Ntaramuka Senior Member May 2, 2008 169 27 Sep 8, 2012 #1 Nimekuwa mpenzi na shabiki muda mrefu sana sasa nataka niwe mwanachama. Natakiwa kufanyaje?
Anselm JF-Expert Member Nov 16, 2010 1,710 291 Sep 8, 2012 #2 Una hamu ya kufa na ugonjwa gani wa moyo au shinikizo la damu? yaani kama kusoma hujui hata picha huwezi kuangalia?
Una hamu ya kufa na ugonjwa gani wa moyo au shinikizo la damu? yaani kama kusoma hujui hata picha huwezi kuangalia?
B Baba Kiki JF-Expert Member May 31, 2012 1,544 940 Sep 10, 2012 #4 Tanzania1960 said: ANZA KUSEMA UONGO....:eek2: Click to expand... Teh Teh Teh