Ubaguzi uliotia fora.

Habari wakubwa
Kwa muislam yoyote makini anayejua kuwa muweza wa kila kitu ni ALLAH mtukufu,na sisi binadamu twafanya juhudi tu ambazo hazifanikiwi mpaka ALLAH atake hawezi kuwa na hisia za woga kutokana na maneno ya Mukombosi na wenzake,sisi tushafahamishwa kwa maneno ya ALLAH kuwa chuki za maadui wa uislaam ni kubwa sana kuliko zinazodhihirishwa.Shortly twajua wazi kile kilichopo against islaam worldwide,leave alone Tz.
Kuna data nyingi za ku prove hila hizo dhidi yetu hapo Tz,zingine zimeandikiwa vitabu, tofauti na hadith zilitolewa na baadhi ya wachangiaji na kutuomba tuamini bila ushahidi.Ukiambiwa usilete udini TZ maanake usilete hisia za kiislam,it's well known.
Shortly tuko firm,tuna WaQQAl kwa ALLAH.
 
Hahahahahhahah
Ceeque naona unachanganyikiwa kijana,hahahhahahahah
Acha uwoga dogo,huu moto ishawasha,hauzimikiki.

Nasema,ninyi ni wa baguzi mliopitiliza,hadi mmejisahau,mnatumia mwanya wa ukimya wa wakristo,kutohoji,ili muendeleze ushenzi wenu.

Usihofu sana,wewe ni msomi,tumia usomi wako basi kubeza ukweli uliopo,lakini mtavuna mlichopanda.

Nawasaidieni tuu,hii timu iko kamili,na vita hii ni kali kuliko hata ile ya kuupinga ufisadi.

Mukombosi inaonekana uko kwenye njozi nzito iliyoambatana na mawazo yako ya kigoigoi, umejitahidi vya kutosha kueneza propaganda zako za kibaguzi na zilizojaa chuki lakini umekutana na kisiki kikubwa ambacho hukukitegemea.
 
Maybe Nyani is right and I am relatively long winded for this crowd if even the Kuhani Wakuus do not get my gist in this.But then again maybe this forum wants things to be dumbed down...

You demanded statistics, didn't ya? I disagreed, which does not say anything about whether I got or did not get the gist of what you are saying. And please do not lump me up together with the JF windblow. I get pilloried here every day for going against the grain, and heavens know, as you do, that I never jump on no man's wagon when I don't know where it's headed.

When the bigot came loose I called him out. And when the bigot has a right I will defend it with no less vigor than that which is called for in defending the rights of exhibit A model citizen. Demanding statistics from the bigot was over the top. Tomorrow it will not a bigot who is wronged. So, let us not set the standards based the behavior of one who is a bigot.
 
Mwafrika wa Kike hongera!!!!!!!!!
Hujaenda tuuu,kusugua magoti kuomba dua zako chafu,ili wasemao ukweli wasiendelee kusema ukweli?
Pole sana,nakuombea MUNGU uwe hai,ushuhudie mabadiliko yatakavyofanyika.
"Dada mrembo,usilolijua ni kama usiku wa giza"

Mkizidi kupinga kana kwamba ninyi si wabaguzi wa kupindukia na hamuamini ile nyuzi niliyowapa,basi hatuna haja ya kushangaa na kulalamika hapa JF na magazetini,jinsi mafisadi wa tz wanavyopeta.

Tena nasema tusiwalaumu wanaowashabikia mafisadi(huenda wamefungwa wasiweze ona uozo wao),kama ninyi mlivyofungwa(au kujidai hamjui) kutoona elements hizi za ubaguzi wa toka miongo na miongo.

Pole JK,wanaotaka udeal na mafisadi,waaambie watoe boriti zao kwanza,then ............
 
Ceequeeeeeeeeeee
Unajiita kisiki?
Kukutana?mimi isha kutana na wewe?nikutane na wewe ili nn?kwanini?kwa lipi hasa?una nn hasa?sina muda mchafu dogo.
Kama mimi ni goigoi,subiri kipenga cha mwamuzi.ok?
 
Did you even read my excusing the lack of statistics and focus on anecdotal and circumstantial evidence?

Even after quoting myself and highlighting the specific part of the paragraph in mutiple colors?

Jigga woulda say, hood style "Does your shyt even got leathers?"
 
Ceequeeeeeeeeeee
Unajiita kisiki?
Kukutana?mimi isha kutana na wewe?nikutane na wewe ili nn?kwanini?kwa lipi hasa?una nn hasa?sina muda mchafu dogo.
Kama mimi ni goigoi,subiri kipenga cha mwamuzi.ok?
Ooooh yeaah wewe ni GOIGOI, inaonekana hata kiswahili hujui. Nadhani ungetumia muda wako mwingi kujifunza kiswahili kabla ya kuanza propaganda zako za kibaguzi.
 
Mwafrika wa Kike hongera!!!!!!!!!
Hujaenda tuuu,kusugua magoti kuomba dua zako chafu,ili wasemao ukweli wasiendelee kusema ukweli?
Pole sana,nakuombea MUNGU uwe hai,ushuhudie mabadiliko yatakavyofanyika.
"Dada mrembo,usilolijua ni kama usiku wa giza"

Mkizidi kupinga kana kwamba ninyi si wabaguzi wa kupindukia na hamuamini ile nyuzi niliyowapa,basi hatuna haja ya kushangaa na kulalamika hapa JF na magazetini,jinsi mafisadi wa tz wanavyopeta.

Tena nasema tusiwalaumu wanaowashabikia mafisadi(huenda wamefungwa wasiweze ona uozo wao),kama ninyi mlivyofungwa(au kujidai hamjui) kutoona elements hizi za ubaguzi wa toka miongo na miongo.

Pole JK,wanaotaka udeal na mafisadi,waaambie watoe boriti zao kwanza,then ............

pumba zilizopita kipimo!..........
 
...Jigga woulda say, hood style "Does your shyt even got leathers?"

I do not agree with Jigga.

I have heard Jigga's and your thoughts for years and years and you have convinced me, and have learned from you more than I could ever gain from the famed-but-vain rapper. So you do not need Jigga to convince me of anything. I will say, apart from rapping, your caliber of analysis is better, so don't stoop.

I am writting the same thing to Mwnkjj right now, on his article in which he is making very cogent arguments as to why independent candidates should be allowed as Mtikilla convinced the courts. The problem is, he is saying that these are good points because Nyerere said so. Well, Nyerere had a worse record on Democracy! Leave Nyerere out of it, and the article stands on own two feet.

So don't bring Jigga into this...
 
I do not agree with Jigga.

I have heard Jigga's and your thoughts for years and years and you have convinced me, and have learned from you more that I could even gain anything from the famed-but-vain rapper. So you do not need Jigga to convince me of anything. I will say, apart from rapping, your caliber of analysis better, so don't stoop.

I am writting the same thing to Mwnkjj right now, on his article in which he is making very cogent arguments as to why independent candidates should be allowed as Mtikilla convinced the courts. The problem is, he is saying that these are good points because Nyerere said so. Well, Nyerere had a worse record on Democracy! Leave Nyerere out of it, and the article stands on own two feet.

So don't bring Jigga into this...

Kuhani,

The Jigga comment was an attempt to tone down the flow, it was not even aimed at convincing just an element of street braggadocchio machete murdering your flow as sub-standard.

Hence "Does your shyt even got leathers?"
 
The reincarnation and mutations of certain figures is so obvious a blind man could see it.

We need a introductory class in netiquette up in here, topics should include flamming, cyber-bullying and the basic restrain to count to ten and take a deep breath before remotely approaching any device with a keyboard, among others.
 
Matusi kama haya hayaruhusiwi hapa JF..

napendekeze huyu memba afungiwe na IP yake ifungiwe maana anatumia pia ID nyingine!
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahah ndio mnakuja na majina mengine hahahahaha mnachekesha kweli.Mmekosa hoja sasa mnaanza kuleta vioja.
 
Matusi kama haya hayaruhusiwi hapa JF..

napendekeze huyu memba afungiwe na IP yake ifungiwe maana anatumia pia ID nyingine!

Huyo member asipofungiwa wazungu wanaita ...'tacit approval.'

Matusi kama hayo maana yake....yameruhusiwa!
 
The theatre is deepened by the presumptuos - if empty - sense of deception employed by one in an attempt to fool the crowd by scolding oneself!

The nerve!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom