Uchaguzi igunga

RAU

Member
Jul 6, 2011
61
11
Niwakati muafaka kufanyika uchunguzi wa kina kupata sababu muafaka iliyosababisha wananchi kuto piga kura.
Natumaini kwa wafuatiliaji wa uchaguzi kuna mambo mengi yaliyotokea, Sababu anazozitoa katibu mwenezi wa CCM zimekuwa ni za kisiasa sana. Haziwezi kuisaidia jamii ya Watanzania wanaoshughulika na maswala ya chaguzi kufanya marekebisho au kuboresha utendaji wao wa kazi.

Ni vyema wanasiasa wakawa makini wanapozungumza mambo ya kijamii au maendeleo kwakuwa kuna watu wanahitaji kufanyia kazi matamko yao.
 
Back
Top Bottom