Kwa kweli nimeshangazwa na uamuzi wa wizara wa kutaka kuanzia mwakani kila atakaekutwa ana virusi vya HIV aanzishwe ARV's bila kujali CD4 counts zake, ili kupunguza uambukizwaji wa ukimwi.
Wanashindwa kuelewa kwanza hizi dawa japo wanasema hazikupi death sentence lakini baadhi ya watu zinawapa life sentence kutokana na side effects zake, haswa hizi ambazo zinatumika Africa ambazo kwa sasa nyingi hazitumiki tena nchi zilizoendelea.
Hii theory ya kusema mwenye kutumia dawa inawezekana asiambukize HIV inapotosha kuna aina fulani tu za dawa kidogo saana zinaweza kuepusha maambukizo lakini nyingi hata ukitumia unaambukiza.
ARV's si dawa kama ya Malaria kila wanaoumwa wanatumia karibu dawa aina moja, dawa hizi inaweza ikanifaa mimi na kutomusaidia mtu mwengine na kumsababishia side effects.
Kumshurutisha mtu atumie dawa wakati CD4 zake hazijafikia chini ya 200 ni kumpa life sentence, inabidi serikali ifanye utafiti juu ya suala hili linaweza leta madhara zaidi kuliko faida.
kwa mtu mwenye virusi anaweza ishi miaka mingi na afya yake ikwa CD4 zake zipo juu na akipewa ushauri mzuri akijielewa, na siyo kumlazimisha haya madawa baadhi yake yana side effects nyingi, ambzo zinazuia ugonjwa mmoja, na mara nyengine zinasababishia mengine kadha.
Sitaki kuwakatisha tamaa wenye kutumia ARV's zinasaidia saana , ila si haki kumuanzisha mtu ARV's kama bado kinga zake nzuri.