Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Ukweli hapa igunga CCM ndie mshindi.Nimeshauri chama changu kisisimamishe mgombea kuondoa aibu inayokuja wapi,viongoz vichwa ngumu.Igunga nzima hata huyu diwan wa pekee CDM anatuhujumu kimyakimya kwa kumfagilia DALALA KAFUMU.Slaa dr wangu utajishushie sifa zako.

Baadhi Wana Igunga waliojitokeza kumpokea na kumsikiliza Maalim Seif

Ziara hiyo inaambatana na azma ya kukutana na Watendaji wa Chama katika Wilaya hiyo na pia kujumuika siku ya ufungaji wa Kampeni za kugombea Ubunge wa Jimbo la Igunga, nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Rostam Azziz.

wakiongozwa na katibu mkuu wa chama hicho Seif Sharif Hamad wakiwa na magari zaidi ya 30 na pikipiki zaidi 100 na umati wa watu waliotembea kwa miguu, huu ni mwanzo wa kuashiria kuanza kwa kampeni hapo kesho.

Leo igunga imezizima japo police walimwagwa kila kona lakini wanainchi wamejitokeza, kweli wanainchi wanataka mabadiliko, macho na masikio yetu tunasubiri hapo tarehe 2/10/2011 tuone ni nana atakaye nyakua kiti hicho.

Mtoaji wa habari ni mgeni ambaye nipo hapa igunga kwa shughuli ya kikazi

Mkuu atafikiriaje?.....kazi ya makalio si kufikiri, kinachotoka makalioni unakijua ati, msamehe bure!!

Kweli huyo ni wakusamehe bure tu!mana ubongo wake umejaa kinyesi sasa hata fikiria nini zaidi ya choo

acha unafiki picha uliyoweka ni ya ccm, wala seif hajafanya mkutano wa hadhara igunga huwezi kuzima moto wa pumba kwa mdomo mwishowe utaambulia TB.

Baadhi Wana Igunga waliojitokeza kumpokea na kumsikiliza Maalim Seif

Ziara hiyo inaambatana na azma ya kukutana na Watendaji wa Chama katika Wilaya hiyo na pia kujumuika siku ya ufungaji wa Kampeni za kugombea Ubunge wa Jimbo la Igunga, nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Rostam Azziz.

wadau mimi naomba kujulishwa.Huo mkusanyiko wa wapemba ni wa kidini au kisiasa? Samahani kama nitamkwaza mtu.

250px-Prof._Lipumba_(left)_and_Seif_Shariff_Hamad_(right)_in_their_victory_press_conference_afte.JPG

sijui anawaza nini maskini ya Mungu

sijui anawaza nini maskini ya mungu

Lol.anawaza hvi' hivi urais ntakuja kuupata kweli? Au ndo nsahau kabisa? Ila nimewatikisa sana ccm japokuwa wamekuwa wakiniibia kura' teh

Lol.anawaza hvi' hivi urais ntakuja kuupata kweli? Au ndo nsahau kabisa? Ila nimewatikisa sana ccm japokuwa wamekuwa wakiniibia kura' teh

Watu wanasema eti FIRSTLADY WA SISIM AMETINGA IGUNGA,Mie simo humo bana nyie wachokozi tu

maalim ana historia inayoonyesha kuwa ana uchu mkubwa wa madaraka, kumbuka watu walikufa znz kwa harakati za kuiondoa ccm madarakani, wengine wamekuwa vilema kwa kuwa kwao mstari wa mbele.

laiti maalim seif angewatangazia nia ya mapambano ni kuishinikiza ccm impe nafasi kwenye utawala wake, naamini asingeungwa mkono (japo majuto ni ......) sababu ya kufa isingechochewa na kumshabikia maalim. kumbuka nia ya wananchi ni kushika hatamu za serikali yao, jambo ambalo pamoja na seif kuwa makamu wa .... wa rais bado serikali haiko mikononi mwa wananchi na hamadi anakula bata kwenye majengo aliyokuwa akiyatamani kwa muda mrefu.

wadau mimi naomba kujulishwa.Huo mkusanyiko wa wapemba ni wa kidini au kisiasa? Samahani kama nitamkwaza mtu.
mkuu tena udini umefikaje humu. Hebu changia mada husika acha udini humu. ukitaka huo udini yatakutokea puani.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom