Uchaguzi 2020: Watu hata wakicheza mieleka majukwaani na kutunisha misuli hakuna atakaedanganyika

Mkuu Kapama ndani ya miezi 11 hujaona chochote hata ndege mbili hujasikia Elimu bure nidhamu kwa watumishi.

Hata Musa jangwani kweli alidhihakiwa

JPM alisema mnafiki atasema unatimua vumbi hata kama ni majini
hilo vumbi la majini ni kiboko.
 
  • Thanks
Reactions: jmi
Labda wafanye sub mapema baba nanilii apunzike ila bila hivyo itakula kwake.
 
Historia ya dunia inakwenda kujengeka ambapo jamaa hadi mkewe ameapa hato mpa kura yake (...)
 
uongozi ni kipaji kutoka kwa mungu kama ilivyo vipaji vingine sio kila mtu anafaa kuwa kiongozi kuna watu wanaforce kwaiyo lazma mambo yaende kombo tu
 
Mimi nawambia watu fulani mwaka 2020 hata wakiamua kubadili sytle yao ya kitapeli ya kuhadaa watu kwa kucheza mieleka mjukwaani na hata kitunisha misuli,hakuna atakaedanganyika kutokana na haya wanayofanya leo hii.

Tuko radhi tumuweke hata anaetembea kwa fimbo/mkongoja mradi tu tunaona anafaa kuliko atakaecheza mieleka majukwaani na kutunisha misuli wakati kazi anayoenda kuifanya haitaki mabavu bali akili,busara,maarifa na zaidi kipaji.

Tunawasubiri.
Kwa hiyo Lipumba ni lazima atashinda!!
1476134942120.jpg
 
Akina JOHN Cena hawana chao 2020 wapeleke mbwembwe kanda ya ziwa

Kanda ya Ziwa kawa bore pia
Kagera ndiyo hajanda hata kuwapa pole
NEC itamtangaza Magufuli mshindi 2020
Lkn kwenye kura halali hawezi shinda
 
Siku mkikaa mkatafakari mkajua kuwa CCM ndo hii hii,tume ni hii hii,katiba ni hii hii,na raisi ni huyu huyu mpaka 2025.Ndo mtapunguza hasira za kuja na thread za kupeana moyo humu.Huwa narudia hii sentensi mara nyingi.Kulikuwa na uwezekano wa upinzani kuaminika nchini,lakini kitendo cha kumtaja mtu ni fisadi jukwaani miaka zaidi ya saba halafu mwishoni mkamchukua ndo agombee uraisi,hii dhambi itawatafuna miaka mingi sana.Huwa mnaona watu ni wajinga lakini wananchi sio wajinga kama mnavyodhani.By the way,siku hizi zile pesa za harambee makanisani na misikitini zipo wapi?,hamdhani hii inazidi kuwaaminisha wale waliorubuniwa kwa pesa za harambee kwamba yule raisi wenu wa mioyo sio mzalendo wa kweli,bali alikuwa anatoa pesa kwa ajili ya kuwanunua?,.Hata hili hamdhani linawapunguzia wapiga kura?,. Huwa nikiona mtu ana imani upinzani huu wa wachumia tumbo utachukua dola siku za karibuni huwa natilia shaka uwezo wake wa kuona mbali.
 
Gia za angani mkuu. Hazifai. Hazieleweki. Zinachanganya wapiga kura sana. Mkiziacha yaani Kanda ya Kaskazini mnachukua nchi kilaini tu. Kamwe msifikiri kuwa wapiga kura ni wajinga!
84f377741b25a9f0c02f1ca5862af5a1.jpg
3b79b164e3e7177cafbe0b8a26b2d69a.jpg
 
Siku mkikaa mkatafakari mkajua kuwa CCM ndo hii hii,tume ni hii hii,katiba ni hii hii,na raisi ni huyu huyu mpaka 2025.Ndo mtapunguza hasira za kuja na thread za kupeana moyo humu.Huwa narudia hii sentensi mara nyingi.Kulikuwa na uwezekano wa upinzani kuaminika nchini,lakini kitendo cha kumtaja mtu ni fisadi jukwaani miaka zaidi ya saba halafu mwishoni mkamchukua ndo agombee uraisi,hii dhambi itawatafuna miaka mingi sana.Huwa mnaona watu ni wajinga lakini wananchi sio wajinga kama mnavyodhani.By the way,siku hizi zile pesa za harambee makanisani na misikitini zipo wapi?,hamdhani hii inazidi kuwaaminisha wale waliorubuniwa kwa pesa za harambee kwamba yule raisi wenu wa mioyo sio mzalendo wa kweli,bali alikuwa anatoa pesa kwa ajili ya kuwanunua?,.Hata hili hamdhani linawapunguzia wapiga kura?,. Huwa nikiona mtu ana imani upinzani huu wa wachumia tumbo utachukua dola siku za karibuni huwa natilia shaka uwezo wake wa kuona mbali.

Nimekuelewa sana mkuu
kiukweli hili ni kosa kubwa sana wamefanya na litagharimu kwa muda mrefu sana.
 
Kama mlivyo kurupuka kulipokea Fisadi, sasa mtalisafisha mbaka akili ziwakae sawa. Na sasa wote mnanuka Ufisadi na Ukwepaji wa kodi.
 
Mijitu imeshika dola alafu inalalamika fulani fisadi sasa sisi wananchi tufanyaje?!
 
Nchii hii sitegemei sana ikiwa wananchi wenyewe wanarauka asubuhi instagram kushindana na kuminyana kuhusu kiba na diamond expect ccm kushinda kila uchwao
 
Kazi mliyopewa na DJ kwa miaka 5 ni Kulisafisha tu. Yeye amesha chukua chake.
 
Mimi nawambia watu fulani mwaka 2020 hata wakiamua kubadili sytle yao ya kitapeli ya kuhadaa watu kwa kucheza mieleka mjukwaani na hata kitunisha misuli,hakuna atakaedanganyika kutokana na haya wanayofanya leo hii.

Tuko radhi tumuweke hata anaetembea kwa fimbo/mkongoja mradi tu tunaona anafaa kuliko atakaecheza mieleka majukwaani na kutunisha misuli wakati kazi anayoenda kuifanya haitaki mabavu bali akili,busara,maarifa na zaidi kipaji.

Tunawasubiri.
Mwisho wa uchaguzi ni mwanzo wa maandalizi ya uchaguzi mwingine.....in JK's voice
 
ndio mana afrika Ku endelea kazi yaan Leo unawaza uchaguzi badala ya kujenga nchi
 
Mimi nawambia watu fulani mwaka 2020 hata wakiamua kubadili sytle yao ya kitapeli ya kuhadaa watu kwa kucheza mieleka mjukwaani na hata kitunisha misuli,hakuna atakaedanganyika kutokana na haya wanayofanya leo hii.

Tuko radhi tumuweke hata anaetembea kwa fimbo/mkongoja mradi tu tunaona anafaa kuliko atakaecheza mieleka majukwaani na kutunisha misuli wakati kazi anayoenda kuifanya haitaki mabavu bali akili,busara,maarifa na zaidi kipaji.

Tunawasubiri.

Siyo kwa nchi hii salary slip

Bado sana na sababu kubwa ni ninyi wananchi sio watawala
 
Back
Top Bottom