Uamuzi wa Wizara ya Afya kutoa ARV's kwa kila mwenye kuonekana ana UKIMWI bila kujali CD4 zake

Kwa kweli nimeshangazwa na uamuzi wa wizara wa kutaka kuanzia mwakani kila atakaekutwa ana virusi vya HIV aanzishwe ARV's bila kujali CD4 counts zake, ili kupunguza uambukizwaji wa ukimwi.

Wanashindwa kuelewa kwanza hizi dawa japo wanasema hazikupi death sentence lakini baadhi ya watu zinawapa life sentence kutokana na side effects zake, haswa hizi ambazo zinatumika Africa ambazo kwa sasa nyingi hazitumiki tena nchi zilizoendelea.

Hii theory ya kusema mwenye kutumia dawa inawezekana asiambukize HIV inapotosha kuna aina fulani tu za dawa kidogo saana zinaweza kuepusha maambukizo lakini nyingi hata ukitumia unaambukiza.

ARV's si dawa kama ya Malaria kila wanaoumwa wanatumia karibu dawa aina moja, dawa hizi inaweza ikanifaa mimi na kutomusaidia mtu mwengine na kumsababishia side effects.

Kumshurutisha mtu atumie dawa wakati CD4 zake hazijafikia chini ya 200 ni kumpa life sentence, inabidi serikali ifanye utafiti juu ya suala hili linaweza leta madhara zaidi kuliko faida.

kwa mtu mwenye virusi anaweza ishi miaka mingi na afya yake ikwa CD4 zake zipo juu na akipewa ushauri mzuri akijielewa, na siyo kumlazimisha haya madawa baadhi yake yana side effects nyingi, ambzo zinazuia ugonjwa mmoja, na mara nyengine zinasababishia mengine kadha.

Sitaki kuwakatisha tamaa wenye kutumia ARV's zinasaidia saana , ila si haki kumuanzisha mtu ARV's kama bado kinga zake nzuri.
yule mwanasayansi namba moja tanzania decepition hajauona huu uzi atawapoteza na hawa madent madocta watakimbia apa hivi yule jamaa anawashindaje
 
Kwa kweli nimeshangazwa na uamuzi wa wizara wa kutaka kuanzia mwakani kila atakaekutwa ana virusi vya HIV aanzishwe ARV's bila kujali CD4 counts zake, ili kupunguza uambukizwaji wa ukimwi.

Wanashindwa kuelewa kwanza hizi dawa japo wanasema hazikupi death sentence lakini baadhi ya watu zinawapa life sentence kutokana na side effects zake, haswa hizi ambazo zinatumika Africa ambazo kwa sasa nyingi hazitumiki tena nchi zilizoendelea.

Hii theory ya kusema mwenye kutumia dawa inawezekana asiambukize HIV inapotosha kuna aina fulani tu za dawa kidogo saana zinaweza kuepusha maambukizo lakini nyingi hata ukitumia unaambukiza.

ARV's si dawa kama ya Malaria kila wanaoumwa wanatumia karibu dawa aina moja, dawa hizi inaweza ikanifaa mimi na kutomusaidia mtu mwengine na kumsababishia side effects.

Kumshurutisha mtu atumie dawa wakati CD4 zake hazijafikia chini ya 200 ni kumpa life sentence, inabidi serikali ifanye utafiti juu ya suala hili linaweza leta madhara zaidi kuliko faida.

kwa mtu mwenye virusi anaweza ishi miaka mingi na afya yake ikwa CD4 zake zipo juu na akipewa ushauri mzuri akijielewa, na siyo kumlazimisha haya madawa baadhi yake yana side effects nyingi, ambzo zinazuia ugonjwa mmoja, na mara nyengine zinasababishia mengine kadha.

Sitaki kuwakatisha tamaa wenye kutumia ARV's zinasaidia saana , ila si haki kumuanzisha mtu ARV's kama bado kinga zake nzuri.

Siasa ni jambo zuri na humgusa hata asiyekuwa na fungamano nazo ....ikiwa siasa zitatumika ipasavyo ni jambo jema ila siasa zinaweza kuwa saratani sawa na saratani nyingine pale zinapotumika ndivyo sivyo....sishauri chochote! Let siasa lead us!
 
Hujui unachoandika, ungeomba msaada ukaeleweshwa.

Cut off < CD4 200 iliyokuwa imewekwa for initiation of ARV was purely economical. Kwamba limited resources countries hatuna uwezo wa kuwapatia dawa watu wote ambao ni HIV+.

Nchi zilizoendelea kama Mareakani huwapatia ARV kila mtu ambaye ni HIV+

Sio kwamba HIV+ wote WATALAZIMISHWA kunywa ARV. Kunywa au kutokunywa ARV kutaendelea kuwa hiari ya mtu.

Tafiti nyingi zimeshafanyika ambapo zinaonyesha ARV zinapunguza viral load kwa waathrika, hence kupunguza risk ya HIV transmission, as a result improves life quality of HIV infected person.
Hawa vijana wa dot com hawa Msamehe hajui anachoongelea , wao wana opinions kwa kila kitu hajui vitu vingine vinahitaji uelewa
 
Kwa kweli nimeshangazwa na uamuzi wa wizara wa kutaka kuanzia mwakani kila atakaekutwa ana virusi vya HIV aanzishwe ARV's bila kujali CD4 counts zake, ili kupunguza uambukizwaji wa ukimwi.

Wanashindwa kuelewa kwanza hizi dawa japo wanasema hazikupi death sentence lakini baadhi ya watu zinawapa life sentence kutokana na side effects zake, haswa hizi ambazo zinatumika Africa ambazo kwa sasa nyingi hazitumiki tena nchi zilizoendelea.

Hii theory ya kusema mwenye kutumia dawa inawezekana asiambukize HIV inapotosha kuna aina fulani tu za dawa kidogo saana zinaweza kuepusha maambukizo lakini nyingi hata ukitumia unaambukiza.

ARV's si dawa kama ya Malaria kila wanaoumwa wanatumia karibu dawa aina moja, dawa hizi inaweza ikanifaa mimi na kutomusaidia mtu mwengine na kumsababishia side effects.

Kumshurutisha mtu atumie dawa wakati CD4 zake hazijafikia chini ya 200 ni kumpa life sentence, inabidi serikali ifanye utafiti juu ya suala hili linaweza leta madhara zaidi kuliko faida.

kwa mtu mwenye virusi anaweza ishi miaka mingi na afya yake ikwa CD4 zake zipo juu na akipewa ushauri mzuri akijielewa, na siyo kumlazimisha haya madawa baadhi yake yana side effects nyingi, ambzo zinazuia ugonjwa mmoja, na mara nyengine zinasababishia mengine kadha.

Sitaki kuwakatisha tamaa wenye kutumia ARV's zinasaidia saana , ila si haki kumuanzisha mtu ARV's kama bado kinga zake nzuri.

We ni wa kusamehewa bure tu! Maana hujui uliloliandika, huna idea na medical field na wala hutaki kujua...
Watu wamejaribu kukuelezea hapo juu lakini bado unaendeleza ligi isiyo na tija.
Ushauri wa bure; Kaa kimya au uliza kama huna uelewa wa jambo, sio kuleta ujanja ujanja
 
Mleta mada nafikiri umeeleweshwa vizuri na kama bado huaelewa basi wewe utakuwa Juma Pinda
 
Is it really your field?
Unataka kuniambia wote wanaotoa rai zao humu ni wataalaamu wa wanayozungumzia, kuna wengine wanaongelea experience walizopitia wao wenyewe, ndugu zao na hata marafiki zao.
 
Hujui unachoandika, ungeomba msaada ukaeleweshwa.

Cut off < CD4 200 iliyokuwa imewekwa for initiation of ARV was purely economical. Kwamba limited resources countries hatuna uwezo wa kuwapatia dawa watu wote ambao ni HIV+.

Nchi zilizoendelea kama Mareakani huwapatia ARV kila mtu ambaye ni HIV+

Sio kwamba HIV+ wote WATALAZIMISHWA kunywa ARV. Kunywa au kutokunywa ARV kutaendelea kuwa hiari ya mtu.

Tafiti nyingi zimeshafanyika ambapo zinaonyesha ARV zinapunguza viral load kwa waathrika, hence kupunguza risk ya HIV transmission, as a result improves life quality of HIV infected person.
profesional presentation!
 
tena zingefutwa kabisa kwa sababu ndio chanzo cha wagonjwa kuongezeka nchini
you are not serious,uko kama unaedhani kwamba the only transmission mode ya HIV infection ni through sexual intercourse,mtu anaweza kuambukizwa kwa blood tranfussion,au kwenye ajali ambapo kunakuwa na injured skin contacts na namna nyingine za bila kukusudia,unakuwa mwepesi kusema zifutwe kwa kuwa hujui umuhimu wake kuna siku utaelewa tu mkuu.
 
jamani hivi mizizi yetu yote huko mbugani hakuna mzizi unaotibu huyu virus:eek:
 
kwani ni lazima uzile unaziweka tu just in case
Kuchukua na kuziweka tu si uamuzi sahihi kwa sababu mbali mbali,mfano;
1.mwisho wa siku expiry date itafika na utakuwa umepoteza kitu cha thamani ambacho wapo wanaokihitaji na hilo likitokea expired drugs huwa zina kanuni zake za disposal ambapo zisipofuatwa unasababisha pollution.
2.unaweza ukaziweka carelessly ikapelekea mtu mwingine au hata watoto kuzifikia na kuzitumia kwa namna wanavyojua wao ukapelekea drug toxicity na pia inaweza kupelekea resistance ya virus kwa dawa husika ambayo imekuwa abused.
pamoja na sababu nyingi nyingine.
Muhimu ni kwamba kitaalam hakuna mtu anatakiwa kulazimishwa kutumia dawa hizi kwani moja ya kanuni muhimu ya matumizi ya dawa hizi ni patient consent...mgonjwa awe tayari na radhi kuanza dawa ili kuhakikisha adherence to the treatment ambayo faida yake kwa medical family ni kupunguza drug resistance na faida kwa mgonjwa ni kujiongezea quality life.
 
Tatizo ni kwamba wengi tunaogopa kupima maradhi haya isipokuwa kutafuta wale walioathirika tayari na kuwanyooshea vidole huku tunajaribu kuficha ama kuepuka chimbuko la maradhi yenyewe. Utadhani ugonjwa wa HIV unavyopakaziwa.
 
Ndugu usishangae sana maana hayo SI maagizo ya Wizara ya Afya bali nikutekeleza maagizo ya shirika la Afya duniani WHO kuwa ifikapo mwaka 2030 janga hili la Ukimwi liwe limekwisha!

Kumbuka utafiti bado unaendelea. Na Matibabu na dawa na utaalamu unazidi kuongezeka
Maagizo ya awali ya WHO yalikuwa na imani kwamba mtu akipewa dawa mapema atasababisha USUGU.
Na wale watakaoambukizwa na mtu aliye na usugu nao watakuwa sugu katika hizo dawa. Hivyo waanze dawa ikifika below CD4 count
<200. baadaye ikawa
<250 na
350 .nk Kwa kuwa utafiti ungali unaendelea WHO imegundua kuwa mtu akipatiwa dawa mapema chances za
kupunguza VIRAL LOAD mzigo wa Virusi mwilini utapunguzwa to an undetectable level na pia chances za KUAMBUKIZA mwingine zitakuwa ni KIDOGO sana maana Virusi vitakuwa vimekuwa dhaifu na kujikonekiti kwenye cell receptors itakuwa ni vigumu
Ndiyo maana ya uamuzi huo wa serikali nafikiri!

Ndiyo maana pia WHO imeruhusu dawa kama VIREAD- TENOFOVIR kutumika kama Kinga katika jamii ambayo ni DISCORDANT yaani Mme au Mke an VVU na mwingine hana Nk! ANYWE saa moja kabla ya tendo la ndoa. Haya ni baadhi ya maagizo mapya ya WHO!
Kila dawa zina madhara ama Side effects zake. Lakini kwa hili FAIDA ni kubwa kuliko MADHARA.Tafadhali tuzingatie!
Asante mzee wa Benefit vs Risk ratio.
 
JF watu hujadili na kupinga hata wasivyovijua kama sio daktari tafadhali uwe unaangalia tu hizi comments usikomenti. hiyo kada ni nyeti elewa MEDICINA É DINÂMICA.
Umenena vyema, wengine ni wenyeviti wa umoja wa vijana wa vya siasa nao wanataka kuwa madaktari.
 
Kwa kweli nimeshangazwa na uamuzi wa wizara wa kutaka kuanzia mwakani kila atakaekutwa ana virusi vya HIV aanzishwe ARV's bila kujali CD4 counts zake, ili kupunguza uambukizwaji wa ukimwi.

Wanashindwa kuelewa kwanza hizi dawa japo wanasema hazikupi death sentence lakini baadhi ya watu zinawapa life sentence kutokana na side effects zake, haswa hizi ambazo zinatumika Africa ambazo kwa sasa nyingi hazitumiki tena nchi zilizoendelea.

Hii theory ya kusema mwenye kutumia dawa inawezekana asiambukize HIV inapotosha kuna aina fulani tu za dawa kidogo saana zinaweza kuepusha maambukizo lakini nyingi hata ukitumia unaambukiza.

ARV's si dawa kama ya Malaria kila wanaoumwa wanatumia karibu dawa aina moja, dawa hizi inaweza ikanifaa mimi na kutomusaidia mtu mwengine na kumsababishia side effects.

Kumshurutisha mtu atumie dawa wakati CD4 zake hazijafikia chini ya 200 ni kumpa life sentence, inabidi serikali ifanye utafiti juu ya suala hili linaweza leta madhara zaidi kuliko faida.

kwa mtu mwenye virusi anaweza ishi miaka mingi na afya yake ikwa CD4 zake zipo juu na akipewa ushauri mzuri akijielewa, na siyo kumlazimisha haya madawa baadhi yake yana side effects nyingi, ambzo zinazuia ugonjwa mmoja, na mara nyengine zinasababishia mengine kadha.

Sitaki kuwakatisha tamaa wenye kutumia ARV's zinasaidia saana , ila si haki kumuanzisha mtu ARV's kama bado kinga zake nzuri.
Nonsense!!tena umenikera sana.Omba uelimishwe lakini siyo kuandika ujinga hapa.Don't do that again.
 
Back
Top Bottom