Afu ukilambwa makofi unakuja kulia lia jf, ningemjua mama kayai ningemfuata na leo tukuchangie mpaka ushindwe kuamka!hata wewe kamanda?
na wewe umeibukia wapi? Nasikia ulitoroshwa ukapelekwa visiwa vya Guam?
hata wewe kamanda?
yaani sijui kama nitapona mwaka huu,hebu niwachotee kiduchu toka kwenye inbox yangu,just imagine hii ni leo tu:
from Koku: baba luku imeisha
from housegirl pendo: baba hujaacha hela ya taka
from mama sima sinza: we baba sima hivi hujui kodi imeisha?
From mama kidawa tabata: mtoto anaumwa
from mama stumai mwanza:stumai anakumbushia graduation imekaribia
from mama kayai original:we na umalaya wako utaniua,ndo kumbe bado unalala na mama kidawa
from mama kidawa:mkeo kanipigia amenitukana!
From sophy mabibo hostel:ile blackberry imeharibika screen
from nancy wa airtel:sweetie my car is due for service
mama kayai tena:watoto wamerudishwa shule hujalipa karo
Jamani jamani hiyo ni leo tu jumatano 21st feb,nitapona kweli 2012?
too much kuchanganyikiwa mkuu!
mkuu nyuki hufuata nta! Sio makosa yangu.Kabisa
Mimi siungi mkono hoja na wala sikubaliani na hayo unayomfanyia mama Kayai
Tena ningekuwa na access ningemwambia aongeze kipondo kwako na awe anakagua mifuko yako achukue kila kilichobaki ili hivyo vidumu na viplastick vikose kabisa
mmmmhhhh funguka,unasema bishanga ni??????????
nasikia ka harufu ka wivu hapa.........