Uchaguzi udiwani kata ya Kiwagwa CHADEMA kuzindua kampeni kesho

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,277
9,912
Chama cha chadema watazindua kampeni zake uchaguzi kata ya kiwangwa Bagamoyo hapo kesho.

Kijana mpambanaji Halidi Miraji Mkawa atabebeba bendera ya Chadema.

Chadema wamejipanga vema kuanza kampeni kwa kufanya mikutano ya adhara na nyumba kwa nyumba kuhakikisha ushindi unapatikana

CCM wameshaona kijana anaweza kushinda wameanza visa kwa kuweka pingamizi ambalo hata hivyo limetupiliwa mabali na mkurugenzi wa uchaguzi. pamoja na na pingamizi hilo pia ccm kupitia mdogo wake na JK Yusuph Kikwete wamekukuwa wakihaha kupanga mikakati ya kumshawishi Mkawa wa chadema kuachia ngazi kutokana baada ya kuona kijana amekuwa anakubalika na wananchi.
Ukiwa kama mpenzi na mwanachama wa chadema unaubwa kutoa support ya hali na mali.

Uchaguzi unarudiwa kutokana na kifo cha aliyekuwa diwani wa ccm.
 
Kila la kheri wapambanaji.
 
mananasi yanaoza huko kiwangwa bila sababu, hebu kijana pata uongozi tuone mikakati yako
 
Nina hamu madiwani zaidi na wabunge zaidi wa CCM waendelee kufa ili majimbo yabaki wazi na uchaguzi ufanyike mpya ili CHADEMA iyachukue maana tumeichoka kweli CCM.
 
pambana kamanda acha kulala na kamwe usinunuliwe kama una njaa tuombe tukuchangie kuliko kuuza haki za wana kiwangwa.

Daima tutashinda.
 
Back
Top Bottom