Uandikishaji wapiga kura wapya

chris n

Member
Apr 1, 2012
59
19
Ni kwa nini vijana waliotimiza miaka 18 hawaandikishwi kupiga kura kwenye chaguzi
ndogo ambazo zimekuwa zikijitokeza mara kwa mara ktk nji hii?
 
Wadhani ccm wajinga, lkn wanajua mwisho wao umewadia, kizazi iki kipya ni cdm tupu, hawa magamba mbona siku zao zinahesabika kwani wakati ngome pia tegemeo lao wazee hawaongezeki zaidi wengi wao wanakufa, uzao mpya katika daftali la wapiga kura ni chadema tupu, hawa ccm mafisadi wataondoka kipindi kifupi kijacho
 
Back
Top Bottom