Ubaya wa ndoa

SANGA ONE

Senior Member
Jul 7, 2012
125
28
Habari za uhakika kutoka Irembula mama na mtoto wake wa kike wachangia kumpiga kichwa cha nyumba yani baba. na kuvuta nyeti bintie bira aibunaye kavuta mzigo wa ndingi sasa ndingi mahututi hospitari,habari kutoka ebony fm iringa.
 
Mkuu huu wala sio ubaya wa ndoa. nadhani huna ndoa kwa hiyo unajaribu ku-imagine vitu. haya ni matokeo ya mmomonyoko wa maadili katika jamii. hapo wote hawana maadili, baba, mama na binti yao. tabia zao wote chafu hawa na hazifai katika jamii iliyo staarabika.
 
Back
Top Bottom