Uchaguzi wa Arumeru ahhhh

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,940
Tarehe mosi april wananchi wa ARUMERU watapiga kura kumchagua mbunge wao ukiangalia tarehe hiyo ni siku ya wajinga duniani je wanaarumeru watakubali kuwa wajinga kutokana na siku hiyo ili kuchagua wale ambao hawawapi mtamuini kila siku?
 
Usiwatukane wana-Arumeru, wanajua wanachokifanya.
 
chuki binafsi au nini. Nadhani tukifikia hapo tutakuwa
song3.jpg
song2.jpg

song4.jpg
 
Back
Top Bottom