Uamsho: Sasa Tunalivaa Swala La Kuuvunja Muungano Kiimani. Tuko Tayari Kwa Kila kitu

Tanesco wanaogopa kukata umeme Zanzibar, Bara bila Umeme kutwa kila siku, Zanzibar hukatwa kwa wiki masaa 5 tu, Ipi inanyonya nyingine? Bora Serkali moja kuondoa chokochoko
 
Sijui dada au kaka uhuru1 sivizuri kutoa majibu ya jumla; mimi ni mkristu katika kazi zangu nikiambiwa nito TShs. 100,000 ili nipewe kazi ya 2,000,000/= niko tayari kuikosa hiyo kazi kuliko kutoa rushwa. Kutamka tuu kuwa wakristu woteni wezi mnakuwa hamjawatendea haki kundi kubwa sana wa hiyo imani; Mh. Idd Simba naye ni Mkristu? Mh. Mustaffa Mkullo naye ni Mkristu? Mbona hao nao wanatuhumiwa kwa ufisadi kubwa tuu?

Ndachuwa, mimi ni mdada. Pili, hakuna neno langu hata moja. Yote yame kwenye video
 
Sijui dada au kaka uhuru1 sivizuri kutoa majibu ya jumla; mimi ni mkristu katika kazi zangu nikiambiwa nito TShs. 100,000 ili nipewe kazi ya 2,000,000/= niko tayari kuikosa hiyo kazi kuliko kutoa rushwa. Kutamka tuu kuwa wakristu woteni wezi mnakuwa hamjawatendea haki kundi kubwa sana wa hiyo imani; Mh. Idd Simba naye ni Mkristu? Mh. Mustaffa Mkullo naye ni Mkristu? Mbona hao nao wanatuhumiwa kwa ufisadi kubwa tuu?
,rostam ni mkristu,msabaha ni mkristu,ridhiwani ni mkristu,wizi hauna mkristu wala mpagani,budha,wala mwislam.kwani majambazi wabnaochoma makanisa ni wakristu.upeo wao ninamashaka nao.
 
nipo karibu na wapemba na wazenj kkoo nasubiri kipenga cha kuvunja nisepe na duka. teh teh kwi kwi
 
Mimi naganda na Kiwanda kimoja cha Bakhressa (Zanzibar wabara wananyang'anywa mali zao kila siku)
 
Tuna mda mchache wa kuwahita magaidi...Al-qaeeda...Al-shaabab,Bhoko haram...nalazima tuwavulumishie mabomu ya machozi na risasi zaukweli...maana kama mnaingiza udini katika siasa hatutakubali sisi wa Tanganyika kutuita makafri..pili nyie ni masikini sana huko visiwani leo iweje mseme Tanganyika inawahujumu????

Hivi kule Zanzibar hakuna msitu kama ule wa pande?
 
Ukitaka kujua unafiki wa hawa watu kuwaita wakristo makafiri, mwezi mtukufu umeanza, mauzo ya kiti moto yatashuka kweli kweli. Nguruwe kwenye mabaa bei itashuka, mfungo ukiisha bei juu. kama wao siyo makafiri ni nini
 
Inaonekana watu wanachangia bila ya kusikiliza hotuba! try to listen first utachangia vizuri zaidi.
 
  • Dhulma ya Tanganyika litan'gooka sasa. Tuko Tayari kwa kila kitu, hili swala tumelivaa kiimani. Hatuwezi kulipata nchi bila kuingiza Uislamu.
  • "Tunadai Zanzibar yetu Kwenye makucha ya Tanganyika Kiimani sasa"
  • Akitajwa Kiongozi Mwislamu hata kama katukera, tusimlaani. Wakitajwa wale makafiri, Jina lake mpaka litafute Juisi.
  • Umuhimu wa Waislam kuwa na nchi yao, kuilinda na kuitetea nchi yao.
  • Je Kwani mnanchi nchi? Nchi yenu imeibiwa na Wakristo
  • Tusikubali utawala wa watu makafiri wababe, kama nabii rasul Musa. Tunataka taifa letu
  • Njia tu ya kupigania uhuru ni Jihad. Lazima tupigane kama watu wadini
  • Wabara wapumbavu, wamezoea kuingia mikataba ya kijinga ya kunufaisha mafisadi na wageni. Sisi hayo hatutayakubali. tunaitaka nchi yetu
  • Mkiombwa kupigana kwa ajili ya nchi yenu mko tayari? Kwa maana mnayoyataka inafika muda mnalazimika kupigana
  • Mnakufa kwa maradhi yanayotibika
  • Tukifa sisi bila kuwapa nchi, vizazi vyetu vitakuwa wakiristo !
  • Tunayemtaka ni jemedari wa kutuongoza kuikomboa nchi yetu
  • Watanganyika na wakristo ni wezi, wanaiba matrillioni. Wamepandikiza chuki na wizi wao kwenye mashirika ya umma. Kila wizara na taasiri inanuka ufisadi. hatutaki muungano
  • Baadhi yao wanajifanya kuzungumzia wanzanibari kuhusu muungano. Waacheni wanznibari wajiamulie, njooni hapa muuwailize wanzibari kama wanautaka huo muungano wenu.
Maneno yao hapo sikiliza.....Inatisha. Muungano umekwisha, waachani hawa watu waende wanapandikiza chuki mbaya kwenye kivuli cha Udini. Kwa mwendo huu, muungano umekufa

[video=youtube_share;xXMONXpT5k M]http://youtu.be/xXMONXpT5kM[/video]
[video=youtube_share;RHYJADVg4x Y]http://youtu.be/RHYJADVg4xY[/video]
[video=youtube_share;870Wy0I8lUc]http://youtu.be/870Wy0I8lUc[/video]
[video=youtube_share;a1XSP0ClhSY]http://youtu.be/a1XSP0ClhSY[/video]

UUUUUUUUUUUUWIIIIIIIIIIII!!!!! MANG'ANA GASARIKILE !!!!!!!:spy:
 
MM binafsi nawaunga mkono hao uwamsho kwani kero za muungano hazijatatuliwa mpaka sasa na muungano waliokubaliana wazee wetu sio huu wa sasa. kuhusu swala la dini kuwa kivuli ni kwamba hata simba akikosa nyama hula majani. kutokana na hilo basi wazanzibari walio wengi ni waislam hivyo kutumia dini kutawaunganisha na kuwa na nguvu mmoja. ushauri wangu ni kuwa serikali kwa sasa itafute njia mbadala ya kuwapa nchi yao bila kumwaga damu
Then hapo dipo tutaona kama muungano ulikuwa unanufaisha upande gani sisi bara au wao zanzibar
 
Jamani watanganyika acheni uchochezi hayo maneno mumeyapata wapi? huu ni uwongo . L ICHA ya kutumuia jumuiya yetu kutetea maslahi ya nchi yetu, hili si geni katika dunia! musehau harakati za waislamu katika utetezi wa Tanganyika? JEE muslim brother hood ilikuwa hawan uhalali wa kuunganisha wamasri kuleta haki iliyopotezwa na utawala wa wa mubarak? jee mumesahau ujerumani kuna chama cha christian democracy? sisi uamsho tumesajiliwa kisherai na msaada wa kisheria na tunaisaidia jamii kwa kiwango cha hali ya juu! futatilieni jamii itrawapasha? hivi wazanzibari hawan akili kutuunga mkono tena ni zaidi ya 80% . Hizi ni chuki zenu zidi ya waislam na wazanzibar! sisi tunajua fika uwepo kwa wakiristo(wareno, magoa, na idadi waafrika) kulikuwepo wahindu kutoka india, budda kutoka china na hata mayahudi.


http://victorian fortunecity./portofolio/543/crusades in znz.htm
Jamani kuweni na busara usiseme usilolijua. si vizur kuongea mambo musioyajua neno jihad halina maana ya kukamata mapanga au mizinga hili ni neno la kiarabu lina maana kujitahidi katika jambo kufikia malengo( ijtihad). Tatizo lenu munakitumia kiswahili kwa matumizi mabaya ya kisamiati
UAMSHO SI MAGAIDI. MAJAMBAZI ILA NIJUMUIA HURU YA KIJAMII


Uamsho is a terrorist organization, consider this article extracted from www.e-prism.org then give us ur observation.


On March 5, 2003, the Islamist group Jumuia ya Uamsho Na Mihadhara (The Association of Revival and Propagation ofthe Islamic Faith in Zanzibar – APRIF), popularly known as Uamsho, held an illegal demonstration in the streets of Zanzibar. They were demonstrating against the government's ban on their demonstrations. The ban against the group was in response to security concerns and to its refusal to seek a permit for its activity from the mufti's office as required by the Mufti Law 2001. In previous rallies and demonstrations, Uamsho has distributed Afghan jihad-training videos and literature, and advocated the killing of secular politicians who refuse to impose Shari'ah law. Thus,when Uamsho took to the streets after Friday prayers there was a confrontation with the police sent to enforce the ban. Order was not restored until later that evening.

Apart from expressing their grievances, the demonstrators were also protesting against the increasing Western influence on the island, coming primarily through tourism, and the government's appointment of Harith bin Khelef as Mufti. Not only was Khelef not Uamsho's choice, butUamsho objects to the principle that the government should appoint the mufti.They believe the Mufti should be elected. Thirty-two people were arrested for staging an illegal demonstration and the subsequent riot.

Early on March 10, 2003, a Roman Catholic Church in central Zanzibar was set ablaze in an act of arson. One week later, on March 17, a petrol bomb destroyed a school bus belonging to the Catholic Church while it was parked in the school grounds. The following day five senior members of Uamsho were detained as suspects in the church attacks.

On March 19, the home of Zanzibar's Mufti and top Islamic leader, Harith bin Khelef, was attacked with explosives. On March 20, a grenade lobbed over the fence of the home of Zubeir Ali Maulid, a cabinet minister in the Zanzibar government. Also on March 20, agrenade was thrown into a restaurant filled with foreign guests. It landed on the dinner table of a British diplomat but fortunately it failed to go off.

 
Yani mchwa,funza,nzi,mende,kunguni,viroboto hawa wadudu wote wanaitafuna CCM na hawa wadudu wanaletwa na uchafu.
 
  • Mnakufa kwa maradhi yanayotibika
  • Tukifa sisi bila kuwapa nchi, vizazi vyetu vitakuwa wakiristo !

Neno MUNGU, maana yake, ni kile unachokitukuza, ambacho/ye kinaongoza mambo yote uyafanyao. siku zote nimesema, haiwezekani kuwa MUNGU ni mmoja, MUNGU wapo wengi, ila MUNGU wa kweli ni mmoja tu.

MUNGU wa waislam, hawezi kuwa ndiye MUNGU wa wakristo, wanatofautiana katika mafundisho, maelekezo na msimamo. Wa waislam ni mwuuaji, wa wakaristo ni mponya roho, anayehitaji aman siku zote.

sasa eti UAMSHO wanaogopa wanawo kuwa WAKRISTO?
 
Back
Top Bottom