Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Maggid Mjengwa (FB) anasema Moja ya matokeo ya ajabu kupata kuyashuhudia .. matokeo ya urais bado..kumbuka yeye ni mmoja wa wahesabu kura!
 
malinzi kasinda ila kuna ngazi zingine bado wanaesabia ndo maana hawatoi matokeo rasmi
 
Wakati zoezi la kuhesabu kura linaendelea, taarifa zinaeleza Jamal Malinzi ndiye Rais mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF.

Hali hiyo inatokana na kawaida ya uchaguzi inavyokuwa kwamba wajumbe waliokuwa katika kambi ya Malinzi kama Wilfred Kidau, Geofrey Nyange ‘Kaburu' na wengine wameshinda.

Katika uchaguzi wa TFF imekuwa ni kawaida kwa hali hiyo kutokea kwamba wajumbe wengi wa kambi moja wakishinda, basi ndiyo aliyekuwa upande wao akigombea urais anaibuka na ushindi.

Taarifa kutoka ndani ya chumba cha upigaji kura zinaeleza wengi wao wamempigia kura Malinzi hali iliyofanya Nyamlani asome alama za nyakati na kuamua kuondoka ukumbini.
 
Kwa mujibu wa habari za kuaminika nilizozipata kwa nia ya sms kutoka ukumbi wa kura, TAKUKURU wana record kila kitu.

Mshindi, yeyote awaye ajitayarishe kujieleza kwa TAKUKURU within a week.
 
Maggid Mjengwa (FB) anasema Moja ya matokeo ya ajabu kupata kuyashuhudia .. matokeo ya urais bado..kumbuka yeye ni mmoja wa wahesabu kura!
Maggid Mjengwa ni ndimi mbili, wakati mwingine sio wa kumwamini sana.
Dawa yake ni kumpuuzia kwanza.
 
Kwa mujibu wa habari za kuaminika nilizozipata kwa nia ya sms kutoka ukumbi wa kura, TAKUKURU wana record kila kitu.

Mshindi, yeyote awaye ajitayarishe kujieleza kwa TAKUKURU within a week.

Inamaana Mkuu unataka kusema Rushwa inatolewa kama Njugu-Mawe?!!!!!!
 
Kuna yule aliyekua kiongozi wa yanga Ukiacha malinzi anaitwa Madega vipi nae ameshinda? Naombeni matokeo!
 
Baadhi ya kanda zilizohesabu hadi sasa ni
Dsm - Kidau,
Moro/ pwani - Kaburu,
Tanga / Klmjaro - Khalid, Lindi / Mtwara - Kambi,
Tabora/ Kigoma - Mgoyi,
Mbeya / Iringa - Nyenzi,
Njombe / Ruvuma - Mhagama,
Rukwa / Katavi - Kiondo
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom