Uchaguzi ujao - ki tech zaid!!

SHAROBALO

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
771
349
Hi JF

Wakuu tukitumia mbinu kama hizi kwenye uchaguzi..nadhani tutapata watu wengi,

tutalazimisha kutangaza chama fulani na kukiponda chama fulani

nimecheza na .bat file na list ya MAJINA ya mafisadi wa Tanzania.

Hotfile.com: One click file hosting: ufisadi.rar

Kama chama kitalipia nadhani ma programa wetu tz wata make Bingo.

i can give u source code if u like it

any idea to modify it!!?
 
Sharobalo nIce trick and campaing lakini pale kwenye kuchagua CHADEMA ungebadilisha . ujumbe uwe ni kutochagua CCM. ukitaja chadema tu kuna hakutakuwa na mafanikio ya juu. Kwa mujibu wa siasa za nchi zinavyokwenda. Ujumbe uwe chagua yeyote lakini si wa CCM . teh teh teh ni Mtazamo tu..........

BTN
source code ya file si unaipata tu kwa kufungua file kama notepad.
 
yeah!!! wazo zuri mkuu sikufikiria hivyo...yaah source code ipo pale pale.....dah unamawazo mazuri sana mkuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom