Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

matokeo rasmi bado
hayajatangazwa uyo jamaa anazingua, tatizo kuna pilika pilika zisizo za
msingi

hawa tff vp, si watutangazie hayo matokeo basi, hawajui na sisi wanatuchelewesha kuingia kwenye ofisi zetu za soka kuanza kazi, ndio mida hii! wizi t
 
mshindi alishajulikana hata uchaguzi haujatangazwa soka la bongo mimavi tuu

We utakuwa kambi ya Nyamlani.aliyewadanganya mumsimamishe huyu mbovu ni nani?si bora hata mngemsimamisha Wema Sepetu.ok,poleni sana na jaribuni tena elfu 2 na kumi na.....
 
Hawa tff wanatengeneza mazingira ya wagombea walioshindwa ili waje wayakatae matokeo. Hovyo sana.kura 126 masaaaa!
 
Au hizo kura 126 wanatakiwa watu baki126 nje ya wajumbe, ili kila mtu apewe kura moja ndio wahesabu watu, mana wanaingia ktka guiness book kwa kura 126 kuhesabiwa masaa yote hayo!!
 
Hawa tff wanatengeneza mazingira ya wagombea walioshindwa ili waje wayakatae matokeo. Hovyo sana.kura 126 masaaaa!
 
Nimearifiwa kuwa Jamal Malinzi amechaguliwa kuwa Rais wa pili wa TFF. Hii ni baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu wa TFF uliofanyika leo hii. Amemshinda Nyamlani.

Habari zaidi kufuata punde...

Katika uchaguzi huo uliokuwa na upinzani mkali,Malinzi ameibuka kidedea na sasa anatarajiwa kumrithi Leodgar Chilla Tenga kama Rais wa TFF. Hili ni pigo la wazi kwa CCM tuliokuwa tukimuunga mkono Mheshimiwa Hakimu Nyamlani

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
W. J. Malecela haya chukuwa loser mwenzako Athumani Nyamlani nenda naye kamsaidie kukusanya pesa za rushwa mahakama ya kinondoni.

Na nakuahidi kubabake huyu Nyamlani alivyotesa watu kwa kupenda rushwa lazima nimlipuwe na za moto za Takukuru.

Hongera wajumbe wa TFF kwa kupokea rushwa za Nyamlani na kumchinjia baharini.

Nyamlani amevuna alichopanda kitendo tu cha kushabikiwa na jitu jinga kama Le totoz Malecela basi kulishamuondolea sifa kabla hata ya kuja kugunduwa kumbe huyu shetani Nyamlani amebobea kwenye kula rushwa.
 
Last edited by a moderator:
Mbona Malinzi kashinda kwa 78% na Nyamlani aliondoka ukumbini hata kabla kuhesabu hakujamalizika
 
Eti oooh Nyamlani ndio mgombea pekee wa Urais TFF! Kiko wapi sasa?

FIFA oyeeeee! Sasa hata Michael Wambura atakuwa na haki ya kugombea TFF.
 
Naona J malinzi alidhamiria kuwa Rais wa TFF hongera zake wanasema HAKI ya MTU haipotei!
 
Back
Top Bottom