U will never walk alone

Watchman

Member
Nov 21, 2010
25
4
Hili nimeliona ni: CDM vs CCM + vibaraka ( CUF & NCCR). Kafulila and Rashidi 'are you serious with destiny of this nation? CDM YOU WILL NEVER WALK ALONE in your fights I am with you.
 
Mnazi Mmoja Square thats it...Hakuna solution nyingine, angalia Tunisia na Egypt. Wanapata ukombozi wao.
 
That is it!...they will never ever walk alone mkuu,.........poor kafulila and rashid go to hell
 
Nakuunga mkono, halafu hawa watu bwana.. walivyokuwa wameng'ang'ania kugombea kwa kupitia hivyo vyama vyao walitegemea nini, sasa hivi wanaanza kuwang'ang'ania CHADEMA, hatuwataki hata kidogo lazima wametumwa tu hawa, mimi naamini hata mwanaume ukiona demu anakung'ang'ani sana umuoe lazima utashtuka na kujiuliza maswali mia kidogo....
 
Mkuu kwa kweli CDM will never walk alone. Wanapotoka bungeni kupinga uhuni wa CCM, narudia tena Uhuni wa CCM, hawapo pekee yao bali wanawakilisha maelfu kwa maelfu ta Watanzania waliochoshwa na hila za CCM. Anna Makinda analipa fadhila za kupigiwa kura za Uspika na hao NCCR na CUF.
 
Mnapaswa kufikiri zaidi ya pale mnapoona! na mapinduzi hayafanywi kwa kuiga... hamjawa tayari msidanganye watu kufananisha Misri na Tunisia kwa Tanzania! Hapo mnajaribu kufananisha Njiwa na Popo! Mkisema kuandamana na kwenda mnazi mmoja watu makini watakaoingia humo ni wachache sana (kwa maana watakuwa wanaangalia kazi zao na familia zao, wengi wao watakaoingia kwenye maandamano ni vibaka na wasio na kazi kwa maana watadhani kuna asali na maziwa katika maandamano hayo) Nadhani Mnazi mmoja square ikitengenezwa humu jamvini waandamanaji wengi watapatikana! Sote tutaandamana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom