Asubuh ya leo nimeona ubunifu wa Ombaomba, nilikua kwenye makutano ya kawawa road na nyerere rod,wakat daladala ipo kwenye folen nikasikia sauti iliyorekodiwa ikitoka kwenze kipaza sauti,SAUT HIYO ILISEMA
'ndugu zangu watanzania nakuomben msaada,mia 1, mia 2, mia 5, aaamin aaamin'.
Nikaamua kutupia macho,alikua ni kijana ambae amevaa shingon kipaza sauti kilichofungwa na kamba,ameamua kutumia mbinu hiyo ambayo
inamsaidia sana kwani inaonesha anasikika kwa haraka sana,
My take; NAMPONGEZA HUYU JAMAA,NAWEZA KUSEMA AMETHUBUTU!