Uchaguzi 2020: Watu hata wakicheza mieleka majukwaani na kutunisha misuli hakuna atakaedanganyika

Mimi nawambia watu fulani mwaka 2020 hata wakiamua kubadili sytle yao ya kitapeli ya kuhadaa watu kwa kucheza mieleka mjukwaani na hata kitunisha misuli,hakuna atakaedanganyika kutokana na haya wanayofanya leo hii.

Tuko radhi tumuweke hata anaetembea kwa fimbo/mkongoja mradi tu tunaona anafaa kuliko atakaecheza mieleka majukwaani na kutunisha misuli wakati kazi anayoenda kuifanya haitaki mabavu bali akili,busara,maarifa na zaidi kipaji.

Tunawasubiri.
wewe jamaa wewe!
 
Salaam wanajamvi!

Ili kuwezesha nchi yetu kusonga mbele kimaendeleo dalili njema imeonekana mfano soko la hisa na mfumuko wa bei kushuka

Kuliko kuchukiana na kupoteza raslimali za nchi uchaguzi mkuu 2020 hauna haja kwa upande wa Rais isipokuwa WAbunge na Madiwani ambao ufanyike kulingana na Jimbo ambalo Mbunge atafanya chini ya kiwango.

Nchi ni yetu tukutane 2025 ili Rais asuke mfumo thabiti ya kutufikisha uchumi wa kati.

Nawasilisha matusi si lazima.
 
2020 nta deal na Rais tuu. wabunge ntasamehe madiwani ntasamehe.
Uyu jamaa ningependa ang'olewe.
*wanao niunga mkono najua watakiwepo wengi tuu
 
Salaam wanajamvi!

Ili kuwezesha nchi yetu kusonga mbele kimaendeleo dalili njema imeonekana mfano soko la hisa na mfumuko wa bei kushuka

Kuliko kuchukiana na kupoteza raslimali za nchi uchaguzi mkuu 2020 hauna haja kwa upande wa Rais isipokuwa WAbunge na Madiwani ambao ufanyike kulingana na Jimbo ambalo Mbunge atafanya chini ya kiwango.

Nchi ni yetu tukutane 2025 ili Rais asuke mfumo thabiti ya kutufikisha uchumi wa kati.

Nawasilisha matusi si lazima.
Unasema matusi si lazima wakati wewe ndiye uliyeanza kutukana?
 
Mimi nawambia watu fulani mwaka 2020 hata wakiamua kubadili sytle yao ya kitapeli ya kuhadaa watu kwa kucheza mieleka mjukwaani na hata kitunisha misuli,hakuna atakaedanganyika kutokana na haya wanayofanya leo hii.

Tuko radhi tumuweke hata anaetembea kwa fimbo/mkongoja mradi tu tunaona anafaa kuliko atakaecheza mieleka majukwaani na kutunisha misuli wakati kazi anayoenda kuifanya haitaki mabavu bali akili,busara,maarifa na zaidi kipaji.

Tunawasubiri.
....Imani yako itakuponya...
 
Sasa nani anatumia mbavu kama scorpion bila akilo na maarifa?Unachochea siyo?
 
Mkuu Kapama ndani ya miezi 11 hujaona chochote hata ndege mbili hujasikia Elimu bure nidhamu kwa watumishi.

Hata Musa jangwani kweli alidhihakiwa

JPM alisema mnafiki atasema unatimua vumbi hata kama ni majini
Uongozi sio mtu ni mfumo huyu hatengenezi mfumo,siwezi kuangalia vijindege kama hivyo coz sisi kwa sasa tulitakiwa kunashindana na mashirika makubwa duniani,elimu bure unayosema hebu nipigie hesabu waliomtengea mwanafunzi kwa simu kwa ajili ya elimu bure hata tsh200 kwa siku haifiki,play a tambua kuwa elimu sio madawati no mfumo mzima wa elimu wanafunzi wanaweza kukaachini na wakapata elimu bora
 
Back
Top Bottom