UBUYU: Sababu ya ugomvi wa kocha wa CB Belouzidad na mchezaji wake. Hii ni skendo kubwa kwa mpira wa Algeria

Sawa ndo nakuuliza dakika ya 80 ilipokua 3-0 kwanini wasingepaki tu basi ili yanga asipate goli la nne... Ndo kwanza wachezaji wao wakawa wanakimbilia kuwahisha mipira uwanjani badala ya kupoteza muda... Nilishangaa sana aisee
Mpira ungeisha kwa goli 3-0 wangekuwa na hali ngumu mno, mechi yao ya mwisho dhidi ya Medeama kwasababu ili wa level goal difference na Yanga wanatakiwa wamfunge Medeama goli 3-0 huku yanga nayo ifungwe goli moja na Al Ahly. Au Yanga afungwe goli 2-0 na yeye ashinde 2-0 dhidi ya Medeama. Kwahiyo wakaona wana mazingira magumu sana hapo hivyo wakaamua kuchukua option iliyo nyepesi kwao ni kupata goli moja pekee ili kumchafulia Yanga katika H2H kwa masna wangepata goli moja kazi ingekuwa kubwa kwa Yanga kwasababu ingewalazimu kupata magoli mawili zaidi yaani game iishe 5-1 ila ikitoka 3-1 au 4-1 basi Yanga ingetoka kama wangelingana point kwasababu Yanga atakuwa karuhusu goli la ugenini.
 
Mkuu Kuna kitu naomba nikuulize, Jana Kuna kitu nimeshangaa sana nahisi huyu kocha na wachezaji wake watakua wamelogwa sijui au ni ujinga kichwani.... Hata wa yanga sikuwaelewa

Hawa jamaa ni kama walikuja zuia wapate hata draw... Wakaana 1st half kwa kupaki basi... Baada ya kuruhusu goli la kwanza nadhani 2nd half wakaja na plan Hio Hio wapaki basi wacheze counter ndipo wakashangaa ndani ya dakika 5 washapigwa chuma mbili

Sasa matokeo ya 3-0 bado hayakua mabaya sana maana wangetegemea yanga afungwe ye ashinde.... Kwenye dakika za 75 naona kina diarra wakaanza kupoteza muda ikiwa bado 3-0 nikawa siwaelewi kabisa nao... Ilipofika dakika ya 80 kwa kua huwezi rudisha goli nilitegemea jamaa wajilinde zaidi ili wafungwe hata 3-0 ndo kwanza wakajazana mbele wakaruhusu goli la nne

Technical kocha alifeli sana kuhandle dakika za mwisho akaruhusu goli na 4
Kama inaweza kuloga timu hivyo basi mwaka huu itakuwa Bingwa wa Dunia
 
Bahati mbaya na wenyewe walikuwa wanalazimisha kupata hata goli moja tu ili waipe wakati mgumu Yanga! Na mwisho wa siku wakajikuta wameingia kwenye mfumo.

All in all, Yanga ilicheza mpira mkubwa sana siku ya jana.
 
Mkuu ipo hivi hawa jamaa wanajua kabisa sheria ni ipi inayotangulia kufanya kazi endapo mnalingana point. Hivyo wakati wamefungwa magoli matatu ikabidi washambulie kwa kasi ili wapate goli moja. Wangefanikiwa kupata goli moja tu lingeharibu kila kitu kwa Yanga. Ingeibidi Yanga watafute magoli mawili zaidi yaani wawe na magoli matano. Kwasababu goli la ugenini lingehesabika hapo.

Na mwisho kabisa walijua kama game ingeisha kwa matokeo ya 3-0, Belouizdad wangekuwa na kazi kubwa sana ya kumfunga Medeama goli 4 ili aweke sawa mzani wa Goal difference dhidi ya Yanga.

Je kipi bora kati ya kutafuta goli moja tu hapo hapo au kutafuta goli nne mechi ya mwisho?
Ili kumfavor mwarabu, ingembidi Belouizdad amfunge Medeama 6-0 na aombee Yanga ifungwe.
 
Back
Top Bottom