Uchaguzi wa Arumeru- Live Kutoka Arumeru

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Wana Jf, mimi nipo Arumeru mashariki najaribu kutembelea baadhi ya maeneo kuangalia upigaji kura unaendeleaje. Hapa nipo eneo naambiwa linaitwa Nkwaranga. Upigani kura unaendeleo vizuri. Naomba waliopo maeneo mengine watujuze tuwe live hadi matokeo yatangazwe.
 
Nipo kitua kinaitwa kimundu karibia sana na Tengeru naona watu wachache sana. Wengi wamepoteza vitambulisho. Huu utaratibu wa kupiga kura bila ku update daftari la kura ni mbaya sana
 
Nipo kitua kinaitwa kimundu karibia sana na Tengeru naona watu wachache sana. Wengi wamepoteza vitambulisho. Huu utaratibu wa kupiga kura bila ku update daftari la kura ni mbaya sana

MoDs tafadhali unganisha na ule uzi wa Jackbauer. Tunashukuru kwa updates mkuu lakini kuna uwezekano watu walishapiga kura na wamesarudi majumbani.
 
Back
Top Bottom