Ukweli ni kwamba matatizo ya uamsho Zanzibar yanasababishwa na ombwe la upinzani Znz. Baada ya CUF kujiunga serikali ya umoja, hakuna chama cha upinzani chenye nguvu Znz kutetea maslahi yao. Matokea yake Uamsho wamekuwa ndio kimbilio ya wazanzibari wengi ambao hawaridhiki na mfumo uliopo. Kuna tetesi nimezipata kuwa baada ya Uamsho kugundua wana ufuasi mkubwa sana wanataka aidha waunde chama cha siasa ambacho kitakuwa third force kubwa sana au wajiunge na chama cha siasa. Wanauamsho walishawahi hata kutaka kujiunga na chadema lakini Chadema ikaona itakuwa political suicide maana ingewaaminisha watu kuwa Chadema ni chama cha fujo.
My take: Wakifanikiwa hili Znz kutakuwa na chama cha tatu chenye nguvu na watakaopoteza zaidi ni CUF
My take: Wakifanikiwa hili Znz kutakuwa na chama cha tatu chenye nguvu na watakaopoteza zaidi ni CUF