penohatek Electrical and Security Systems
04 Ju!y 2001
Ircoronata Trading
29 Jure 2000
Sethi has resigned form the following close corporation's:
Name of Closed Corporation
Date of Appointment
Sixbar Trading 299
22 August 2000
Executive chairman, Harbinder Singh Sethi – who owns IPTL via a holding company known as Pan African Power Solutions Tanzania Limited (PAP) speaking to journalists..
C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg
The IPTL company secretary and the chief counsel, Joseph Makandege (right) displays document at a press conference in Dar es salaam, with him is the Executive chairman, Harbinder Singh Sethi – who owns IPTL via a holding company known as Pan African Power Solutions Tanzania Limited (PAP)
----
Executive chairman, Harbinder Singh Sethi – who owns IPTL via a holding company known as Pan African Power Solutions Tanzania Limited (PAP) - denied any wrongdoing in the deal on Tuesday, saying he followed all the legal and regulatory procedures in the process.
³I followed all the procedures….I did not come to Tanzania to make money….I want to help Tanzania to get enough electricity that is vital in economic development,² he told a section of journalists in Dar es Salaam.
Mr Sethi puts the amount that was/is in the escrow account at about Sh150 billion, noting however that there was nothing wrong with his companytransferring the assets for IPTL - including money – to PAP since the latter is the legally-accredited holding company for IPTL.
Before being acquired by PAP, IPTL was owned jointly by a Malaysian firm, Mechmar Corporation and Tanzania¹s VIP Engineering and Marketing Company Limited, with the former controlling a 70 per cent stake.
The company, according to its secretary and chief counsel, Joseph Makandege operated peacefully for just about five years before unending wrangles erupted between the two shareholders - prompting money to be sent to the escrow account.
³With squabbles between shareholders, VIP became suspicious that the money would be defrauded so he sought a court order - demanding that money, paid by Tanesco [the Tanzania Electric Company Limited] to IPTL, should be deposited in the escrow account at the BoT,² he explained.
In 2010, Mr Sethi brought all the documents, confirming that he has been duly chosen as the custodian for all of Mechmar assets in Tanzania.
The court cases notwithstanding, Mr Sethi went ahead to buy all the shares that Mechmar had earlier sold to Piperlink and transferred them to PAP.

This, in essence, meant that Mr Sethi - through PAP – now owned 70 per cent of shares in IPTL, with VIP owning the remaining 30 per cent.
He later engaged VIP so he could buy the latter¹s 30 per cent stake. ³VIP agreed and was paid $7.51 million as down payment for a deal totalling $75million,² explained Makandege, noting that the remainder was covered later. Having settled the deal, VIP went to court requesting the judge to drop all the cases involving VIP and Mechmar.
The court ruled - on September 5, 2013 – in favour of VIP and all the cases were dropped. PAP was thus granted the ownership of all of IPTL assets -including money in the escrow account. PAP also agreed to pay all IPTL creditors.
The duty of the provisional liquidator ended there The new company, according to Mr Makandege, then embarked on a duty of searching for wherever IPTL assets were. It arranged a meeting with Tanescowhere they arrived at the right amount that the state-owned utility firm owed IPTL. ³In fact, Tanesco board directed the management to inform keystakeholders that there were no more disputes between the state power company and IPTL - resulting into an official end of depositing IPTL money into the escrow account,² he said.
The duty ahead of PAP remained that of making sure that money from the escrow account was transferred into the PAP account. ³With that, an agreement had to be signed between IPTL and the government through the Ministry of Energy and Minerals….it should be noted that money in the escrow account belonged to two of IPTL shareholders…..it was neither taxpayers¹ money nor money for Standard Chartered Bank Hong Kong,² said Mr Makandege.
The government also required PAP to sign an Indemnity Agreement to the effect that whenever a new creditor comes, then PAP would be responsible.

The government then wrote to BoT demanding that the money be released to the rightful and legally-accredited owner. ³That was how the money was released,² he explained.

C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image003.jpg

Mr Harbinder Singh Seth akitoa Shs11,000,000 kwa George Kashushura, Kiongozi wa SACCOSS ya Kanisa la MT RITTA KIMARA DSM .
Pesa hiyo imetolewa tarehe 21/3/2014 siku chache baada ya kukwapua fedha BOT
Hapo yupo na mwanasheria wa PAP aitwaye JOSEPH MAKANDEGE ambaye ndiye amemuunganisha Singa Singa (tapeli ) na Makanisa.
Hata hivyo zipo taarifa kuwa Albert Marwan a Singa Singa huyo ni pete na kidole !!

[h=1]UK envoy speaks out on IPTL $122m controversy[/h]
C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image004.png
Share
C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image005.png
Bookmark
C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image006.png
Print
C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image007.png
Email Rating
C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image008.png

British High Commissioner to Tanzania, Dianna Patricia Melrose speaks at Mwananchi Communications Ltd (MCL) office which is located at Tabata Relini in Dar es Salaam yesterday. PHOTO|SALIM SHAO
By Florence Mugarula ,The Citizen Reporter

Posted Wednesday, May 7 2014 at 00:00
In Summary

  • Ms Dianna Melrose commends the decision by the Public Accounts Committee and Controller and Auditor General to investigate the Sh198.25 billion transaction saga
SHARE THIS STORY
0
inShare
Dar es Salaam. The United Kingdom and other development partners are concerned about the controversy surrounding the acquisition of Independent Power Tanzania Limited (IPTL), the UK’s high commissioner to Tanzania said yesterday.
Ms Dianna Melrose commended the decision by the Public Accounts Committee (PAC) and Controller and Auditor General (CAG) to investigate the $122 million (Sh198.25 billion) transaction saga.
She also confirmed that she wrote to the Bank of Tanzania (BoT) governor, Prof Benno Ndulu, seeking to know on what grounds were the escrow billions released to Pan African Power (PAP) Solutions Limited while the main case was still pending before an international tribunal.
The UK envoy was speaking during a visit to the Mwananchi Communications Limted (MCL) head offices.
She said the IPTL issue was of “great concern” to the British government, adding that the high commission hadalready communicated with the relevant ministers in addition to writing to the BoT governor.
“We wrote to the BoT governor asking for elaboration after learning something about the escrow account,” Ms Melrose said.
According to the envoy, the UK government was pleased that the matter was now being investigated and that there would be a comprehensive report on what really transpired.
“Let’s wait for the results and see what really happened,” she said.
However, Ms Melrose said the donor community was closely monitoring the unfolding scandal, adding that the UK had reason to be concerned as it was planning to provide £71 million (Sh177 billion) for Tanzania’s energy sector in the next financial year. “The UK alone looks forward to providing £ 71 million to the energy sector in the next budget, so it is a concern for us when it comes to the IPTL issue,” she said.
PAC in March ordered an audit to establish how PAP was paid billions of shillings from an escrow account after the company claimed it first bought 70 per cent of Malaysian firm Mechmar for an undisclosed amount and then acquired 30 per cent of VIP Engineering and Marketing for $67.5 million (Sh109.14 billion).
In terms of reference revised by the CAG and endorsed by PAC last week, the parliamentary oversight committee, among other things, directed that an investigation be carried out to establish whether the acquisition of the 70 per cent stake in IPTL was legal.
The CAG will also investigate the circumstances that allowed IPTL, which was under liquidation, to sell the stake to a new investor in 2010 as claimed by PAP executive chairman Harbinder Singh Sethi.
[h=2]· How James Rugemalira outsmarted GoT[/h]
C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image009.jpg
akiwa na mkewe



THE POWER AND THE VAINGLORY: Anatomy of a $100 Million Malaysian IPP in Tanzania
 
PERFECT....ahsante sana kwani umewaziba midomo sasa...Walitaka kutumia hoja hii kuwadanganya watanzania lakini mashallah kumbe ukweli uko bayana. Hapa bado chama tawala kina mizizi na ili uking'oe inakubidi ufanye kazi ya ziada kabisa na sio kuzunguka na chopa tu kuwatimulia watu vumbi na kuwaacha wakishangaa kipando cha angani.

Lakini CCM ya malawi ile ya bakili muluzi iko wapi?
 
Wana imani kubwa na ccm kwa kutumia kigezo gani? Unajua vzr kikwete alichaguliwa na watanzania wangapi? Rudi lumumba ukakaririshwe nondo urudi.

Labda utuambie wewe Dr.Slaa alichaguliwa kwa kura asilimia ngapi! mpaka akashinda kuwa "Rais" wa mioyoni.
 
Umetuelewesha vizuri sana kwa tusiyoijua historia ya Malawi. Ila hapo mwishoni umetumia lugha ambayo sio. Mkuu.
 
Back
Top Bottom