Uchaguzi Mkuu 2010 Zanzibar: Hatima ya Demokrasia na Upinzani Tanzania

hivi ccm weshajipanga kwa zanzibar ?

ni nani tumtegemee kuwa mgombea wetu maana cuf wao ndio weshafulia
 
Nikimuangalia Mousavi na vijana wake wanavyoandamana kupinga ushindi wa Ahmedimjinga, nikinusa harufu ya damu na hamasa za kutokuogopa dola kwa jina la Demokrasia na Upinzani wa kisasa kunakotokea Iran, nakuja na jibu moja kuhusu hatima ya Demokrasia Tanzania, uhai na muelekeo wa vyama vya Upinzani Tanzania: Uchaguzi Mkuu Zanzibar 2010!

Ningekuwa mimi Chadema, TLP, NCCR na wengine wote wasioitwa CUF au CCM, ningewekeza nguvu zangu za kichama kuleta msukumo wa mapinduzi ya kweli ya kisiasa na Demokrasia Tanzania kupitia Zanzibar.

Funzo la Uchaguzi 1995, 2000 na 2005 linatosha kuonyesha wazi ni vipi Zanzibr ina nguvu kubwa katika kuleta mabadiliko ya kweli kisiasa Tanzania na hata ile dhana ya kuing'oa CCM madarakani inawezekana na ndoto kutimilika.

Si urongo (sic) kuwa chaguzi zote hizo tatu 1995, 2000 na 2005, CCM ilishindwa vibaya na hasa kwenye Urais, lakini Utamu wa Hatamu ulifanya wagombea wa CCM watoke videdea huku maelfu ya Wazanzibari waliokuwa ni upande wa Upinzani ama kupoteza maisha au kufanywa wakimbizi kutoka nchi yao.

Ni Wazanzibari pekee, iwe ni wa kutoka Pemba au Ungujam ndio walio na kende imara kuandamana na hata kutoa damu kupigania haki zao na kulilia kilicho chao.

Ingawa tunawadharau na kuwaona kuwa ni sawa na mke kwenye suala la Muungano, lakini nawavulia kofia kwa ujasiri wao wa kupigania kilicho chao na mtaona kwa dhati ni vipi hata ndani ya CCM, kundi la Zanzibar huwa na nguvu za ajabu licha ya vitisho vya rungu la Kichama au Dola ya Serikali ya Muungano.

Swali linakuja kwa Upinzani, ni vipi basi mnalazia damu kuiteka Zanzibar yote kwanza na kuicha CCM kama si Solemba bali chali mithili ya kifo cha mende?

Kinachotokea Iran kinanipa jawabu moja kubwa, nalo ni kwa upinzani kuwekeza nguvu zao zote wakati wa uchaguzi mkuu wa Taifa 2010 Zanzibar.

Iwe ni Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Rais wa Zanzibar na hata Wabunge wa Bunge la Muungano, Upinzani nguvu zao za kujijenga na kukubalika kisiasa machoni pa Watanzania wengi kutatokana na turufu ya kuishikilia Zanzibar!

Mwaweza sema Mchungaji kalewa mvinyo, lakini jiulizeni ni kwa nini Mkapa alimpeleka Omar Mahita na vikosi vya Dola kule Pemba na Unguja kutuliza rabsha? Jiulizeni ni vipi mwaka 1995, ilibidi Salmin Amour asalimishe kende zake kwa Nyerere akiomba msaada?

Jibu laki ni kuwa CCM ilipoteza Urais na Uwakilishi Zanzibar katika chaguzi zote hizo mbili!

Kishoka

Hiki ni kitandawili sasa, yale yaliyotegemewa kule Zenj sasa mwisho, zile hadithi za zanzibar kutatokea vurugu zimeyeyuka.

Je hiki ni kiini Macho ama ni kweli?

Mungu inusuru Zanzibar na balaa hilo
 
Waungwana kwanza nawapongeza kwa kuwa na akili yenye kuona upande mmoja tu wa shilingi, na pili nawapongeza kwa jitihada za kuitakia mabaya zanzibar, na la tatu kwa uwezo wenu maini wa kujikita juu ya zanzibar pekee na kwamba kama ni ukosefu wa haki na demokrasia uko zanzibar tu.
Langu mimi kwenu ni ushauri kwamba zanzibar ilikuwepo kwa salama na amani na itaendelea kuwepo kwa salama na amani na kama lengo ni kujitahidi ili mwaka 2010 kuwe na fujo kama la iran au lile la 2000 hadi 2005, hilo naon kama mmechelewa mana kila mtu hasa wa zanzibar kama ni wa ccm au wa cuf tumechoshwa na tendo la umwagaji damu, na hasa ukizingatia sio viongozi wenyewe wala jamaa zao ndio wanaoshiriki na kumwaga damu au kupoteza maisha yao, hivyo tendo la kushabikia zanzibar kmwagwa damu huo hni ufinyu na ulimbukeni wa mawazo na insha allah kama lengo lenu ni kushabikia na kuhamasisha fujo mwaka 2010 halitatimia, sisi sote ni watanzania na hutupendi chama chochote kishinde kwa hila ,lakini hatupendi damu imwagike eti sababu ni kutafuta haki. Mana ukweli hata upinzani wanajua kama ni wizi wa kura kule pemba wanaiba kura nyingi kuliko hata ccm, ni nani asiyejua kwamba cuf wanapandikiza wapiga kura hewa mara nne zaidi ya wale wa ccm, ni nani asiyejua kwamba ukiwaona cuf wanalalamika ju ya tendo fulani basi wao ndio walio tenda. Waungwana jiangal;ieni nyimbo mbaya haimbiwi mtoto mchanga, kama hamu yenu ni damu basi nendeni mkamwage huko huko kwenu na zanzibar siyo sehemu ya majaribio na kwa kweli hili halitatokea kwa kisingizio cha demokrasia, na hatungependa mtu yoyote apoteze maisha kwa jambo la kipumbavu. Zanzibar itajitahidi kuendesha uchaguzi wa huru na wa haki na wala siyo tabia ya kuendeleza chuki na uhasama dhidi ya watu.
Ccm ya leo siyo ya jana na kama mnaota na kutamani damu imwagwe ya wazanzibari basi mmechelewa , hatutaki mtu wetu hataa mmoja amwage damu kwa kisingizio cha demokrasia, tafuteni dua nyengine mupombe siyo ya umwagaji wadamu. Huo ni uhasidi na insha allah kila mwenye kuiombea zanzibar dua mbaya basi itamrudia mwenyewe.
Tunapenda demolrasia, lakini tunaipenda zaidi zanzibar yetu. Mana zanzibar ni muhimu zaidi kuliko siasa na watu wake na maendeleo ni muhimu zaidi kuliko matashi na matarajio yenu ya kuifanya iwe ndio pilot area ya fujo au kung;oka kwa ccm. Ccm ni chama kama vilivyo vyama vyengine, ila tofauti kati ya vyama kila mtu anao muono wake na matarajio yake, msidhani wazanzibari wote au wapemba wote ni cuf au ccm, wengi wao hawana chama.
Tafuteni jengine la kuiombea zanzibar siyo machafu kwa watu wake, umwagaji wa damu kwa zanzibar huo ni uchurio na insha allah hautfika watu wa zanzibar.
Na wewe muhusika wa mtandao hili uiliangalie siyo vizuri watu kutumia nafasi hii kuhamasisha fujo na umwagaji wa damu kwa kisingizio cha demokrasia na uhuru wa habari. Huu ni ulimbukeni.

????????????????????????
 
Acha kusema uwongo wewe.Wazanzibari gani hao unawaafanyia reference wewe. Twende kisanduku cha kura.

Ushauri mzuri lakini wale mliowazuia kujiandikisha kule Pemba na eneo la Gaza wapeni haki yao ya kujiandikisha. Pia Janjawidi wasiwepo.
 
Ndicho ninachosema kuwa kwao CCM ni kama kivuli tu cha kulinda chama chao halisi, hivyo wala hawana hofu ya ccm kuondoka kwa sababu wanajua wanacho chama chao halisi ambacho ndicho kimsingi kinachoendesha mambo yao

ASP na HIZBU ni historia inayokuzwa ili kuleta uhalali wa CCM kuendelea kutawala.
Kwa Wazanzibari wengi wa sasa hivi vyama havina maana kwao kwani wakati Hizbu kinanasibishwa na Uarabu na kuifanya Bara kutumia kisingizio hicho kiikandamiza Zanzibar, ASP kinanaisibishwa na kuiuza Zanzibar kwa CCM ambayo pia inaifanya Bara kuendelea kuikandamiza Zanzibar. Wazanzibari wanahitaji mambo mapya kabisa na yale ya Uhizbu na Uasp.
 
Waungwana kwanza nawapongeza kwa kuwa na akili yenye kuona upande mmoja tu wa shilingi, na pili nawapongeza kwa jitihada za kuitakia mabaya zanzibar, na la tatu kwa uwezo wenu maini wa kujikita juu ya zanzibar pekee na kwamba kama ni ukosefu wa haki na demokrasia uko zanzibar tu.
Langu mimi kwenu ni ushauri kwamba zanzibar ilikuwepo kwa salama na amani na itaendelea kuwepo kwa salama na amani na kama lengo ni kujitahidi ili mwaka 2010 kuwe na fujo kama la iran au lile la 2000 hadi 2005, hilo naon kama mmechelewa mana kila mtu hasa wa zanzibar kama ni wa ccm au wa cuf tumechoshwa na tendo la umwagaji damu, na hasa ukizingatia sio viongozi wenyewe wala jamaa zao ndio wanaoshiriki na kumwaga damu au kupoteza maisha yao, hivyo tendo la kushabikia zanzibar kmwagwa damu huo hni ufinyu na ulimbukeni wa mawazo na insha allah kama lengo lenu ni kushabikia na kuhamasisha fujo mwaka 2010 halitatimia, sisi sote ni watanzania na hutupendi chama chochote kishinde kwa hila ,lakini hatupendi damu imwagike eti sababu ni kutafuta haki. Mana ukweli hata upinzani wanajua kama ni wizi wa kura kule pemba wanaiba kura nyingi kuliko hata ccm, ni nani asiyejua kwamba cuf wanapandikiza wapiga kura hewa mara nne zaidi ya wale wa ccm, ni nani asiyejua kwamba ukiwaona cuf wanalalamika ju ya tendo fulani basi wao ndio walio tenda. Waungwana jiangal;ieni nyimbo mbaya haimbiwi mtoto mchanga, kama hamu yenu ni damu basi nendeni mkamwage huko huko kwenu na zanzibar siyo sehemu ya majaribio na kwa kweli hili halitatokea kwa kisingizio cha demokrasia, na hatungependa mtu yoyote apoteze maisha kwa jambo la kipumbavu. Zanzibar itajitahidi kuendesha uchaguzi wa huru na wa haki na wala siyo tabia ya kuendeleza chuki na uhasama dhidi ya watu.
Ccm ya leo siyo ya jana na kama mnaota na kutamani damu imwagwe ya wazanzibari basi mmechelewa , hatutaki mtu wetu hataa mmoja amwage damu kwa kisingizio cha demokrasia, tafuteni dua nyengine mupombe siyo ya umwagaji wadamu. Huo ni uhasidi na insha allah kila mwenye kuiombea zanzibar dua mbaya basi itamrudia mwenyewe.
Tunapenda demolrasia, lakini tunaipenda zaidi zanzibar yetu. Mana zanzibar ni muhimu zaidi kuliko siasa na watu wake na maendeleo ni muhimu zaidi kuliko matashi na matarajio yenu ya kuifanya iwe ndio pilot area ya fujo au kung;oka kwa ccm. Ccm ni chama kama vilivyo vyama vyengine, ila tofauti kati ya vyama kila mtu anao muono wake na matarajio yake, msidhani wazanzibari wote au wapemba wote ni cuf au ccm, wengi wao hawana chama.
Tafuteni jengine la kuiombea zanzibar siyo machafu kwa watu wake, umwagaji wa damu kwa zanzibar huo ni uchurio na insha allah hautfika watu wa zanzibar.
Na wewe muhusika wa mtandao hili uiliangalie siyo vizuri watu kutumia nafasi hii kuhamasisha fujo na umwagaji wa damu kwa kisingizio cha demokrasia na uhuru wa habari. Huu ni ulimbukeni.

Pole sana Mzanzibari mwenzangu na nakubaliana nawe mia kwa mia kuwa si vizuri kuitakia mabaya nchi yetu lakini haya yanayozungumzwa hapa ndio mambo walio madarakani wamekuwawakielekeza Zanzibar kwayo.
Kwani chaguzi tatu za vyama vingi hili suwala la kinusuru nchi kwa kisingizio cha Demokrasia halikuonekana maana yake? Ilikuwaje hali ya kuidumaza demokrasia ilikuwa ikijirejea mara zote? Mlikuwepo wapi wenye mawazo mazuri kama yako wakati viongozi wa CCM wakijisifu kila baada ya kitendo cha umwagaji damu?

Kinachozungumzwa hapa si chengine bali ni kukumbushia yaliyofanyika mara tatu na kuonyesha ubaya wa kundi moja kujichukulia uwezo wa kufanya wakitakacho. kila mmoja ana haki ya mawazo na kama wewe ulivyoshindwa kuulani umwagaji wa damu na uvunjifu wa haki za msingi uliofanywa mara tatu basi ipo haki kwa wengine kutahadharisha nini kinaweza kutokea kama hali itarejewa mara nyengine.
 
Tazama hii video kuanzia dakika ya 27

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom