Uchaguzi TFF na mwelekeo wa soka la Tanzania

Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,577
1,107
Wadau leo hii TFF imefanya uchaguzi, wa viongozi wapya watakaoliongoza soka la Tanzania kwa miaka minne Ijayo. Matokeo ya wajumbe waliochaguliwa ni kama yafuatavyo

WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA TFF WALIOCHAGULIWA LEO.

1. WALLACE KARIA

2. AMIR ROSHAN

3. SAMWEL NYALLA

4. KHALIFA MGONJA

5. AHMED MSAFIRI MGOYI

6. TEOFRID SIKAZWE

7. ELIUD MVELA

8. SHAIBU NAMPUNDE

9. HUSSEIN MWAMBA

10. ATHUMANI KAMBI

11. KHALID MOHAMED

12. MUHSIN BALHABOU

KINACHOSUBIRIWA NI WASHINDI WA NAFASI YA URAIS NA MAKAMU WAKE WAWILI.

1. LEODEGAR TENDA VS JAMAL MALINZI - URAIS

2. LAWRENCE MWALUSAKO, ALI HASSAN MWANAKATWE NA JUMANNE NYAMLANI - MAKAMU WA KWANZA WA RAIS

3. DAMAS NDUMBALO, NASIBU RAMADHANI - MAKAMU WA PILI WA RAIS

Sorce: Michuzi Blog
 
Last edited:
naona kwa michuzi kaweka matokeo huko!
tuombe mungu migogoro iwe michache gurudumu la soka liendelee kusonga mbele
 
Duh! afadhali yale majina yaliyozoeleka kwa migogoro na kukosa maendeleo yamepigwa chini. Pongezi kwa washindi nawajue wanakazi kubwa watanzania waleo hawataki hujinga wala longo longo, wamepata fursa waprove kwamba waliowachagua hawajakosea.
 
Damas Ndumbaro would have been a better choice for 2nd vice president.Jamaa angesaidia sana katika mambo ya kanuni na mambo kama hayo naona wameona wampe mtalaamu wa fitina Ramadhan Nassib.
 
Damas Ndumbaro would have been a better choice for 2nd vice president.Jamaa angesaidia sana katika mambo ya kanuni na mambo kama hayo naona wameona wampe mtalaamu wa fitina Ramadhan Nassib.

hivi huyu jamaa aliwahi fanya fitina gani?
 
Damas Ndumbaro would have been a better choice for 2nd vice president.Jamaa angesaidia sana katika mambo ya kanuni na mambo kama hayo naona wameona wampe mtalaamu wa fitina Ramadhan Nassib.

Tatizo bongo sio kanuni na mambo kama hayo watu wanahitaji mtu atakaye badilisha kanuni kuwa vitendo. Na mbona hiko chama kimeongozwa na wanasheria sana tu na bado matatizo lukuki sana ndio hao wanaoanza kuleta utata kama wakina Madega.

Mawazo mapya ni ya lazima na ukipata graduate from business school itaongeza thamani. Kama Ramadhani graduate wa FCM mlimani ni nafasi kwake kuonyesha business aspect of soccer apart from the legal aspect of it na katika kamati wapo wanasheria pia na comrade Tenga yupo bado sidhani kama Tenga atakubali kazi aliyofanya kwa miaka minne ipotee kwa sababu Ndumbaro hayupo.

Kinyamana ukikubali uamuzi wa wajumbe waliokuwepo na kupiga kura utaona kunakitu wamekiona kwa Nassib ambacho waTZ watakuwa na manufaa nacho mpe nafasi naye approve kuliko kuanza kupika majungu wakati hata kazi bado na TFF ni Taasisi.
 
Back
Top Bottom