U.S. warns Iran on Strait of Hormuz

THEY ARE DOING IT AGAIN!

August 2, 2005 7:34 AM
[h=1]Israel To U.S.: Don't Delay Iraq Attack[/h]By Dan Collins

(CBS) Israel is urging U.S. officials not to delay a military strike against Iraq's Saddam Hussein, an aide to Prime Minister Ariel Sharon said Friday.
Israeli intelligence officials have gathered evidence that Iraq is speeding up efforts to produce biological and chemical weapons, said Sharon aide Ranaan Gissin.

"Any postponement of an attack on Iraq at this stage will serve no purpose," Gissin said. "It will only give him (Saddam) more of an opportunity to accelerate his program of weapons of mass destruction."

The United States has been considering a military campaign against Iraq to remove Saddam from power, listing him as one of the world's main terrorist regimes. However, there is considerable world opposition to a U.S. strike.

As evidence of Iraq's weapons building activities, Israel points to an order Saddam gave to Iraq's Atomic Energy Commission last week to speed up its work, Gissin said.

"Saddam's going to be able to reach a point where these weapons will be operational," he said.
Meanwhile, Iraq told the United Nations on Friday that it will continue to discuss the return of U.N. weapons inspectors, but it insisted on conditions that Secretary-General Kofi Annan has already rejected.
In a 10-page letter to Annan, Iraqi Foreign Minister Naji Sabri reaffirmed an Iraqi offer to hold a round of technical negotiations but he insisted they focus on outstanding issues related to Iraq's alleged weapons of mass destruction as well as "practical arrangements for the return of the inspection system in the future."

Sabri was replying to a letter from Annan that rejected Iraq's proposal to have chief weapons inspector Hans Blix and Iraqi experts determine outstanding disarmament issues of mass destruction and figure out how to resolve them before inspectors return to the country.
Also on Friday, President Bush said he knows there are "very intelligent people" who doubt the wisdom of attacking Iraq.
But he says Saddam Hussein is "thumbing his nose at the world" -- and must be ousted.
Speaking to reporters near his Texas ranch, the president vowed to make his own decision -- based on the best intelligence available.

Gissin also said Israel was not seeking to dictate the timing of a U.S. military campaign but said that, faced with the threat of one, Saddam was fast developing weapons. Iraq has few chemical and biological weapons, Ben-Eliezer said.
 
MiradiNyuklia.jpg

Shughuli hizo zote za nyuklia za Iran zinafanyika chini ya usimamizi wa wakaguzi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.

Source:Iran yazindua miradi muhimu ya nyuklia

Aisee, kumbe miradi ya nyuklia ya Iran inafanyika chini ya IAEA?
 
Haya wana JF ukisikia ngoma inogile ndio hiyo, Pakistan wana Nuclear pia...


fathi20120217095316640.jpg
Pakistani President Asif Ali Zardari
Fri Feb 17, 2012 10:44AM GMT
Islamabad will not provide any assistance to the US if it intends to attack Iran.”
Pakistani President Asif Ali Zardari


Amid the US-led publicity campaign on the prospect of an Israeli military strike on Iran, Pakistani President Asif Ali Zardari says his country will support Iran against any foreign aggression.



Islamabad will also not provide any assistance to Washington over a conflict with Tehran, Zardari told reporters in a joint press conference with his Iranian and Afghan counterparts Mahmoud Ahmadinejad and Hamid Karzai in Islamabad on Friday.

Washington and Tel Aviv have repeatedly threatened Tehran with a ‘military option’ in their attempts to force the Islamic Republic to halt its peaceful nuclear program, which has been closely monitored by inspectors from the International Atomic Energy Agency (IAEA).

Tehran, however, maintains that as a signatory to the nuclear Non-Proliferation Treaty and an IAEA member, it has the right to develop and acquire nuclear technology for peaceful purposes.

The Pakistani president further stated that Islamabad would not permit foreign pressure to affect its ties with Tehran and stressed the importance of implementing a joint gas pipeline project with Iran.

The Iran-Pakistan gas pipeline project is meant to export a daily amount of 21.5 million cubic meters (8.7 billion cubic meters per year) of the Iranian natural gas to Pakistan.

The maximum daily gas transfer capacity of the 56-inch pipeline, which runs over 900 km on Iran's soil from Asalouyeh in Bushehr Province to the city of Iranshahr in Sistan and Baluchestan Province, is said to stand at 110 million cubic meters.
 
Kuna harufu ya vita inayozidi kukolea kila kukicha baina ya Iran na Israel na washirika wake. Kutunishiana misuli ya kivita/kijeshi kumeongezeka ikiwa ni dalili tosha ya kila upande kujiweka tayari kwa lolote wakati wowote. Mambo yote haya yanayotokea sio mageni hata kidogo labda utofauti wake ni katika maendeleo ya kisayansi na technolojia. Mengine yoote ni yale yale ya enzi na enzi yaliyosababisha vizazi vilivyotangulia kulaani na kutoomba vita.

Kuna tetesi kuwa huenda ifikapo mwezi Machi, April ama May 2012, Israel inaweza kuishambulia Iran kwa kusudio la kuizima nguvu zake za kivita zinazozidi kukuwa siku hadi siku. Israel inahofu zaidi juu ya Iran kujipatia siraha za nyuklia iwapo haitapigwa mapema ili kusambaratisha harakati hizo. Israel inasema ikilemaa itakuta Iran haishikiki tena na kwamba ngoja ngoja ama baadae baadae si lugha ya kutumaini tena.

Swali ni nini kitatokea iwapo Israel itaamua kuivamia Iran? Ki muundo Iran ni nchi kongwe sana. Kabla ya Ulaya Iran ilikuwepo, kabla ya Marekani Iran ilikuwepo toka zama kabla ya Yesu ikiwa ni himaya yenye nguvu na yenye maendeleo makubwa sana. Kwa maana hiyo siyo rahisi kwa historia ya maendeleo ya Wapersia kufutika kirahisi katika kizazi chao cha leo. Udhibitisho wa umoja na nguvu yao ya pamoja ni namna ilivyo vamiwa mara nyingi na ikajitetea, ama namna ilivyotengwa kimataifa na bado ikasimama na kuweza kufanya maendeleo makubwa kwa kutumia watu wake wenyewe. (Juzi wameweza kutengeneza centrifuge itakayorutubisha kiasi cha nyuklia aslimia 20. Awali waliihitaji kutoka nchi za magharibi Marekani wakagoma katakata Iran isiuziwe Centrifuge wakijua huo utakuwa mwisho wao).

Ya kujifunza ni mengi lakini moja kubwa ni kwamba matatizo humtanua ubongo mtu. Israel ni nchi pekee katika mashariki ya kati inayomiliki siraha za nyuklia leo hii, tena za kutisha. Ni nchi moja wapo yenye maendeleo makubwa duniani ikiwa na watu wenye ujuzi na maarifa safi. Haya yote yamekuja kutokana na Wayahudi kuteseka kwa miaka mingi na kuwafanya bongo zao kutanuka. Wayahudi walitengwa, wakapigwa, wakateswa na kuuawa kinyama katika miaka tangulizi.Kadhalika mambo yaliyofanywa na yanayozidi kufanyika dhidi ya Iran nadhani ndiyo yaliyoifikisha Iran hapo mahala ambapo inaishi pasipo kutegemea nchi za Magharibi na inaendelea kukua siku hadi siku. Ni kwa kuwa akili zao zinajua fika kuwa mda wowote watavamiwa na hawana pa kushika zaidi ya kujishika wao wenyewe.

Hisia za vita huleta vita, yetu macho wazee wa fata upepo, ili mradi hewa ya sumu isitufike kwa upepo katika viota vyetu huku tulipo.
 
mwataka kujitia confidence tu. Iran peke yake haiwezi hata waaanzishe ile inayoitwa sting operation dhidi ya marekani. nina uhakika wanatizamwa tu( hao iran) watashikwa offguard jinsi Libya na gadaffi walivopatikana.

Ni kweli Iran hawawezi kushinda vita dhidi ya Israel, Marekani na washirika wake kwa kuzingatia nguvu kubwa za kivita walizonazo wapinzani wake hawa. Hata hivyo kuna utofauti mkubwa saaana, tena mno kati ya Iraq na Libya. Iran ni moja wapo ya jamii zilizofanya maendeleo ya kibinadamu maelfu ya miaka kabla ya Yesu. Kabla ya maendeleo ya Ulaya, Iran ilikuwa ni himaya yenye nguvu. Mpaka leo hii historia yao ya maendeleo na mshikamano kama Wapersia (na sio Waarabu) bado iko vichwani mwao ndiyo maana inatengeneza vitu vyake yenyewe.Iraq na Libya kama walivyo waMisri walikuwa na nguvu za kijeshi lakini siraha za kuagiza vipuli na kununua nje.

Kwa kifupi kama Iran itavamiwa, vita itakuwa ngumu ukilinganisha na Libya na Iraq lakini baadaye Israel na washirika wataibuka washindi. Ushindi huo wataununua kwa gharama kubwa sana hasa maeneo yaliyo ndani ya range ya Iran.
 
kwani usa hana zaidi ya hayo?

USA ana makubwa zaidi (umbali wa mile 6000). Anaweza kurusha makombora na yakapiga Iran lakini Irani yake ni ya mile 3000 yenye uwezo wa kupiga Mashariki ya kati na Ulaya. Hasira za Iran itakuwa ni kurusha makombora katika nchi adui zilizo katika range yake ikiwa ni pamoja na kuteketeza kwanza vituo vya kijeshi vya Marekani ndani ya Mashariki ya kati na Ulaya.
 
USA ana makubwa zaidi (umbali wa mile 6000). Anaweza kurusha makombora na yakapiga Iran lakini Irani yake ni ya mile 3000 yenye uwezo wa kupiga Mashariki ya kati na Ulaya. Hasira za Iran itakuwa ni kurusha makombora katika nchi adui zilizo katika range yake ikiwa ni pamoja na kuteketeza kwanza vituo vya kijeshi vya Marekani ndani ya Mashariki ya kati na Ulaya.
ikitokea hivyo-lazima US a-respond na lazima Iran ataregret kama atapiga vituo vya US
 
Mwana JF Edo, kihistoria Iran haijawahi kuvamia nchi nyingine yeyote kwa miaka 200 sasa (toka zama za maendeleo ya ustaarabu wa binadamu wa kuachana na mambo ya kupigana). Kwa mtindo huo katu Iran haiwezi kufanya au kuanza uvamizi kwa nchi yoyote. Uzoefu unaonesha imekuwa ikivamiwa na kila anapovamiwa imekuwa inajitetea kwa nguvu zake zote. Kwa hiyo ina desturi ya kufanya maandalizi ya iwapo inavamiwa inajibu vipi. Rais wao kila wanapofanya maendeleo ya kijeshi anapenda kusema yote hayo ni messengers of peace na heshima baina ya wanadamu.
 
Back
Top Bottom