Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

Nimeambiwa na mtu wa uhakika toka Lushoto, ni lushoto mjini tuu ndio wamekuwa mapimbi

Ni habari njema, natamani sn kuona watu wakiamka kwny mikoa ya Morogoro, Singida, Dodoma, Tanga na Tabora. Mikoa hii ni km ccm waliwalisha yamini.
 
Kwa taarifa yako huyo unayempigia debe ndio baadhi ya wananchi wanahasira naye, ngoja upinzani ushike nchi uone vile mambo yake yatawekwa hadharani. Huyo ni mmoja ya wazee waliolisababisha wananchi wa taifa hili kubeba mzigo mkubwa wa maisha, na yeye siku zote huko monduli hashindi kwa kupendwa wala kukubalika zaidi ya hila na kupiga wapinzani. Lini umewahi kumuona EL akijenga hoja hadharani zaidi za kulipa taasisi za kidini na kijamii wamteue kama mgeni rasmi aishie kuhutubia njozi ambazo hana majibu zaidi ya ushindani wa mahasimu wake kisiasa usio na tija kwa wananchi. Juzi kwenye sakata la Escrow alichangia nini bungeni. Mbona dakika za mwisho tuliwaona akina Lissu, Mdee, Kafulila, Zitto nk wakiombwa na speaker watoe njia ya kufuatwa yeye hakuchangia hata dakika moja nini kifanyike. Inakuwaje anaweza kuongea kwenye hotuba lisaa lizima kanisani/msikitini ashindwe kuchangia hata dk 5 bungeni!?

Huyo huko monduli tuna taarifa zake kwani tuna ndugu tuliolizana vipi huko monduli wametuambia huko wagombea waupinzani wamebambikiziwa kesi za uhalifu, kutishiwa na hata wasimamizi wa uchaguzi wanatangaza mshindi wa ccm kwa vitisho na sio kukubalika kwake. Hao ndio viongozi watakaoliingiza taifa letu kwenye machafuko kwani wanatumia mbinu za nchi za ulaya mashariki ya zamani kubaki madarani kwa umafia wa hali ya juu. Na kwa bahati mbaya sana mahakama zetu na jeshi la polisi zimekuwa ndio taasisi zinazotumika na viongozi kama huyu unayempigia debe kubaki madarakani. Ngoja cdm wamalize maazimio ya vurugu ya kikao kuhisiana na vurugu za uchaguzi ndio utalipata jibu vizuri. Kumbuka alichofanyiwa Mh. Nassari na wahuni waliotumika na huyo Lowasa wakati wa uchaguzi mdogo wa udiwani mwaka jana. Hatima yenu inakaribia muda sio mrefu, aidha mtoke kwa amani kwa kuachia demokrasia ichukue mkondo wake ama tuwatoe kwa machafuko kwani uvumilivu umefikia mwisho. Kwa hiyo huyo Lowassa kula hela zake lakini mwambie ukweli hakubaliki na kama unaogopa kumwambia basi jifanye unaenda masomoni ili hii kazi ya kupiga debe ampe mtu mwingine kwani ni ukweli mnataka kuingiza nchi yetu kwenye machafuko.

Punguza wivu kama wa mama yako,nahisi umeshauiga tayar.Lowassa ni mashine ya kazi
 
Nataka kufungua kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa,ccm ni wezi mno,nlikusanya vijana wenzangu tukapge kura lakini tukakuta wote tumeshapgiwa kura,yaani wakiona mtu ni under 40 wanakuwah ili usiwapgie ukawa,lakini cuf hawana imani na cdm na hii imeturudsha sana nyuma,na mbinu hafifu pia,mwizi sharti aibiwe,cdm inukeni,hata mwakan tutasema tumepata 49% tofaut na 2010,hatutak kupanda kwa asilimia tunataka ushnd,hamtak tutanunua bunduki tuilazmshe majambaz watuachie nchi
 
Hongereni wana Kahama...Masikitiko yangu yapo Sinza, inabidi jina la Wajanja life watafutiwe jina lingine maana hawajitambui kabisa.
 
Kwa taarifa yako huyo
unayempigia debe ndio baadhi ya wananchi wanahasira naye, ngoja upinzani
ushike nchi uone vile mambo yake yatawekwa hadharani. Huyo ni mmoja ya
wazee waliolisababisha wananchi wa taifa hili kubeba mzigo mkubwa wa
maisha, na yeye siku zote huko monduli hashindi kwa kupendwa wala
kukubalika zaidi ya hila na kupiga wapinzani. Lini umewahi kumuona EL
akijenga hoja hadharani zaidi za kulipa taasisi za kidini na kijamii
wamteue kama mgeni rasmi aishie kuhutubia njozi ambazo hana majibu zaidi
ya ushindani wa mahasimu wake kisiasa usio na tija kwa wananchi. Juzi
kwenye sakata la Escrow alichangia nini bungeni. Mbona dakika za mwisho
tuliwaona akina Lissu, Mdee, Kafulila, Zitto nk wakiombwa na speaker
watoe njia ya kufuatwa yeye hakuchangia hata dakika moja nini kifanyike.
Inakuwaje anaweza kuongea kwenye hotuba lisaa lizima kanisani/msikitini
ashindwe kuchangia hata dk 5 bungeni!?

Huyo huko monduli tuna taarifa zake kwani tuna ndugu tuliolizana vipi
huko monduli wametuambia huko wagombea waupinzani wamebambikiziwa kesi
za uhalifu, kutishiwa na hata wasimamizi wa uchaguzi wanatangaza mshindi
wa ccm kwa vitisho na sio kukubalika kwake. Hao ndio viongozi
watakaoliingiza taifa letu kwenye machafuko kwani wanatumia mbinu za
nchi za ulaya mashariki ya zamani kubaki madarani kwa umafia wa hali ya
juu. Na kwa bahati mbaya sana mahakama zetu na jeshi la polisi zimekuwa
ndio taasisi zinazotumika na viongozi kama huyu unayempigia debe kubaki
madarakani. Ngoja cdm wamalize maazimio ya vurugu ya kikao kuhisiana na
vurugu za uchaguzi ndio utalipata jibu vizuri. Kumbuka alichofanyiwa Mh.
Nassari na wahuni waliotumika na huyo Lowasa wakati wa uchaguzi mdogo
wa udiwani mwaka jana. Hatima yenu inakaribia muda sio mrefu, aidha
mtoke kwa amani kwa kuachia demokrasia ichukue mkondo wake ama tuwatoe
kwa machafuko kwani uvumilivu umefikia mwisho. Kwa hiyo huyo Lowassa
kula hela zake lakini mwambie ukweli hakubaliki na kama unaogopa
kumwambia basi jifanye unaenda masomoni ili hii kazi ya kupiga debe ampe
mtu mwingine kwani ni ukweli mnataka kuingiza nchi yetu kwenye
machafuko.

Acha uongo + uzushi bwana! Chuki tu zinakufanya unapovuka hivyo!!!
 
Matokeo kwa Rombo:
Vijiji ambavyo matokeo tayari ni 27 CHADEMA 22,
CCM 5
Bado vijiji 40 ambavyo havikufanya uchaguzi
 
Hakuna Chama cha siasa duniani kilichotawala kwa miaka 50 ISIPOKUWA Vyama vya Kikomunisti tu, na ambavyo bi kwenye mfumo wa Chama kimoja tu. Zaidi ta hapo Chama cha namna hiyo ni mazingaombwe na sarakasi tu kama tunavyoshuhudia ktk chaguzi zetu Tanzania.

Kwa jinsi hiyo, haijalishi mema gani wameifanyia nchi lazima waondoke tu, huo ndio ukweli wa kihistoria.
 
Peter Msigwa
Iringa MJINI tumelinda mtaa wetu wa kihesa
kilolo B NA kuongeza A,MKIMBIZI B, D NA
C,.HII N KATA YA MKIMBIZI,
NDULI MITAA MIWILI.
MTWIVILA MITAA MINNE
RUAHA MITAA SITA
KITWIRU MITAA SABA
GANGILONGA MITAA MIWILI.
MAKORONGONI MITAA MIWILI
ILALA MITAA MIWILI,
IGUMBILO MTAA MMOJA
MIVINJENI MTAA MIWILI
MKWAWA MITAA MITATU NA VITUO NANE
HAVIKUPIGA KURA
KWAKILOSA MITAA MINNE.
ISAKALILO MITAA MINNE.
Kihesa mitaa Sita ..
 
Matokeo yanaonesha CCM bado inatesa sana japo ni matokeo ya awali na Chadema bado inashinda kulekule Moshi,Arusha!
Kinacho nishangaza ni kuona Bavicha wanashangilia sijui wanashangilia nini? au nikujifariji? Mitaa zaidi ya 2000+ CCM wamepita bila kupingwa halafu bado na washangaa chadema wanashangilia nini sijui?
 
Back
Top Bottom