NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,288
- 12,789
Naona kelele za Mashabiki wa Simba sc juu ya Kejeli na kusema kuwa "Belouzdad wataichapa Yanga"
Hakuna shabiki anayezungungumzia ugumu alionao Simba sc huko ivory coast, NALIA NGWENA najiuliza je mashabiki wa Simba sc wanaona timu Yao ishachukua point tatu mbele ya Asec??!
Hii mechi ya Asec ndiyo mechi ambayo itapeleka kilio msimbazi na mashabiki wataanza Tena kuimba wimbo wa "Mangungu aondoke"
Kwa jicho langu la ufundi nilivyowatazama Simba sc dhidi ya Mashujaa, Azam Fc, Tabira united bado Kuna tatizo la kiufundi na mbinu kwa wachezaji.
Mpaka Sasa kocha Simba sc Hajapata First eleven toka alipotoka kwenye kombe la Mapinduzi na mashabiki waliamini Kocha atalitumia kombe la Mapinduzi kuwasoma wachezaji na kutengeneza "chemistry"
Lakini imekua tofauti kabisa kwa kocha wa Simba sc.
Mechi ya Asec ni mfupa ngumu uliomshinda Fisi na Asec Ina Vijana wenye Kasi tofauti na Simba sc yenye wachezaji ambao umri umekwenda.