Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Na wale mliowaua Arusha kwa bomu yatawatokea puani muda si mrefu utapelekwa apolo kama baba yako mwandosya
 
Chanzo cha CCM kuanguka katika kata hizi waliochangia ni wewe Nape, Mwigulu, Wassira kwa kauli zenu mlizozitoa kwa nyakati tofauti. Kitendo cha Mwigulu kutafuta kura za huruma kwa kumtembeza aliyemwagiwa tindikali kiliongeza hasira kwa wananchi wa hapa Arusha.

USHAURI
Uongozi wa juu wa CCM ujipange upya kwa kupinga kwa vitendo biashara ya dawa za kulevya, Ufisadi, Rushwa. Lakini pia CCM iache kulitumia jeshi la polisi kwa maslahi ya chama maana wananchi wamepoteza imani na jeshi hilo.

Pole sana kwa yaliyokukuta lakini hasa Mwigulu anaaibisha chama
 
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

Nikweli mkuu ila nafikiri watu mliowaweka front line kukipigania chama ndo wamewangusha hili inabidi mlitafakari upya. hongera kwakuonyesha kukubali kushindwa.
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

Mbona hutoi pongezi kwa CHADEMA au umebanwa na pupu
 
hukuwahi kuleta ubabe wa kutaka kuvua watu magamba ndani ya siku 90, umeishia wapi na ubabe wako??
 
Nape Polisi ndo wanawaangamiza na kama mnazani wanawasaidia mtakua mnajidanganya, kuna wana CCM niko nao hapa wanashangilia sana, Tehe tehe
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

Safi sana Nauye kwa kukubali matokeo lakini ukiona ccm wamekuwa wapole hivi kuna plan B ambayo imebaki kichwani mwao tusubiri
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

Je Nape haya kwanini yasiwe endelevu ya upande ulioshindwa kutambua na kuwapongenza washindi. Kwa namna hii ule wimbo wa majukwaani wa amani ungeitikiwa kirahisi.
 
hivi unamfano mmoja wa ubabe niliowahi kuufanya???

kwanini mlitulipua arusha damu za watu hazipotei hivihivi na bado kuna mengi yatawaumbua halafu unajua Lowasa ndiye mgombea wa kiti cha uraisi kwa ticket ta ccm,halafu naye ni wa kaskazini nakushauri ufufue kadi yako ya CCJ
 
Kuna kushinda na kushindwa wakati mlisema mtashinda kwa ghalama yeyote.
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

Ni wakati sasa wa kutafakari iwapo siasa za Nchemba zinawasaidia au zinawaangamiza huku mkitazama position ya CCM miaka kumi ijayo. maana ikitokea which is likely to happen CCM ikaondolewa madarakani, itakuwa vigumu kweli kweli kurudi madarakani maana matendo yenu yanarekodiwa na kuhifadhiwa na yatatumika ipasavyo kuwazamisha kabisa katika ulimwengu wa siasa za Tanzania.

Jitafakarini sana.
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

Asante mkuu huu ndiyo uongozi na upinzani safi. Tunategemea mtajipanga vyema kada game bado changa ni kama dakika tano za mwanzo. VIVA CCM....
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Safi sana Bwana Nape kwa Kuongea vizuri. Lakini napenda nikushauri. Tafadhali mwambieni Mwigulu kuwa aache kutuharibia chama chetu cha CCM. He is too much obsessed now with CHADEMA. CDM sasa hivi imepata umaarufu kwa sababu ya vituko na hila za Mwigulu dhidi ya CDM. Afanye siasa za kisomi kama anavyotamba kwamba yeye ni msomi. Ni kweli tulikuwa naye mlimani mimi nikiwa sayansi na yeye akiwa political science. Anajenga chuki dhidi ya wananchi. Tanzania bado hatujafika hatua ya kutishiana na vikundi vya mgambo kama ambavyo ccm na cdm wameanza. Mungu ibariki nchi yetu, Mungu ibariki CDM na CCM.
 
Back
Top Bottom