Ubinadam haupimwi hivi

mh! sio uongo ila kama thread yako inakosa mashiko (support) haijitoshelezi vile!!
 
jamani hii iliotumwa ni ,thread ya misemo ya kiswahili,,, ni methali,,, au ni chemshabongo??? mi bado sijaielewa!!!! i'm comffused till now...
 
jamani hii iliotumwa ni ,thread ya misemo ya kiswahili,,, ni methali,,, au ni chemshabongo??? mi bado sijaielewa!!!! i'm comffused till now...

Angalia mtuma thread mwenyewe kaingia lini... Kwanza hata hodi hakuna..... Tafadhali usije kujifunzia kwenye vyombo vya watu wewe....Niliham...msamehe...maana watu wengine ni form seven wanaingia JF kujifunza kutumia computer na internet
 
Hii kitu gani sasa??????????

Thread msitari mmoja halafu haueleweki kabisa. Chukua muda kujifunza sio unaingia kama chooni unaanza kuhara utumbo wa kuku.

Kajifunze urudi tena toa takataka zako hapa allahhh
 
heheheh mi nilipoona tuu msatari mmoja nikamtizama huyu mtu mgeni nini? inshaAllah ataelimika..
Angalia mtuma thread mwenyewe kaingia lini... Kwanza hata hodi hakuna..... Tafadhali usije kujifunzia kwenye vyombo vya watu wewe....Niliham...msamehe...maana watu wengine ni form seven wanaingia JF kujifunza kutumia computer na internet
 
Kamwe ubinadam hauwez kupimwa kwa kua na wanawake weng au kua na wanaume weng

Jamani labda alikosea tu! nahisi alituma kabla hajamaliza kuandika halafu akashindwa jinsi ya kuediti, ndugu yangu ongezea basi tuchangie.
 
Tatizo ameshindwa kuyawakilisha mawazo yake kwa maandishi. Inaonekana anakawazo kazuri lakini ameshindwa kukatoa kimaandishi.
 
duuhh haya bwana

itabidi nikubaliane nawe
sababu bado sijaelewa unataka nini .....
nice day ...
 
Mpendwa ukiingia sehemu sio uonyeshe ufundi wakati hujui kitu chukua muda kujifunza.
Huoni kama umejidhalilisha kwa hii thread hapo umemaanisha nini sasa.
Take time hamna haraka ya kuanzisha thread hata kama huna mawazo yanayoeleweka
 
Fupi sana, labda mwisho ungeandika Discuss watu tungeshuka kama tunajibu mtihani wa Ds
 
oooh huyu inaonekana alikua bado anaandika na hajaimalizia,akiishtukia ataongeza tu.najua haijaisha
 
Back
Top Bottom