Uchaguzi wa EALA ni kwa Maslahi ya CCM au CHADEMA?

Hivi mkuu wangu akina dr Magembe hujawaona? au hao hawajapitishwa na ccm? Kama wewe ungekua mbobezi katika ujasusi wa kiuchumi kiasi hicho chama chako kisingepitisha watu wawili tu kugombea. Mkuu nakubali sana uchambuzi wako lakini katika hili la kudharau watu kwa kuangalia sura sikubaliani na wewe.
Ana wivu tu, alitaka awe na sura ngumu kama ya dadake ndio aone kama ana weledi???
 
Yereko, sina tatizo na uchambuzi wako, kwani ni kweli tunahitaji kuchagua watu wenye uwezo. Ila kuna kitu ungenisaidia ktk mapungufu uliyoyataja ya wawakilishi waliotangazwa na kuweka mfano wa huyo Fancy. Nilitegemea ueleze upungufu wake badala ya kuweka picha pekee, huenda akawa binti mdogo na mwenye muonekano huo na bado akawa ana uwezo wa kutimiza kila kinachotarajiwa! Ungetueleza mapungufu yake (pengine hana weledi, hajui chochote, n.k) badala ya kutuachia muonekano tu!
 
c74717a1c9c196fcddc7b833e5c2881f.jpg
uyu ndie anaenda kutetea taifa
wivu wa kijinga,Huyu ni msomi pengine kuliko hata hy nyerere, na hajaanza kugombea leo kuonyesha anajua anachokifanya. Chadema kwa nini msingemchagua Yeriko jasusi wa kiuchumi wa ufipa...?
 
Wakati naamua kuandika kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi nilikuwa na lengo kuu moja tu, nalo ni kuhimiza Tanzania kuhama hapa ilipo na kwenda kwenye nchi ya uchumi wa viwanda amboko msingi wake ni Ujasusi wa Kiuchumi.

Dunia ya leo ni ya Ujasusi wa Kiuchumi, mshindani wetu kiuchumi awali alikuwa ni Kenya, nchi hii iliamka na kuwekeza kwenye misheni za kiupelelezi wa kiuchumi sio kisiasa, Leo mshindani ameongezeka Rwanda, taifa dogo lenye watu wasiozidi milioni 20 ndio mshindani na kiongozi wa ujasusi wa kiuchumi leo, Kila wakifanyacho leo Rwanda wanazingatia maslahi ya kiuchumi kwa nchi yao kwanza tofauti na Tanzania ambayo maslahi ya Chamwino ni muhumu kuliko ya Taifa.

Kisayansi na kinadharia uwakilishi wa EALA unahitaji vitu vitatu muhimu, Kwanza ni Sheria, yani taifa likipata uwakilishi wa mtu anayejua sheria ataweza kulipigania taifa lake kuzishinda za kisheria,

Pili ni Uchumi, yani Taifa likipata mwakilishi anayefahamu vema na aliyebobea katika uchumi, mtu huyo ataweza kutetea maslahi ya taifa lake dhidi ya hila za kiuchumi,

Na tatu ni diplomasia, hapa inahitajika mbobevu anayeweza kuhudumu katika diplomasia ya kisiasa, kiuchumi nk, huyu kwa namna yoyote atakuwa kiungo wa hao hapo juu niliowaeleza.

Leo Rwanda imechagua wawakilishi wao makini akiwemo Mwanadheria wao Mkuu kuwa mbunge wa Bunge la Mashariki, Sisi kwetu chama kwanza cha Mapinduzi ndicho kimeatamia mchakato wote na kuchagua makada wasio na vigezo vya kileo kuwa wawakilishi,Kibaya zaidi kwa uwingi wao Bungeni, wamezuia wabunge wa Chadema ambao kimsingi ndio wenye vigeo mujarabu vya kisasa kuwa wawakilishi.

Kikanuni nafasi mbili (2) katika wawakili 9, ni za chadema, hili halihitaji mjadala, Chadema baada ya mchakato halali na halisi wakuchuja wagombea wake wote walioomba kupitia Chama, Waliamua kupitisha majina mawili tu ambayo yangethibitishwa tu na bunge, Kinyume chake Wabunge wa CCM wameyakataa kwa kura, kimandiki hakukuwa na sababu za kupiga kura bali kupita bila kupingwa ikiwa nafasi zinazotakiwa ni mbili na wagombea walioletwa ni wawili.

Kiuhalisia hoja yakuwa Idadi ya Wagombea, walioiwakilisha CHADEMA Katika Uchaguzi wa EALA, Jana ndio msingi wa matokeo ya jana ni yakupuuzwa na wanaoisimamia wapuuzwe.

Kimsingi kila nafasi inapaswa kuwa na Wagombea wasiozidi watatu, ila wakiwa pungufu hakuna tatizo lolote la kikanuni au kisheria. Pia hoja ya Jinsia ya 1/3 inasimama katika wajumbe 9 waliochaguliwa tayari na Wabunge ambao kimantiki watatoka kwenye wajumbe 6 wanatoka ccm.

Picha ya hapa chini ni mbunge aliyepitishwa na ccm binti Fancy Nkuhi, huyu ndie atakwenda kupambana na majasusi ya uchumi toka Rwanda, Kenya, Uganda, Burundi, na S.Sudani

Yani ccm inataka kuwachagulia vyama vya upinzani wabunge wawatakao wao. Hili ni jambo la ajabu sana... Ajabu kuna wanaoamini kuwa Taifa litapata mageuzi ya kiuchumi kwa aina hii ya siasa za ccm. Hili ni ndoto, Taifa linahitaji MAPINDUZI ya kiuchumi sio mageuzi.

Na Yericko Nyerere

View attachment 491436
Ni kwa maslahi ya taifa. Wewe umesikia wapi kuwa kuna taifa la Chadema na taifa la CCM? Taifa ni moja tu, Tanzania. Kwahiyo chadema ni maskini kiasi hicho, kwamba wenye sifa hizo ulizotaja katika chama chenye wanachama mamilioni ni wawili tu? Kwa nini mmelinyima bunge choice? Mmekosa watu wanne wenye sifa hizo wakapigiwe kura na bunge? Kweli? Acha uzandiki.
 
Mkuu hiyo sura si ushahidi? Basi toa ushahidi kama huyo binti ana ujuzi wa sheria; uchumi au diplomasia

Yeye wakati anajitambulisha alitaja elimu yake kwa uwazi sasa nashangaa watu wanahngaika.
 
wivu wa kijinga,Huyu ni msomi pengine kuliko hata hy nyerere, na hajaanza kugombea leo kuonyesha anajua anachokifanya. Chadema kwa nini msingemchagua Yeriko jasusi wa kiuchumi wa ufipa...?

Msomi asietumia jina lake? Bora ukae kimya kuliko kujidai unamjua wakati haumfahamu ata chembe.
 
hivi Unamkubuka marehem Hafsa Mossi aliyeuwawa kwa risasi kutoka burundi???

siku zingine utumie busara, sura na umri sii hoja sana cha msingi anaweza kudeliver?? kama ndiyo aende kama hawezi bado atajifunza bado umri unaruhusu bado anawenzake hayupo pekee yake

Wakati naamua kuandika kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi nilikuwa na lengo kuu moja tu, nalo ni kuhimiza Tanzania kuhama hapa ilipo na kwenda kwenye nchi ya uchumi wa viwanda amboko msingi wake ni Ujasusi wa Kiuchumi.

Dunia ya leo ni ya Ujasusi wa Kiuchumi, mshindani wetu kiuchumi awali alikuwa ni Kenya, nchi hii iliamka na kuwekeza kwenye misheni za kiupelelezi wa kiuchumi sio kisiasa, Leo mshindani ameongezeka Rwanda, taifa dogo lenye watu wasiozidi milioni 20 ndio mshindani na kiongozi wa ujasusi wa kiuchumi leo, Kila wakifanyacho leo Rwanda wanazingatia maslahi ya kiuchumi kwa nchi yao kwanza tofauti na Tanzania ambayo maslahi ya Chamwino ni muhumu kuliko ya Taifa.

Kisayansi na kinadharia uwakilishi wa EALA unahitaji vitu vitatu muhimu, Kwanza ni Sheria, yani taifa likipata uwakilishi wa mtu anayejua sheria ataweza kulipigania taifa lake kuzishinda za kisheria,

Pili ni Uchumi, yani Taifa likipata mwakilishi anayefahamu vema na aliyebobea katika uchumi, mtu huyo ataweza kutetea maslahi ya taifa lake dhidi ya hila za kiuchumi,

Na tatu ni diplomasia, hapa inahitajika mbobevu anayeweza kuhudumu katika diplomasia ya kisiasa, kiuchumi nk, huyu kwa namna yoyote atakuwa kiungo wa hao hapo juu niliowaeleza.

Leo Rwanda imechagua wawakilishi wao makini akiwemo Mwanadheria wao Mkuu kuwa mbunge wa Bunge la Mashariki, Sisi kwetu chama kwanza cha Mapinduzi ndicho kimeatamia mchakato wote na kuchagua makada wasio na vigezo vya kileo kuwa wawakilishi,Kibaya zaidi kwa uwingi wao Bungeni, wamezuia wabunge wa Chadema ambao kimsingi ndio wenye vigeo mujarabu vya kisasa kuwa wawakilishi.

Kikanuni nafasi mbili (2) katika wawakili 9, ni za chadema, hili halihitaji mjadala, Chadema baada ya mchakato halali na halisi wakuchuja wagombea wake wote walioomba kupitia Chama, Waliamua kupitisha majina mawili tu ambayo yangethibitishwa tu na bunge, Kinyume chake Wabunge wa CCM wameyakataa kwa kura, kimandiki hakukuwa na sababu za kupiga kura bali kupita bila kupingwa ikiwa nafasi zinazotakiwa ni mbili na wagombea walioletwa ni wawili.

Kiuhalisia hoja yakuwa Idadi ya Wagombea, walioiwakilisha CHADEMA Katika Uchaguzi wa EALA, Jana ndio msingi wa matokeo ya jana ni yakupuuzwa na wanaoisimamia wapuuzwe.

Kimsingi kila nafasi inapaswa kuwa na Wagombea wasiozidi watatu, ila wakiwa pungufu hakuna tatizo lolote la kikanuni au kisheria. Pia hoja ya Jinsia ya 1/3 inasimama katika wajumbe 9 waliochaguliwa tayari na Wabunge ambao kimantiki watatoka kwenye wajumbe 6 wanatoka ccm.

Picha ya hapa chini ni mbunge aliyepitishwa na ccm binti Fancy Nkuhi, huyu ndie atakwenda kupambana na majasusi ya uchumi toka Rwanda, Kenya, Uganda, Burundi, na S.Sudani

Yani ccm inataka kuwachagulia vyama vya upinzani wabunge wawatakao wao. Hili ni jambo la ajabu sana... Ajabu kuna wanaoamini kuwa Taifa litapata mageuzi ya kiuchumi kwa aina hii ya siasa za ccm. Hili ni ndoto, Taifa linahitaji MAPINDUZI ya kiuchumi sio mageuzi.

Na Yericko Nyerere

View attachment 491436
 
Et wanahamasisha kuichangia Serengeti nini vile! Shit me nichangie timu ya wapuuzi hao!wanaopinga kitu cha manufaa kwa taifa Masha na wenje huh!
Siwezi abadani,na huko watagongwa balaa
 
Yote tisa kumi tusubiri uwakilishi wao tuone.Kama Bajaji hata kucheka alikuwa hawezi kisa " ung'eng'e",sembuse mijadala kwa aina ya kina Mnyaa! Kueleweka hadi apewe msukumo.Tutaburuzwa sana na majirani.
 
Nyie ndiyo mlitakiwa kuleta watu wenye mawazo mbadala si KILA SIKU MASHA NA WENJE.....Masha kawatandika kweli kipindi WENJE anajenga chama......
Wenje na masha ni mara ya ngapi wanagombea EALA??? Acha kija na hisia humu mkuu
 
Kama hamjui bora ukakaa kimya.
image-jpeg.491456

hiyo biashara ya ujasusi wa maisha ya watu sina mkuu,
Reference zang ni kuwa amewahi kugombea nafasi hii siku za nyuma inaonyesha anajua anachokifanya
Hiyo ndiyo elimu yake, inafaa
Kama jina sio ila kasoma yeye wa kwenye hiyo sura ndio tunaemtaka.
Hadi itakapothibitika kuwa sio yeye kwa nyie mnaedhani mnamfahamu zaidi, tena kwa vyombo husika au anajina tofauti bila kufuata taratibu rasmi za kubadili jina mfano ndipo nitakubaliana na wewe au jamiii na yoamini hivyo...

nje ya hapo ni wivu,Umbea,majungu na husuda mkuu
 
Tufanye hivi ili kuondoa mgogoro!kanuni ibadirike!!mtu akishapigia kura na chama chake basi directly awe Amelita ubunge Wa EAC!!!bila hivo mengine yote ni porojo na propaganda za kijinga!!chadomo!!
 
Back
Top Bottom