uchaguzi udom wachafuka

namboyo

Member
Apr 8, 2011
58
6
Chaguzi uliovurugika jana saa saba mchana leo pia utavurugika tena kwa vile tume ya uchaguzi imeondoa jina moja bila kuuarifu umma .pia kituko kitaonekana pale ambapo kijana mmoja bashe atakapo pigwa chini na mdada pindi uchaguzi ukifanyika jana kijana huyu alitoka social akaja education kuendea na kampeni za siri huku wapambe wake wakishidwa kunuaa wanaharakati wa ngokisi kijana mmoja alisema hivi kumpa bashe uongozi ni kujiuza kwa rostam pia wameshidwa kufanikiwa kutenda haki kwa kumtoa aliye ongoza kwa marks na kuwateu bashe ,regina, mwasige ambaye wamemtoa wakisema hana vigezo
 
kijana msomi unashindwa kuandika straight logical sentences???? unaniangusha bana!!!! ulikuwa na haraka ya nini?
 
ule uchaguzi wa serekali ya wanafunzi udom umemalizika huku bwana abubakari bashe akikimbizwa na mdada .sasa hivi chuo cha elimu dada anaongoza kila kituo vijana wanasema kuwa hukuna kutawaliwa na ngozi nyeupe tumpe mwafrika nawasilisha
 
Uchaguzi umekwisha? kazidiwa kwa kura ngapi ama ndo umeanza kuandika yanayojiri!!!
 
ule uchaguzi wa serekali ya wanafunzi udom umemalizika huku bwana abubakari bashe akikimbizwa na mdada .sasa hivi chuo cha elimu dada anaongoza kila kituo vijana wanasema kuwa hukuna kutawaliwa na ngozi nyeupe tumpe mwafrika nawasilisha
empty minded boys and girls we dont choose leaders by their skin color. WE LOOK AT THEIR QUALITIES
 
Huyo dada ni chama gani katika siasa za nchi hii? Unaweza ukawa unafurahia kumbe ndo walewale wa Magamba.
 
Nibaada ya kindumbwendumbwe cha uchaguzi wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha DODOMA (UDOM), uchaguzi ulofanyika leo tarehe 7 may 2011 licha ya kuhailishwa jana
baada ya dosari zilizo husisha kukosekana kwa baadhi ya majina ya wagombea, na tume kutohaminika uchaguzi ulihailishwa na kufanyika leo juma pili. hali ya uchaguzi ilikuwa tulivu,zoezi liliendelea vizuri likisimamiwa na mwenyekiti wa tume mr Asali Issa (BAED 3rd year). mwanadada pekee kwa jina la DEBORA, amejinyakulia ushindi wa kura nyingi sana akimuangusha asimu wake BASHE (kura rasimi hazija tangazwa). BASHE alionekana kukosa mvuto baada ya kujulikana ana undugu na BASHE wa TABORA aliyesimamishwa na ROSTAM. hali ya wanafunzi ni chereko, wakishangilia ushindi mkubwa si wanawake tu hata wanaume. sura ya kisiasa inaonesha udini umesababisha mabo kuwa kama hivi akwani yalisikika na baada ya uchaguzi wanachuo walionekana kushangilia YESU YESU YESU AMESHINDA. habari zaidi ndugu wasomaji zitazidi kuwafikia kadiri tunavyo zipata.
 
ule uchaguzi wa serekali ya wanafunzi udom umemalizika huku bwana abubakari bashe akikimbizwa na mdada .sasa hivi chuo cha elimu dada anaongoza kila kituo vijana wanasema kuwa hukuna kutawaliwa na ngozi nyeupe tumpe mwafrika nawasilisha
MADNESS... Tunachagua kiongozi kwa uwezo wake wa kuongoza siyo rangi, dini, jinsia, kabila etc. Mirembe ndhani ni karibu kutokea hapo ulipo.
 
hp chama cha kidin kilimsaidia ndomana wakajisaau na kaulimbiu ya yesu,makaburu WEngi bado tz, tofauti yao na WALE wa sauz ni rangi tu bt wOTE MAKABURU TU
 
kwanini mnapenda sana
kuchanganya mambo ya siasa na dini??
inasikitisha sana kuona hivi..
 
HONGERA SANA KWA DEBORA,
LAKINI KWA WANAFUNZI KUSHANGILIA YESU YESU YESU AMESHINDA,
ili ni pigo kwa serikali, hawa ni wasomi na kikoo cha jamii,
tukiongea kwa uzalendo basi haya ni madhara ya SERIKLI YA KIKWETE kukingiwa
kifua kila kukicha na mashehe , na yeye haoni kwamba huo ni udini kwa viongozi wa dini
yake kutoa matamshi ya kuwaita baadhi ya wanasiasa hapa nchi kwamba ni mapadri hali
wao wakijua hiyo ni historia ya mtu na alipokuwa CCM akuwai kuitwa padri.
HII NI ISHARA MBAYA KWA TAIFA MAANA WAKRISTO NAO WANAOSHESHA KUCHOKA
kama serikali haita zuhia hao mashehe na hii radio IMA kunadharirisha ukristo kwa kuhusisha na chama
chochote cha siasa, basi wajue hayo ya UDOM moshi moto unaweza kufuata sio muda

narudia tena ni serikali pekee inayoweza kukomesha udini kwa kuwakana wanadini wanaoitetea kwa lugha za uchokozi

Nibaada ya kindumbwendumbwe cha uchaguzi wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha DODOMA (UDOM), uchaguzi ulofanyika leo tarehe 7 may 2011 licha ya kuhailishwa jana
baada ya dosari zilizo husisha kukosekana kwa baadhi ya majina ya wagombea, na tume kutohaminika uchaguzi ulihailishwa na kufanyika leo juma pili. hali ya uchaguzi ilikuwa tulivu,zoezi liliendelea vizuri likisimamiwa na mwenyekiti wa tume mr Asali Issa (BAED 3rd year). mwanadada pekee kwa jina la DEBORA, amejinyakulia ushindi wa kura nyingi sana akimuangusha asimu wake BASHE (kura rasimi hazija tangazwa). BASHE alionekana kukosa mvuto baada ya kujulikana ana undugu na BASHE wa TABORA aliyesimamishwa na ROSTAM. hali ya wanafunzi ni chereko, wakishangilia ushindi mkubwa si wanawake tu hata wanaume. sura ya kisiasa inaonesha udini umesababisha mabo kuwa kama hivi akwani yalisikika na baada ya uchaguzi wanachuo walionekana kushangilia YESU YESU YESU AMESHINDA. habari zaidi ndugu wasomaji zitazidi kuwafikia kadiri tunavyo zipata.
 
SI WAMESHANGILIA KWA YESU YESU ukichunguzautagundua hao niwale wenzetu wa kule kaskazn kwa mwenyekiti wetu
 
mkuu sitotumia ugeni wakoo kukuponda lakini haya mambo sio ya kubeza, serikali ni chanzo cha huu uchafu yote, kuna mashehe walifikia hatua wakasema wao ndio wanamlinda raisi kwa nguvu za majini, lakini hakuna aliyeona kwamba hizo ni dalili za udini, na hakuna aliyekanusha,
kila siku tunasikia kuna dini inapinga maandamano eti wanataka kumtoa JK madarakani kwa sababu mkristo,
hizi tuhuma ni kubwa sana kiusalama wa TAIFA lakini hakuna hata siku moja serikali kuyapinga haya.
mimi nina hakika kama serikali ingekuwa na hizo intellegensia kwamba kuna dini inataka kupindua nchi leo hao watu wangekuwa mahakamani maana hakuna kosa kubwa kama hiyo katika nchi yoyote ile
MIMI NAWEZA SEMA UDINI HAPA NCHINI UMELETWA NA SERIKALI YA KIKWETE KWA KUFUMBIA MACHO KAULI mbaya zinazotolewa na baadhi ya viongozi wa kiisilamu.

hp chama cha kidin kilimsaidia ndomana wakajisaau na kaulimbiu ya yesu,makaburu WEngi bado tz, tofauti yao na WALE wa sauz ni rangi tu bt wOTE MAKABURU TU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom