Ubaguzi uliotia fora.

maana ya kafir unaijua?
nikusahihishe tu, kafir maana yake ni mtu asiyeamini dini. nafikiri kwa pointi hiyo uloitowa labda unaweza kusema kwamba zanzibar kuna ubaguzi dhidi ya makafiri na sio wakiristo.
 
Mkuu sasa hapo unakosea...sasa unamaana kama wapo wachache hawana haki ya kushika nyadhifa na kuwaongoza waislam huku Zenj???hapo watu wanadai usawa kama wanavyo dai hapo Pemba wanadai usawa kama Unguja...

sijasema hayo, nilitoa mifano ya kuwa katika serikali ya zanzibar kuliwa na adam mwakanjuki pamoja na isaac sepetu ambao wote wakiristo.

nilichomaanisha ni kuwa kwa vile % yao ni ndogo sana, usitegemee kila kwenye nafasi 50 za juu za uongozi kutoea na mkiristo.
kwa sababu, ni kidogo, na katika kundi hilo la watu kidogo, wangapi wapo capable kuongoza serikali?

inapotokezea mkiristo kuongoza serikali zanzibar imetokea, na hiyo ni fact.
 
Wana JF naona mnamshambulia mukombosi kama mpira wa kona.
Siamini kama kuna kiumbe amabacho bado hakiamini kuwa wazenj + baadhi ya waislamu ni wabaguzi.
Kuleni basi kijipande cha muhogo dume hapo chini:

"Tukiwa ndani ya chaguzi moja maarufu hapa tanganyika(dodoma),kati ya wagombea wote,wagombea wawili tuu(mmoja muislamu na mwingine mkristo) walikuwa tishio(kupata ushindi) pale ukumbini,wakati kampeni za mwisho mwisho zinawadia pale ukumbini,mgombea mmoja kati ya wale wawili(muislamu) aliona ngoma inakuwa nzito ikabidi aanze kucheza rafu,mtu mzima huyu bila aibu aliwaaendea wale wapiga kura toka zenj na kuwanong'oneza na kusema ..............MUSIMUPE HUYU MPINZANI WANGU KURA NI KAFIR .............."
Yule mugombea mukristo alipewa hizi habari ndani ya sekunde zilezile,lakini,alijikaza kiume.

Kufumba na kufumbua kura zikapigwa,matokeo yakatoka,MUBAGUZI wa kidini akashinda kwa kishindo cha ubaguzi.

Naomba mufahamu kuwa habari hizi ni za kweli,hakuna unafiki hapa,
Kwa wanaobisha juu ya ubaguzi huu,wamugeukie MUNGU wao,la hasha waendeleee,ikiwa MUNGU wao anaruhusu elements za kibaguzi.
Timu yetu haitachoka kupigania haki za wakristo,kupigana zidi ya wabaguzi hawa,Eee MWENYEZI MUNGU utujahalie,amen.

Na wewe toa pumba zako hapa naona wewe na Mkombosi wote akili zenu sawa tu zilizojawa na ubaguzi wa hali ya juu. Kama tatizo lilikuwa la mtu mmoja basi usianze ku-label waislamu wote kuwa ni wabaguzi bali huyo muhusika pekee na hao watu wake waliompigia kura. Aliyewateua ni nani kupigania haki za wakristo? Watu wengine bwana mna ufinyu wa akili uliokithiri.
 
Na wewe toa pumba zako hapa naona wewe Mkombosi wote akili zenu sawa tu zilizojawa na ubaguzi wa hali ya juu. Kama tatizo lilikuwa la mtu mmoja basi usianze ku-label waislamu wote kuwa ni wabaguzi bali huyo muhusika pekee na hao watu wake waliompigia kura. Aliyewateua ni nani kupigania haki za wakristo? Watu wengine bwana mna ufinyu wa akili uliokithiri.

Wabaguzi kama hawa inabidi wafutiwe uraia wa Tanzania na kuwa deported kwenda guantanamo bay or sumt'n
 
Nadhani kichwa chake ni Database iliyojaa ujinga na propaganda za kibaguzi.
 
Unajua kuna kitu kimoja kinachonishangaza sana. Sijawahi hata siku moja kusikia mbaguzi akikiri kuwa yeye ni mbaguzi. Mara nyingi mtu mwenye hisia za ubaguzi husema wengine ndio wabaguzi na kwa wakati huo huo na yeye akitoa kauli za kibaguzi. Mnamkumbuka Michael Richards, Duane the dog Chapman, etc....hao wote walisema wao sio wabaguzi licha ya kuwa kwenye rekodi wakitumia lugha na maneno ya kibaguzi. Sasa kama wao sio wabaguzi basi labda mimi sijui maana ya neno ubaguzi.
 
Ceeque,Mwafrika wa kike na wenzako
Ninyi mnatakiwa muondoe pumba zenu hapa JF.
Hafu mnatishiatishia kama vile mlipelekwa na mafisadi huko mliko.
kwa ufupi ninyi ni wabaguzi mnaostahili adhabu ya moto wa milele.

Alichojaribu kusema Database,ni mfano tuu,wa kile alichokiona live.
kama hamuamini si mkae kimya.
Isitoshe mmetishia kutufutia na uraia,na kuomba dua twende hell,anzeni basi kuomba mnakuja JF kufanya nn?

Hatishiwi mtu hapa,tupo kamili,na tayari kufa kwa lolote hapa.
Washenzi ninyi,na mtakiona hadi kieleweke.
 
The folly of illusive and excessively ambitious if not deceptively ill-intended political correctness, ultra-sensitive demographic over-mining (of non existent statistics nonetheless) and ridiculously overpriced and pretentious exactitude in a country that cannot even provide paltry statistics to guesstimate, let alone provide solid factual causes is not only laughable, but posits us with the "Microsoft Word" dilemma.

Microsoft Word, a brilliant word processor by any other name, is not only so cluttered with a host of functions, useful and not so useful, it is also constantly updated with so many functions that only a small niche will benefit from and will mostly annoy 99% of its users through the need to re-learn the entire layout of the word processor just to accommodate a few people in the "power user" niche.

My point is, however useful an idea is, there is such a thing as the "point of diminishing returns" as described in Economics. I understand fair representation is important and by no means do not want to imply that I am undermining that noble idea.

My thing is, in the pursuit of fairness and equal representation, are we losing the overall picture just as the person in pursuit of maximum profit fails to realize that investment will yield returns only up to a certain point, after that point (the point of diminishing returns) every dollar or shilling that you will throw at the investment will provide less and less returns therefore making further investment in that project something to be avoided.

Are we trying to overcomplicate our own "Microsoft Word" for the 1% of the population (Astronomers = Christians in Zanzibar) and in the process rocking the boat for the remaining 99% of the general population?

Didn't the SMZ project enough political willingness and an amicable gesture by having Sepeku and Mwakanjuki in its top ranks? In not revoking the 99 year lease by the colonial Churches in Zanzibar? Do we really want to base political appointments on geographical / religious affiliation?

Even if there is a case in the allegations, the charges are brought here without any statistical evidence, which due to a point raised by Fundi, that of a national plague of information starvation and malady of N/A in every important statistical field of almost any chart, I can understandably excuse, but what about the so called anecdotal and circumstantial evidence? Do we really have enough of that to build a solid case or this is just another chance to fuel a Christians vs Muslims or Bara vs Zanzibar brouhaha?

Are we, in the pursuit of a fleeting and illusionary -if gracious- western chivarlous and gallant ideal of fairness at any cost forgetting how ridiculous the west is looking at this point because of this very unrealizable ideal?
 
Kama tatizo lilikuwa la mtu mmoja basi usianze ku-label waislamu wote kuwa ni wabaguzi bali huyo muhusika pekee na hao watu wake waliompigia kura. Aliyewateua ni nani kupigania haki za wakristo?

Ceeque umeenda shule kweli wewe kijana?
Unapima vp ubaguzi ktk jamii fulan?unajua vigezo vinavyotumika kusema CCM ni mafisadi?
Acha pumba kijana,haitatokea waislamu wooote wakawa wabaguzi,asilimia fulani inaweza kuwakilisha watu fulani kuwa ni wabaguzi.

Tuliza kichwa chako kijana.
 
Ceeque,Mwafrika wa kike na wenzako
Ninyi mnatakiwa muondoe pumba zenu hapa JF.
Hafu mnatishiatishia kama vile mlipelekwa na mafisadi huko mliko.
kwa ufupi ninyi ni wabaguzi mnaostahili adhabu ya moto wa milele.

Alichojaribu kusema Database,ni mfano tuu,wa kile alichokiona live.
kama hamuamini si mkae kimya.
Isitoshe mmetishia kutufutia na uraia,na kuomba dua twende hell,anzeni basi kuomba mnakuja JF kufanya nn?

Hatishiwi mtu hapa,tupo kamili,na tayari kufa kwa lolote hapa.
Washenzi ninyi,na mtakiona hadi kieleweke.
Uzuri mmoja upumbavu na ugoigoi wako haufichiki, ulichokiandika inajionyesha ni jinsi gani ukomo na upeo wa akili yako ulivyo mfupi mithili ya njiti ya kibiriti. Wewe na wenzako hamna jipya na hamtaweza kueneza chuki zenu za kibaguzi katika jamii yetu, tumewastukia rudini huko mlipotoka na muendeleze chuki zenu hukohuko.
 
Ceeque umeenda shule kweli wewe kijana?
Unapima vp ubaguzi ktk jamii fulan?unajua vigezo vinavyotumika kusema CCM ni mafisadi?
Acha pumba kijana,haitatokea waislamu wooote wakawa wabaguzi,asilimia fulani inaweza kuwakilisha watu fulani kuwa ni wabaguzi.

Tuliza kichwa chako kijana.
Actually nimeenda shule nzuri sana tu na upeo wangu ni mkubwa kuliko wewe mbaguzi ambaye nadhani unatumia muda mwingi kubuni njia mbalimbali na propaganda nyingi za kibaguzi ambazo hazina nafasi kwenye jamii. Soma ulichoandika toka mwanzo ndio tutajua nani anaongea pumba. Upeo wako wa akili unaishia na kuanzia kwenye upumbavu wako.
 
Dude, you're long winded...sometimes it's hard to follow you....can you just get right to the point.....

The justifiably long winded shall inherit the earth. Niels Bohr was not "Niels Bohr" for being simplistic.I make it simple but do not attempt to oversimplify it.This is JF, there is the one liners cadre, which is good for its audience and then there are people who would rather do justice to a subject by a reasonably analytical prognosis.

It is funny you say that, some Indian nincompoop said the same thing at work yesterday because a detailed and informational email I wrote, he wanted a "yes" or "no" answer to a complex question citing that he would not be able to understand the material I attached.the fool wrote this copying a host of lists.I was tempted to reply to him and say If you cannot read you have no business being where you are.

My reply was "yes" or "no" would at best be a half truth, even misinformational.

What is the problem? You think this is long winded? You ain't seen nothing yet, Check out Mwanakijiji's article in the bongo press.

Look now you made me take a shot at cuz! :)

If mine ain't your style just skip.
 
Mkuu Pundit,

Sitaki kumtetea, wala hata kunishuku, kwamba natetea mawazo ya Mukombosi. Nimemwita Bigot, na ni Bigot kwa kusema dini fulani ichague viongozi wa dini yao tu. Na najua ulikubaliana na mimi kuhusu hilo.

Lakini unajua sifungamani na upande wowote, na nataka kupinga maudhui ya tundiko lako. Unataka statistics kuthibitisha ubaguzi. Hiyo inaweza kuwa sio wazo zuri sana.

Naomba tutoke nje ya Bongo kidogo halafu tutarudi. Kuanzia mwaka 1965 ilipopitishwa sheria ya Civil Rights Act, Marekani, ilikuwa ili kuleta kesi ya kubaguliwa ilibidi uthibitishe nia ya mbaguzi na udhihirishe matokeo ya ubaguzi, "intent and effect" test. Mwaka 1982 yakapitishwa mabadiliko katika sheria hiyo, yanayosema vigezo vilivyo wekwa kuthibitisha ubaguzi ni vigumu mno. Ukinyimwa kupata pango la nyumba kwa sababu ya rangi yako, kwa mfano, utawezaje mwananchi wa kawaida kutafuta takwimu zinayoonyesha nia ya mwenye nyumba kukubagua wewe na wenzio wenye rangi yako, ni mara ngapi wewe na wenzio mmeomba pango kwa mbaguzi mkakataliwa, na kwamba wengi wamebaguliwa? Nitajuaje mimi nani mwingine kabaguliwa? Ninacho jua mimi, ni kwamba tumekuja watano kuomba pango, wanne walikuja nyumba yangu watatu wamwisho ambao wana rangi ya Mwenye nyumba wakapata, mimi na mwenzangu tukakosa. Sijui lingine lolote, sijui jinsi ya kujua, na sijui kama inaweza kujulikana.

Mzigo wa thibitisho ukashushwa. Mukombosi ni bigot, nitasisitiza, kwa sababu anataka dini yake ichague watu wa dini yake tu Tanzania. Lakini kumwambia alete takwimu akisema amebaguliwa, kuna wakati anaweza kushindwa wakati kweli amebaguliwa.

Kwa sababu ubaguzi unaweza kuwa jangwa kubwa kwa jamii, mara nyingi viwango vinavyo takiwa kuthibitisha ubaguzi vinapunguzwa. Kama Mukombosi asinge onyesha kwamba ni bigot, ningekubaki aeleze alivyo baguliwa bila kumwomba takwimu.

Ahsante.
 
Oh no! Not again......okay, I'll heed your advice....
I don't bother reading Mwanakijii articles in the bongo press....
 
Mkuu Pundit,

Sitaki kumtetea, wala hata kunishuku kwamba, natetea mawazo ya Mukombosi. Nimemwita Bigot, na ni Bigot kwa kusema dini fulani ichague viongozi wa dini yao tu. Na najua ulikubaliana na mimi kuhusu hilo.

Lakini unajua sifungamani na upande wowote, na nataka kupinga maudhui ya tundiko lako. Unataka statistics kuthibitisha ubaguzi. Hiyo inaweza kuwa sio wazo zuri sana.

Naomba tutoke nje ya Bongo kidogo halafu tutarudi. Kuanzia mwaka 1965 ilipopitishwa sheria ya Civil Rights Act, Marekani, ilikuwa ili kuleta kesi ya kubaguliwa ilibidi uthibitishe nia ya mbaguzi na udhihirishe matokeo ya ubaguzi, "intent and effect" test. Mwaka 1982 yakapitishwa mabadiliko katika sheria hiyo, yanayosema vigezo vilivyo wekwa kuthibitisha ubaguzi ni vigumu mno. Ukinyimwa kupata pango la nyumba kwa sababu ya rangi yako, kwa mfano, utawezaje mwananchi wa kawaida kutafuta takwimu zinayoonyesha nia ya mwenye nyumba kukubagua wewe na wenzio wenye rangi yako, ni mara ngapi wewe na wenzio mmeomba pango kwa mbaguzi mkakataliwa, na kwamba wengi wamebaguliwa? Nitajuaje mimi nani mwingine kabaguliwa? Ninacho jua mimi, ni kwamba tumekuja watano kuomba pango, wanne walikuja nyumba yangu watatu wamwisho ambao wana rangi ya Mwenye nyumba wakapata, mimi na mwenzangu tukakosa. Sijui lingine lolote, sijui jinsi ya kujua, na sijui kama inaweza kujulikana.

Mzigo wa thibitisho ukashushwa. Mukombosi ni bigot, nitasisitiza, kwa sababu anataka dini yake ichague watu wa dini yake tu Tanzania. Lakini kumwambia alete takwimu akisema amebaguliwa, kuna wakati anaweza kushindwa wakati kweli amebaguliwa.

Kwa sababu ubaguzi unaweza kuwa jangwa kubwa kwa jamii, mara nyingi viwango vinavyo takiwa kuthibitisha ubaguzi vinapunguzwa. Kama Mukombosi asinge onyesha kwamba ni bigot, ningekubaki aeleze alivyo baguliwa bila kumwomba takwimu.

Ahsante.

Maybe Nyani is right and I am relatively long winded for this crowd if even the Kuhani Wakuus do not get my gist in this.But then again maybe this forum wants things to be dumbed down more than a Stephen Hawkings popularization a la "A Brief History of Time" devoid of even the most basics of calculus while I am attempting a Roger Penrose tome churning matrices of 26 time dimensions never mind the spatial ones curled up in Minkowski space a la "The Road To Reality".I understand you overstand specifically what the issues are.

I certainly and categorically excused the lack of statistics and solicited anecdotal and circumstancial evidence, of which hardly enough has been provided to build a solid case.

See below.

Even if there is a case in the allegations, the charges are brought here without any statistical evidence, which due to a point raised by Fundi, that of a national plague of information starvation and malady of N/A in every important statistical field of almost any chart, I can understandably excuse, but what about the so called anecdotal and circumstantial evidence? Do we really have enough of that to build a solid case or this is just another chance to fuel a Christians vs Muslims or Bara vs Zanzibar brouhaha?
 
Hahahahahhahah
Ceeque naona unachanganyikiwa kijana,hahahhahahahah
Acha uwoga dogo,huu moto ishawasha,hauzimikiki.

Nasema,ninyi ni wa baguzi mliopitiliza,hadi mmejisahau,mnatumia mwanya wa ukimya wa wakristo,kutohoji,ili muendeleze ushenzi wenu.

Usihofu sana,wewe ni msomi,tumia usomi wako basi kubeza ukweli uliopo,lakini mtavuna mlichopanda.

Nawasaidieni tuu,hii timu iko kamili,na vita hii ni kali kuliko hata ile ya kuupinga ufisadi.
 
toa ubaguzi wako hapa na maneno yako ya kichechozi. Kwenye hii unayoita vita uko mwenyewe na rants zako za kutaka kubagua wenzako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom